
Think Different
@lifeofmshaba • 455,603 subscribers
Disruptor | The Hammer 🔨 | Good trouble | CCM nightmare | #ChangeTanzania #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time
Shorts
Videos

Abdul na mama Yake Kila wanachofanya wanaongeza ushahidi wa uhakika kabisa kwamba sio tu wanahusika na Kesi ya Lissu lakini wanaisimamia na kupeleka mpaka mashahidi KIJANA wa Abdul anayejulikana kama Ishengomba anayezunguka kuteka WATU na kuwachomesha amejiweka ubaoni Alishatajwa na Dudu Baya kwamba ukitaka kuongea na Abdul unaongea naye kwa kupitia namba ya huyu dodo Sasa ndiye mtoa ushahidi dhidi ya Lissu Hawa wapuuzi wasichojua, wao baada ya kufanya huu upumbavu watakuja funguliwa kesi huko mbeleni kuudhibitisha maana wanaongea kwa msukumo wa pesa
Think Different38,920 次观看 • 4 天前

Ukimsikiliza Nyerere kisha ukasikiliza mama Abdul aka Iddi Amin Mama akiongelea Katiba, ndio utajua tumeingizwa chaka la kufa mtu. Msifikirie CCM hawajua wanachofanya, wanajua sana, ndio maana safi yao ina watu wa ovyo ovyo au wenye changamoto za kupenda madaraka kuna Wasira, makonda, chalamila, Kikwete hawa sio watu wanaotaka maendeleo yoyote ya nchi yetu. Kikwete alikataliwa kabisa na Nyerere, Ndio maana leo wana mtandao ilipofikia hatua Polepole anawapiga kwenye mchono wakamteka, wakati njia ya Butiku. Nyerere alishasema watu kama Samia hawafai ni hatari kabisa ambaye anaamini Katiba ni Makaratasi Nyerere angekuwepo angempindua Samia asubuhi na mapema
Think Different26,090 次观看 • 5 天前

TUMEFIKA PAZURI -- Nchimbi alisema Samia anataka #KatibaMpya na aliwahi kuongea naye akakubali anaitaka, akashambuliwa sana ... Baada ya Nchimbi kufanyiwa fujo ni Wazi moja ya Ugomvi wa Nchimbi na Samia na hawa CCM wengine ni kutaka KATIBA MPYA, wakaona huyu sio mwenzao wakamtosa -- Kwa sasa Wananchi wamekomaa wanataka TANGANYIKA na Katiba Mpya, unaona CCM wameibuka na kusema hapana wao wanataka katiba ya 1977, huyu ni msemaji wa CCM ambayo anaongea yale wamezungumza na Samia, -- CCM kwa sasa wanakoma kuturudisha kwenye hoja ya kutaka au kutotaka katiba mpya , huu ni mjadala wa kitambo sana tulishavuka na ndio maana Tume ya Warioba ilianzishwa na Kikwete sababu tulishakubaliana hii Katiba ya 1977 haifai, wao wanachofanya ni kujenga mazingara kusiwe na katiba mpya, sasa kwa nini walitumia pesa kwenye TUME ya WARIOBA yale mabilioni waliyoleta hasara ya Tume ya Warioba wanayatetea vipi? kwenye rasmu yao ya uchaguzi wamezungumzia kuhusu Katiba mpya hawa matapeli tukomae nao, wamefika mwisho wanazunguka kwenye hoja zile zile kila siku
Think Different16,761 次观看 • 3 天前

BAKWATA wameona jamaa ameumbuka wameona wamkimbie, Huyu Binti na mwanae amenyanyashwa sana na sheikh mpaka kwenye makesi. Halafu anatishwa na kupewa pesa ndogo ndogo na watawala. Kila siku tunasema mahakama haina meno hii ni koko Walid aligoma kwenye mahakamani na hakuna kitu mahakama iliweza fanya, huyu ni sheikh tu anaweza fnaya mambo kama haya, je likiongozi la CCM ? Nchi imeoza , watu hawana huruma hata kwa mabinti watoto wenye watoto
Think Different112,828 次观看 • 1 个月前

