Think Different's banner
Think Different's profile picture

Think Different

@lifeofmshaba455,603 subscribers

Disruptor | The Hammer 🔨 | Good trouble | CCM nightmare | #ChangeTanzania #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time

Shorts

Bi Msumi ajaficha tabia yake hata kidogo, Hawa ni Askari wa Uganda ambao hawana kabisa masuala ya haki za binadamu. Uganda sio tu ina askari washenzi, lakini Mseveni anakikosa cha kukodisha kinachofanya matukio mbalimbali Afrika yote Huku ndio amekwenda kuchukua majaji sababu hao majaji wamezoea hii hali kama ya kawaida, matukio kama ya October ni yakawaida kabisa kwao. Mapambano na Samia ni ya ukombozi wa Nchi tukijichanganya kulegea, tutatawaliwa na Uganda kupitia Mseveni Alianza kuleta Jeshi sasa analeta majaji,

42,008 görüntüleme

Polisi walitoka kwa nia moja tu kuua, Chande amedanganya kusema walitumia stage 6 kupambana na maandamano, hapo waandamanaji wako mbali kabisa lakini wanalengwa kwa risasi za moto

Polisi walitoka kwa nia moja tu kuua, Chande amedanganya kusema walitumia stage 6 kupambana na maandamano, hapo waandamanaji wako mbali kabisa lakini wanalengwa kwa risasi za moto

24,855 görüntüleme

Kwani CCM hakuna watu wazima siku hizi ? Na hii hali Tuliyonayo tuna spika ana slay !!? Huyu sio drug abuser kweli ? Mbona hata kusoma chakati awezi? Huyu ni mzima ?

Kwani CCM hakuna watu wazima siku hizi ? Na hii hali Tuliyonayo tuna spika ana slay !!? Huyu sio drug abuser kweli ? Mbona hata kusoma chakati awezi? Huyu ni mzima ?

108,346 görüntüleme

Hawa walipokuja mara ya kwanza alimtaja Mafwele na Waziri Rajabu Iliposhindikana kuchukua nyumba walisema watamtafuta kwa njia tofauti

Hawa walipokuja mara ya kwanza alimtaja Mafwele na Waziri Rajabu Iliposhindikana kuchukua nyumba walisema watamtafuta kwa njia tofauti

36,863 görüntüleme

Lissu ndani ya Angola , akionyesha na kipaji cha muziki Kwa wasira anaona ilikuwa sana kwa makamu wa Rais Zanzibar na Balozi wetu nchini Angola kudhalilishwa Ukiruhusu nchini nyingine kuchezea hadhi ya nchi yako unakuwa kama mfu

