
joseph_selasini
@joeselasini • 90,936 subscribers
Jesus is truly Present in the Eucharist.
Shorts
Videos

Hii siku zijazo itakuja ku-backfire watu watakuja kujuta; wakati ujinga huu umesha ota mizizi.
joseph_selasini52,954 Aufrufe • vor 2 Monaten

Naibu Waziri wa Elimu wa Tanganyika Wanu Hafidhi. 😂😂😂😂😂
joseph_selasini77,027 Aufrufe • vor 5 Monaten

Tumekuwa wajinga kiasi hiki; mambo ya kushikwa bega yamemfikia afisa magereza 😅😅😅
joseph_selasini49,590 Aufrufe • vor 5 Monaten

Pamoja na kuzimwa Internet Mungu amewathihirisha waovu. Mtu mwadilifu; diwani, mbunge au Rais ukichaguliwa kwa jinsi hii na utakubali kuapishwa? Haya ni mapinduzi ya katiba ibara ya 8 inayosema mamlaka yote hutoka kwa wananchi. Aibu hii ikiunganishwq na mauwaji hamko salama.
joseph_selasini71,967 Aufrufe • vor 10 Monaten

Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni 😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu. Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata John Heche haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
joseph_selasini32,585 Aufrufe • vor 4 Monaten

"Parokia ya Mtakatifu Father Mapendo." "Tunamuombea kwa jina la Baba Mtakatifu." Anaefanya ujinga huu afanye kautafiti au ahusishe wenye akili. Kanisa jimbo kuu la DSM halina parokia ya Mtakatifu Father Mapendo. Hatuombi kwa jina la Baba Mtakatifu. Mnamwaibisha mnaemtumikia.
joseph_selasini46,784 Aufrufe • vor 7 Monaten

Umeshawahi kuusikia huu uongo? Mamlaka anayo uwezo wa kuchukua hata anao; anatumia muda, mafuta ya magari na analipwa kwa kodi zetu kuropoka uongo majukwaani. Kama kijana yupo kwanini asikamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi? Watanzania wamewakataa sasa mmegeuka "content creators."
joseph_selasini18,909 Aufrufe • vor 2 Monaten

Hali ni tete eneo la MWIKA UUWO. Gari la polisi limemgonga kijana aliyekuwa akitoka shamba kwa kumsukuma kwa gari lao. Askari anaeitwa HASSAN ndie mtuhumiwa na inasemekana ameshafanya hivyo mara sita. Raia wamefunga barabara ya Rombo-Moshi wanamtaka huyo askari.
joseph_selasini20,793 Aufrufe • vor 3 Monaten