AIBU YA MWAKA HUKO RUSIA KWA MWENYE PhD 8 SWALI ALILOULIZWA SAMIA KWA MARAISI WA CCM NI MPAKA au NYERERE TU WANGETOBOA. Samia ameulizwa swali na mwandishi wa Habari wa Russia, tena kwenye mkutano ambao uko chini ya control ya serikali au Putin. Swali limeulizwa: 'Sisi tunafanyaje maendeleo na ushirikiano wakati kuna vikwazo?' Wakati swali linaulizwa, unaona Putin anatabasamu kwa bashasha kubwa, maana hapo ndipo Putin alitaka kujua: 'Hapa tuna rafiki au msanii tu?' Malengo ya lile swali hili ilikuwa ni Samia ongee akiwa kwenye ardhi ya Russia na kupeleka moto mkali kwa Marekani na Ulaya. Haya ni maswali ya kijasusi, si maswali ya moja kwa moja kujibiwa kienyeji kama alivyofanya, akaanza kulia kwamba ana uhusiano na Ulaya hakuna vikwazo. Hahaha, Putin yeye hana la kumtisha na Ulaya au Marekani, alitaka sasa aone Samia akijitoa kwenye network na kuongea kama kiongozi wa Korea Kaskazini na kujipiga kifua kwamba sisi vikwazo siyo kitisho kwetu, tuko huru, bla bla, tunasimama wenyewe, hatutaki kuingiliwa. Hayo ndiyo majibu Putin alikuwa anasikiliza, sababu kwa mazungumzo ya chumbani, Samia najiona mwamba kwamba yeye atishiki. Sasa walimtia pale kwenye ubao aongee tena hayo anayosema. Akashindwa, na mbaya zaidi, akabadilisha na lugha kabisa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili. Kwa wenye akili kama ya Putin, washajua kwamba hapo hakuna mtu ni msanii tu anasaka pesa, Putin sio boya alisha mseti aseme mbele ya Dunia. Swali lenyewe liliunganishwa kwenye angle ya Ukraine, kama angekuwa na akili kidogo kusoma chumba, angesoma kwamba hapo ni wakati wa kuchagua mchumba mmoja, Rusia au Magharibi, akaamua kutembelea vyombo vyote. Kitu ambacho hakimsaidi ni kwamba kuwa na Putin tu pale ni kimeo. Putin kweli, malengo yake yametimia, wewe mwenye PhD 10 umeshindwa kuelewa walioulizwa nini. Anaruka akisema mimi sina vikwazo. Mwandishi wa Habari wa Urusi ametumwa na serikali ya Urusi, wanajua vikwazo vyanavyo, sasa unaambiwa na Urusi una vikwazo, wewe unamkatalia KGB? Wao wanafanyia kazi mambo ya mbele, wamesha confirm kwamba unapigwa vikwazo kila kona, unakana? Kwa kifupi, Rusia walikua wanamwambia Samia: kwamba wewe una vikwazo tayari je tunasonga vipi mbele na wewe? Kama uwezi kukoma kwenye mazingira ya vikwazo hatuna cha kufanya na wewe, na Samia ameshindwa kuonyesha mkakati alionao ili kufanya ushirikiano akiwa na vikwazo. Kwa Dunia ya sasa hakuna Kiongozi yeyote anayekwenda Rusia kwa sasa ambayo bado anapambana kuwa na mahusiano na Ulaya na Marekani, unapo chagua ushirika na Rusia unaachana na ushirikiano na Mataifa hayo mengine, haiwezekane ukalamba kotekote sababu hali ya sasa Dunia inakataa kutokana na Rusia kuwa kwenye mgogoro wa Kijeshi na hayo mataifa mengine. Hivi inawezekana vipi Ulaya wakaachana mpaka na nishati ya Gas ya kutoka Rusia wananchi wao wakateseka, halafu Tanzania ikaenda Rusia kufanya biashara na Mrusi kisha Tanzania hiyo hiyo ikaenda Ulaya na Marekani kufaidia na misaada na biashara pia ? Huu ujinga mbona ni wa kiwango cha lami? Matarajio ya kila mtu ilikuwa ni hii safari ya maCCM huko Rusia ni kufunga ndoa na Rusia na kuachana na Magharibi yenye masharti mengi ya haki za binadamu na demokrasia kwamba hii ndio ilikuwa point ya safari . Kwa hiyo Suala la vikwazo lilikuwa si la kukana; lilikuwa la kuelezea yeye, Samia, anapitisha vipi serikali ya CCM kwenye hivyo vikwazo au anakomaa vipi kwenye ushirikiano wake na Russia wakati huo akiwa na vikwazo hapo Putin angepima kama amepata mdau. Akili zimeganda, mnakomalia madaraka. Unakubali kwenda kuongea mbele ya media za nchi zinazosoma usichosema. Rusia ni majasusi wanajua vizuri Tayari ni suala la muda tu kina umma vikwazo vinakuja, sasa unawabishia Rusia wanajua nini kilitokea Tanzania, Lakini wanajua mambo ambayo Samia amezungumza baada ya kufanya mauaji ( nimeweka video moja hapo chini) , Nchi kama Rusia unapokwenda wanakuchungulia kwa darubini , KGB wanafanyakazi yao vizuri kujua mgeni ni wa aina
Think Different94,778 次观看 • 3 个月前

