
Kwame Kivaisi
@kwamekivaisi • 122,995 subscribers
Pan Africanist
Videos

Hatari sana hii. Halafu wewe uende Ubelgiji sio? Ngoja tutaona. Tutakuwepo!
Kwame Kivaisi179,656 Aufrufe • vor 1 Jahr

Hapa ni Masasi Mjini ambako jimbo zima hawa watu wana wanachama hai wasiozidi buku. Hapo uwanjani wamekuja watu wasiozidi 100. Siasa haina muujiza. HAMNA WATU na mlichokiona Masasi Mjini ni matokeo ya huu ukweli. Hii hali mtakutana nayo kila mnapokwenda hadi tunafika uchaguzi.
Kwame Kivaisi77,706 Aufrufe • vor 1 Jahr

Kazi ya siasa imekuwa ngumu wameingia kwenye tasnia ya kutengeneza filamu 👏🏿👏🏿👏🏿
Kwame Kivaisi62,698 Aufrufe • vor 1 Jahr

Ndugu Mwenyekiti, Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na JWTZ, uasi ni uhaini ama ukitajwa kwa mzaha ama kwa kumaanisha na ni hatari namba moja ya uhai na amani ya nchi. Hizi ni kauli mbaya kwa nchi yetu toka kwa huyu mkazi wa Tegeta na Ubelgiji.
Kwame Kivaisi51,803 Aufrufe • vor 1 Jahr

ZA NDANI KABISA Tundu anataka kumfukuza Freeman na kumpokonya kadi. Anasema jamaa ndo anamkwamisha kufanya kazi. Siku niliwaambia Tundu ni mgonjwa wa akili na dikteta ambaye hajatoboa mkasema nina chuki. Subirini muone kazi ya chizi wodi ya vichaa. HAWAPONI. Hifadhini hii posti.
Kwame Kivaisi47,845 Aufrufe • vor 1 Jahr

What Larry Madowo, CNN and commercial activists want the world to believe were peaceful protestors in Tanzania😅
Kwame Kivaisi24,914 Aufrufe • vor 10 Monaten

These are not “peaceful protestors”. These are criminals. #Tanzania
Kwame Kivaisi16,640 Aufrufe • vor 11 Monaten
Keine weiteren Inhalte verfügbar