
Think Different
@lifeofmshaba • 454,389 subscribers
#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time
Shorts
Videos

Kosa la Nchimbi ni iki kijembe kwamba Samia anaharibi watu maisha, hata Magufuli alikuwa na limit na alikuwa na shukuruni. Kwa wasiojua miongoni mwa watu waliokabidhia Samia kumfundisha siasa ni Nchimbi, alipokuwa mweupe ametolewa kwenye upapai, baaday kuhitimu hiyo shughuli akaanza kuwa na mentor, na Mentor wake mmoja wapo ni Nchimbi . Lakini kuna kauli kwamba sisi wote tumeinuliwa na Magufuli yaani yeye Bi Msumi asibabaishe watu hata yeye ni matokeo ya Magufuli kama wengine. Sasa Bi Msumi kila mtu anataka kumtoa roho, sio maaskofu, wanaharakati wala wanasiasa, yeye kila mtu kijana wake akiamuka amepiga vitu anaanza kuwindwa. Na msibani akwenda, Kwenye hii vita, Bi Msumi ashindwatu huyu ni ndugu ya shetani anakali kali sana kwenye kuua watu, roho yake ni nyeusi sana
Think Different48,930 Aufrufe • vor 3 Tagen

Huyu dada ana akili kuliko maCCM yote , wanajifanya wendawazimu wakati mambo yani wazi sana
Think Different26,851 Aufrufe • vor 9 Tagen

TISS mmeshindwa kutengeneza movie ? Mbona hii movie yenu inaboa haina utamu ya ovyo kabisa
Think Different68,914 Aufrufe • vor 1 Monat

CCM na Polisi ni wakatili sana, wamekwenda kwenye nyumba ya mtu kama Machinga ( nadhani sasa tuwe makini na machinga kuingia ndani) wamemuuzia mashuka kumbe wanasaka uhai wa mwanae Wakauza mashuka hapo bila aibu kisha wakamkamata kijana wake, anauliza anapelekwa wapi kwa kosa gani hakuna majibu wanasukumwa. Polisi amekwanda kuripo wanamzungusha tu hakuna polisi wamefungua file wala kufanya upelelezi, hii ilitokea kwa utekaji wa David Djumbe pia polisi walianza zunguka kuhusu kufungua file Leo Mwigulu anaambiwa kuna utekaji anamwingilia huyu mama asitoe story yote anauliza maswali katikatika ya maelezo kumchanganya, kwa nini hakutaka amalize , baada ya maelezo mengi ya mama, Mwigulu ajajipiga kifua kusema ana cheo kikubwa, alichofanya ni kusema RPC nenda kamsikilize andika maelezo, Mwigulu akumuuliza RPC kama anaijua hiyo kesi, wala OCD hakuulizwa kwa kifupi alikwepa kabisa kuuliza chochote kwa polisi, anaongea kama amemwagiwa maji maana wiki iliyopita alikuwa anasema kwamba wanaoteka watu ni michezo , ni nchi zisizotupenda na watu wasioipenda serikali na walimpiga risasi mpaka kiongozi wa kisiasa. CCM imegoma kabisa kuacha utekaji ndio maana wanavuta miguu kila wanapoumbuka. cha ajabu wanaokwenda ongea kutoa kero unaona wanahojiwa na mtu kabla ya kutoa kero, kwa nini wasiache watu waongea mambo yao yanayowasumbua mpaka kuwe na mchujo wa nini cha kuongea ? kwani nani amewalamisha kusikiliza wananchi? #ChangeTanzania #KatibaMpya
Think Different13,231 Aufrufe • vor 5 Tagen

Hakuna dikteta anajichanganya kama huyu Wakati akiwa Makamu alisema yeye ni namba mbili awezi kwenda kuwa namba tatu, baada ya muda Magufuli akafa Mbona yeye alikuwa anachafua vyeo anavyotaka leo anatuambia kuna mtu anamtunishia mabeba Kwenye nafasi zote Tanzania, mtu anayeweza mtunishia mabeba Samia ni Nchimbi pekee yake wengine wote ni wateule wake anaweza watoa akitaka hawawezi mvimbia ila kutoa Nchimbi kuna kama mchakato au afe Kufika kutuambia haya maneno ina maana huko ndani kumeungua sana, Nchimbi wewe peleka moto tu sisi hatujali mkitifuana ila binfasi kwa sasa huyu Samia hapana, huyu kazini hana mipaka ya roho zinazoweza potea, hakuna utawala umepoteza roho za watu namna hii na CCM hiyo hiyo mbovu
Think Different55,392 Aufrufe • vor 1 Monat

