Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Tanzania tuko Matopeni hatujielewi

257,268 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

BekaBOY 0.1's profile picture
BekaBOY 0.12 years ago

Watanzania Ukitaka uone hasira zao ziguse Simba na Yanga au Mwamposa 🚮

RQ's profile picture
RQ2 years ago

Pitia hii ndio utaelewa wa tz ni mazuzu

njoroboihastlar🏌️‍♀️'s profile picture
njoroboihastlar🏌️‍♀️2 years ago

Jamaa limetuchamba lakini limesema ukwelii wa TZ sisi ni makunguru tu kmmke👀

Ibrahim Kaswaka's profile picture
Ibrahim Kaswaka2 years ago

Manipulation ya social engineering imefanikiwa Tanzania kuliko sehemu yoyote ukiacha marekani, social engineering ni ku-i programu akili ya jamii, kuanzisha hofu katika nyuzi fulani, kuinyima baadhi ya dondoo na maarifa muhimu ambayo yangeweza kubadili dhana zao, kuanzisha vitu..

Paul's profile picture
Paul2 years ago

Kabisa, sisi ni matopeni

Alessosandro~Volta's profile picture
Alessosandro~Volta2 years ago

Sisi Watanzania Tuuzwe Tu mana hatuna Akili, Kenya Kujeni tu kuchukua madini yetu mana Sisi wenyewe yani kila kitu hatuelewi, Tutakuja nchi hii iuzwe Na bado tupo kimya, Nawanachi watasifia Uongozi kaz nzur just imagne 😂😂😂

THE PRESIDENT OF MBEYA REPUBLIC🥑🍌🥭🍍🥜🍉's profile picture
THE PRESIDENT OF MBEYA REPUBLIC🥑🍌🥭🍍🥜🍉2 years ago

"Sio kukaa kama KONDOO ya kienyeji... Unaambiwa GOOD MORNING unakodoa macho kama CHURA" 😂😂😂😂😂😂😂😂 jamaa ana matusi huyu ila sisi tunaanguka nayo😂😂

free deusdedith soka's profile picture
free deusdedith soka2 years ago

Tutajitukana mbaka lini tupangeni maandamano ndio kilicho baki hii statement vuguvugu lake lianzishwe

259's profile picture
2592 years ago

Watuache wapumbavu wakubwa hao wakenya. Haiwahusu sio kila lao ni zuri kwa wengine. Linalowauma ni kitu gani. Uchafuzi na ushenzi tupu.

Nshimimana's profile picture
Nshimimana2 years ago

Kauli ya Dr. Bashiru Ally Kakurwa alisema Viongozi wanapaswa kutishwa na wananchi siyo kusifiwa, ndiyo hicho anachosema Mkenya. Chakula kwa Kenya ni shujaa

Related Videos

Hawa wezi tuko rada yao
1:38

Sensitive content

Hawa wezi tuko rada yao

Kingpin of Kenya

312,870 views • 1 year ago