22,502 görüntüleme

Bongo flava na wasanii waliweka ulafi mbele

Bongo flava na wasanii waliweka ulafi mbele

13,314 görüntüleme

Videos

lifeofmshaba's profile picture

AIBU YA MWAKA HUKO RUSIA KWA MWENYE PhD 8 SWALI ALILOULIZWA SAMIA KWA MARAISI WA CCM NI MPAKA au NYERERE TU WANGETOBOA. Samia ameulizwa swali na mwandishi wa Habari wa Russia, tena kwenye mkutano ambao uko chini ya control ya serikali au Putin. Swali limeulizwa: 'Sisi tunafanyaje maendeleo na ushirikiano wakati kuna vikwazo?' Wakati swali linaulizwa, unaona Putin anatabasamu kwa bashasha kubwa, maana hapo ndipo Putin alitaka kujua: 'Hapa tuna rafiki au msanii tu?' Malengo ya lile swali hili ilikuwa ni Samia ongee akiwa kwenye ardhi ya Russia na kupeleka moto mkali kwa Marekani na Ulaya. Haya ni maswali ya kijasusi, si maswali ya moja kwa moja kujibiwa kienyeji kama alivyofanya, akaanza kulia kwamba ana uhusiano na Ulaya hakuna vikwazo. Hahaha, Putin yeye hana la kumtisha na Ulaya au Marekani, alitaka sasa aone Samia akijitoa kwenye network na kuongea kama kiongozi wa Korea Kaskazini na kujipiga kifua kwamba sisi vikwazo siyo kitisho kwetu, tuko huru, bla bla, tunasimama wenyewe, hatutaki kuingiliwa. Hayo ndiyo majibu Putin alikuwa anasikiliza, sababu kwa mazungumzo ya chumbani, Samia najiona mwamba kwamba yeye atishiki. Sasa walimtia pale kwenye ubao aongee tena hayo anayosema. Akashindwa, na mbaya zaidi, akabadilisha na lugha kabisa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili. Kwa wenye akili kama ya Putin, washajua kwamba hapo hakuna mtu ni msanii tu anasaka pesa, Putin sio boya alisha mseti aseme mbele ya Dunia. Swali lenyewe liliunganishwa kwenye angle ya Ukraine, kama angekuwa na akili kidogo kusoma chumba, angesoma kwamba hapo ni wakati wa kuchagua mchumba mmoja, Rusia au Magharibi, akaamua kutembelea vyombo vyote. Kitu ambacho hakimsaidi ni kwamba kuwa na Putin tu pale ni kimeo. Putin kweli, malengo yake yametimia, wewe mwenye PhD 10 umeshindwa kuelewa walioulizwa nini. Anaruka akisema mimi sina vikwazo. Mwandishi wa Habari wa Urusi ametumwa na serikali ya Urusi, wanajua vikwazo vyanavyo, sasa unaambiwa na Urusi una vikwazo, wewe unamkatalia KGB? Wao wanafanyia kazi mambo ya mbele, wamesha confirm kwamba unapigwa vikwazo kila kona, unakana? Kwa kifupi, Rusia walikua wanamwambia Samia: kwamba wewe una vikwazo tayari je tunasonga vipi mbele na wewe? Kama uwezi kukoma kwenye mazingira ya vikwazo hatuna cha kufanya na wewe, na Samia ameshindwa kuonyesha mkakati alionao ili kufanya ushirikiano akiwa na vikwazo. Kwa Dunia ya sasa hakuna Kiongozi yeyote anayekwenda Rusia kwa sasa ambayo bado anapambana kuwa na mahusiano na Ulaya na Marekani, unapo chagua ushirika na Rusia unaachana na ushirikiano na Mataifa hayo mengine, haiwezekane ukalamba kotekote sababu hali ya sasa Dunia inakataa kutokana na Rusia kuwa kwenye mgogoro wa Kijeshi na hayo mataifa mengine. Hivi inawezekana vipi Ulaya wakaachana mpaka na nishati ya Gas ya kutoka Rusia wananchi wao wakateseka, halafu Tanzania ikaenda Rusia kufanya biashara na Mrusi kisha Tanzania hiyo hiyo ikaenda Ulaya na Marekani kufaidia na misaada na biashara pia ? Huu ujinga mbona ni wa kiwango cha lami? Matarajio ya kila mtu ilikuwa ni hii safari ya maCCM huko Rusia ni kufunga ndoa na Rusia na kuachana na Magharibi yenye masharti mengi ya haki za binadamu na demokrasia kwamba hii ndio ilikuwa point ya safari . Kwa hiyo Suala la vikwazo lilikuwa si la kukana; lilikuwa la kuelezea yeye, Samia, anapitisha vipi serikali ya CCM kwenye hivyo vikwazo au anakomaa vipi kwenye ushirikiano wake na Russia wakati huo akiwa na vikwazo hapo Putin angepima kama amepata mdau. Akili zimeganda, mnakomalia madaraka. Unakubali kwenda kuongea mbele ya media za nchi zinazosoma usichosema. Rusia ni majasusi wanajua vizuri Tayari ni suala la muda tu kina umma vikwazo vinakuja, sasa unawabishia Rusia wanajua nini kilitokea Tanzania, Lakini wanajua mambo ambayo Samia amezungumza baada ya kufanya mauaji ( nimeweka video moja hapo chini) , Nchi kama Rusia unapokwenda wanakuchungulia kwa darubini , KGB wanafanyakazi yao vizuri kujua mgeni ni wa aina

Think Different

94,778 görüntüleme • 3 ay önce

lifeofmshaba's profile picture

Tanzania tuko Matopeni hatujielewi

Think Different

257,268 görüntüleme • 2 yıl önce