Semageni shabani anaongoza vikosi vya utekaji, vikosi vikitoka Dodoma kuja kuteka watu yeye ndiye anaongozana navyo anatumia bajaji na magari binafsi Semageni bado anafanyakazi ya utekaji tena kwa kasi sana katika jiji la Dar, yuko busy sana kwenye huu upumbavu Chalamila unasemaje Mafwele si mtekaji?
Think Different18,547 Aufrufe • vor 11 Tagen

Kwa kifupi anasema niliua sababu walitaka nipindua Huyu amerahisha sana kazi ya ICC Hapa ni yeye kueleza tu walitumia hiyo nguvu yeye na nani nani walihusika kulinda hiyo dola anayosema Halafu kwani amepigiwa simu na Rais wa nchi gani mbona amepaniki hivi?
Think Different169,676 Aufrufe • vor 6 Monaten

Hawa jamaa ukiwaambia tupate katiba Mpya wanaanza kuleta longo longo hasa wakiwa kwenye kula, wakiwa na vyeo wanajiona kama miungu Wakitolewa kwenye vyeo wanageuka kama toilte paper iliyotumika kama walikuwa awatakiwi kukaa hapo kwa nini wasipokelewe kwa utaratibu, au huyo mlinzi alikuwa na sababu gani kunyoosha mikono hivyo mbele za watu ? Mtadhalilishwa sana sababu mlichagua kushirikiana na wahuni, sasa hamna hadhi mnadhalilishwa na video zinasambazwa mitandaoni Hii video inasambazwa muonekana takataka tu na huu ni mwanzo, na mtajua hasara ya kuumiza wananchi. Msipo tupu sasa mbele kuna balaa zaidi
Think Different51,867 Aufrufe • vor 1 Monat

John Heche : Tangu Jana jioni Kiogozi wetu Lissu anaumwa sana Tumbo, linamkata sana, japo aharishi lakini tumbo linamsumbua vibaya sana. Walimkamata akiwa na afya Njema wakatuzuia tusionane naye, kwa sasa ni wanafamilia wachache sana wanaweza onana naye. Hatutokubali wakimuumiza Lissu MAONI YANGU Kumekuwa na taarifa za muda mrefu za majaribio ya kumuumiza Lissu, Leo tunasikia anaumwa sana huko magereza
Think Different15,786 Aufrufe • vor 20 Tagen

Waziri wa serikali batili ya mambo ya NDANI akipimana Nguvu na mwananchi Yeye ni mwana sheria lakini mwananchi amemzidi hoja akaamua kupandisha jaziba sasa mtu mjinga wa namna hii anawezaje simamia bunduri za nchi nzima? kama hapa tu anagombana namna hii, ukimkoroga kwenye kwa siri huko? si inakuwa kama Mc Pilipili
Think Different80,041 Aufrufe • vor 4 Monaten

Tunawaambia kila siku hauna aliyesalama mbele ya CCM, hata ukiwa mwana CHAMA mtiifu namna gani kuna siku wanakulamba Huyu mzee amepigania maisha miaka yote, kupitia humo humo CCM wanampa vitenda na miradi, Leo wamemfirisi na kumtoa kwenye jengo na wamechukua jengo lenyewe CCM wakishajua una mali wanaanza kukusaka kuichukua, wanafanya hivi kwa watu wote, wananchi wa kawaida na wafanyabiashara hata wana CCM sasa ushenzi kama huu kwa mtu aliyewatengenezea kofia mnategemea mtu mwingine watamfanya nini? Miaka yote CCM uwa haina utaratibu wa kulipa madeni, ni wahuni, kuna majangili kibao na yana control mpaka mifumo ya bank
Think Different23,186 Aufrufe • vor 1 Monat
4:32
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Wakati natekwa kulikuwa na Azizi ( Mzanzibar na mkuu wa msafara wa watekaji) Leo Jumbe anatekwa kuna mzanzibar kiongozi wa msafara Nadhani ni muda sasa kutangaza askari wote wa kizanzibar warudi Zanzibar wakafanye kazi huko Wakiendelea kufanya kazi Tanganyika tusiwakubali mtaani maana inaonekana wamekuja au wanatumika kwa maelekezo ya Boss wao ambaye hataki mtu apelekwe kituo cha polisi ana kwenda malizana nao mtaani Mwisho, Polisi wamefikia hatua kwa sasa wanamalizana na watu kimtaa mtaa, sisi wananchi tunaanza jilinda lini dhidi ya polisi wasiofuata taratibu ? Wao wanatufundisha kufanyakazi kihuni
Think Different11,579 Aufrufe • vor 16 Tagen

