
joseph_selasini
@joeselasini • 90,936 subscribers
Jesus is truly Present in the Eucharist.
Shorts
Videos

Pamoja na kuzimwa Internet Mungu amewathihirisha waovu. Mtu mwadilifu; diwani, mbunge au Rais ukichaguliwa kwa jinsi hii na utakubali kuapishwa? Haya ni mapinduzi ya katiba ibara ya 8 inayosema mamlaka yote hutoka kwa wananchi. Aibu hii ikiunganishwq na mauwaji hamko salama.
joseph_selasini71,967 次观看 • 10 个月前

Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni 😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu. Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata John Heche haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
joseph_selasini32,585 次观看 • 4 个月前

"Parokia ya Mtakatifu Father Mapendo." "Tunamuombea kwa jina la Baba Mtakatifu." Anaefanya ujinga huu afanye kautafiti au ahusishe wenye akili. Kanisa jimbo kuu la DSM halina parokia ya Mtakatifu Father Mapendo. Hatuombi kwa jina la Baba Mtakatifu. Mnamwaibisha mnaemtumikia.
joseph_selasini46,784 次观看 • 7 个月前

Umeshawahi kuusikia huu uongo? Mamlaka anayo uwezo wa kuchukua hata anao; anatumia muda, mafuta ya magari na analipwa kwa kodi zetu kuropoka uongo majukwaani. Kama kijana yupo kwanini asikamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi? Watanzania wamewakataa sasa mmegeuka "content creators."
joseph_selasini18,909 次观看 • 2 个月前