Kwa msiojua anachosema huyu mwana wa wana mtandao — Ikuluu imeomba kutumia Trilion 1.5 — Fedha kwa matumizi ya kawaida trilioni moja hii ni kwa ajili ya ulinzi , TISS NA SAFARI za Raisi pamoja na nguo na chai za Ikulu hayo ndio uwa matumizi ya kawaida , mishahara ya watu wa ikulu na TISS, hii pesa yote haikaguliwi na CAG ni ya Iddi Amin mama kugawana na washikaji wake — Pia inatumika kwenye matukio na sherehe za Ikulu iko kwenye hiyo trilion pia haikaguliwi na CAG kwa kifupi hiyo Trilion ni pesa ya mfukoni ya Samia kwa maana nyingine hiyo Trillion moja ndio sadaka tumetoa kwa maisha ya Samia Ikulu na wenzake — Wameomba pia billion 500 kwa matumizi ya maendeleo, Hii inakwenda kwenye ukarabati wa Ikulu , kununua mapazia , magari , kununua siraha za TISS na uniform, kujenga Ikulu au chochote hapo ikulu , kununu furniture za ndani , kununua mapambo ya Ikulu Hii pia haikaguliwi na CAG uwezi thibitisha imetumikaje Fedha yote hii inazidi matumizi ya wilaya ya Afya , inadizi matumizi ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi nchi nzima Inazidi mbali bajeti ya kilimo nchi nzima , inalingana na matumizi ya Wizara ya ujenzi inakaribiana na bajeti ya nchi nzima ya Jeshi lote Inazidi matumizi ya polisi , inazidi bajeti ya maji nchi nzima Ndio maana tunataka katiba mpya Hatuitaji trilioni 1.5 isiyokaguliwa kwa usawa huu, ambayo ni pelemende kwa mtu mmoja Machawa wote wanalipwa na hii bajeti Hii ni bajeti pekee utekelezwa kwa 100% yaani pesa yote inapatikana na kupelekwa IKULU , hizo bajeti nyingine uwa zinatekelezwa kwa 40% or chini kuna ambazo uwa wanasoma lakini mwisho wa siku wanapeleka pesa 35% na ndio maana unasikia kama barabara wanasema Barabara moja hata kwa miaka 4 sababu bajeti haikutekelezwa kwa 100% Lakini hii ya IKULU uwa wanapelekewa pesa kwenye malori kutoka BoT kisha wanaanza tumia watakavyo Hakuna pesa ya bure dunia kama hii, kuna wakati Kikwete akiwa Raisi Ikulu ilinunua mapazi ya million 300 ikavuja na kuleta maneno Kuna hizo saa na pete za millioni 400 anazofaa Samia zinatoka kwenye hii bajeti Kuna nguo hizo mnaona anavaa za mabilioni zinatoka kwenye hii bajeti Kwa ukubwa wa TISS na kwa namna ambayo tayari imeshawekezwa hata kutumia billion 500 ni nyingi sana Hii ndio pesa mara furani Samia amekwenda na wasanii Korea wakafanyia shopping mabegi mawili yamejaa kila msanii na kupewa pesa ndefu Ndio pesa pia ilitumika marekani kufunga Hotel mbili zimejaa machawa na wasanii wakiwemo waandishi wa habari ikaleta gumzo kubwa
Think Different28,415 Aufrufe • vor 1 Monat

Kuua fikra ni ngumu sana, vijana na Watanganyika kwa sasa Wamefunguka vijana wana maono
Think Different15,207 Aufrufe • vor 23 Tagen

Kumbe alitamba kabisa akasema amesharekebisha na kuwaambia wanahabari wanaandika dola 600 kwa 800
Think Different30,436 Aufrufe • vor 1 Monat