Kosa la Kazungu ni kukosoa huu mchepuko wa Wanu. Kuna wakati nilionya wanaojiita Wabunge Dodoma, yaani hapo Dodoma mtarecordiwa sana kwenye makazi yenu, Kama walivyofanya kwa Katambi akiwa Jikoni na mchepuko wako. Watajaribu kutumia hizo record kuwafanyia Blackmail, wakishandwa wanakupiga kama Kazungu, huo ndio utaratibu wa Wazanzibar wanaotawala na Kikwete, ndio maana kwa sasa utomsikia Kikwete popote wamekubalia apiga msosi kimya kimya. Na mara nyingi anamwambia Samia kandamizi zaidi. Kuna wakati tutazika sana hapo Dodoma, hizo mic na maviti mnatumia si mmepewa vyeo vyeo bure, sasa siandaeni, wamesha test na Jenista na Lukuvi , mambo yako vizuri tena fasta tu. Si mnajifanya mko salama nyie, endeleeni tu Na wakware mnaovamia vichinchili na mapapai kutoka visiwani imeshakula kwako, hata kama ni mkeo wa ndoa jua wameshakuweka kwenye file, haya mavideo mengi anayo Bashite mpaka ya Madilu na maaskofu wengi tu Watanganyika tusipoamka sasa tumeisha, tumemalizwa vibaya sana na kwa kasi
Think Different31,491 次观看 • 1 个月前

Nilifuata Mkuu wa Mkoa wa Mara akaongee na wananachi, kutokana na mgogoro wa ardhi na TANAPA, kilichotakiwa ni kushirikisha wananchi kuliko kutumia ubabe Nilipoondoka, Mkuu wa Mkoa akachukua Jeshi la Polisi na kwenda kushambulia na kutia ulemavu maelfu ya Wananchi, Wengine wamepotea --- Waitara Ebu fikiria issue kama hii, Yaani mkuu wa Mkoa anaua watu sababu anataka kuonyesha yeye ndiye mwenye nguvu kwenye mkoa Hawa jamaa wakikaa na kuongea, wakitofautia, mmoja anakutoka na kuua Watanganyika kuonyesha yeye anaweza fanya chochote na hakuna shida Tunataka mabadiliko, tunataka #KatibaMpya Hizi biashara za Abdul na waarabu mbugani zitatumaliza
Think Different25,280 次观看 • 27 天前

CCM kila siku inawapiga vita Watanganyika wanaoishi nje ya nchi, imefikia hatua inawawinda kama wanyama mwitu sasa wametuma UTT ili waende kuwadanganya wawekeze kwenye mifuko yao, ukisha wekeza ndio sasa unaitwa kwenye meza kujieleza kwa nini unakosoa serikali wakati mfuko umeshirikia fedha zako kwenye local bank Kuna watu wengi sana kwenye Diaspora wamefungiwa namba zao za Simu hasa TIGO kwa hoja unatakiwa kufika kwenye matawi yao CRDB wamefanya hivyo pia miezi kama mitatu iliyopita, wanasema ACCOUNT zina miss document na kuwafungia account diaspora kibao wakisema mpaka wafike kwenye Branch halafu hawa hawa wanakwenda nje kudanganya watu kuwekeza wakati muda wowote account au namba inafungwa unaambiwa fika kwenye branch Kama una account kwenye hizi bank za serikali na wewe ni Diaspora jiandae siku moja kupiga mwanuuuu kama mbwa koko, wanafunga account kwa kasi sana kwa kisingizio cha KYC na utatakiwa kwenda branch, na hoja yao ni kwamba account ina mapungufu unatakiwa kwenda kurekebisha
Think Different19,678 次观看 • 1 个月前

Kosa la Nchimbi ni iki kijembe kwamba Samia anaharibi watu maisha, hata Magufuli alikuwa na limit na alikuwa na shukuruni. Kwa wasiojua miongoni mwa watu waliokabidhia Samia kumfundisha siasa ni Nchimbi, alipokuwa mweupe ametolewa kwenye upapai, baaday kuhitimu hiyo shughuli akaanza kuwa na mentor, na Mentor wake mmoja wapo ni Nchimbi . Lakini kuna kauli kwamba sisi wote tumeinuliwa na Magufuli yaani yeye Bi Msumi asibabaishe watu hata yeye ni matokeo ya Magufuli kama wengine. Sasa Bi Msumi kila mtu anataka kumtoa roho, sio maaskofu, wanaharakati wala wanasiasa, yeye kila mtu kijana wake akiamuka amepiga vitu anaanza kuwindwa. Na msibani akwenda, Kwenye hii vita, Bi Msumi ashindwatu huyu ni ndugu ya shetani anakali kali sana kwenye kuua watu, roho yake ni nyeusi sana
Think Different50,523 次观看 • 3 个月前

Hakuna dikteta anajichanganya kama huyu Wakati akiwa Makamu alisema yeye ni namba mbili awezi kwenda kuwa namba tatu, baada ya muda Magufuli akafa Mbona yeye alikuwa anachafua vyeo anavyotaka leo anatuambia kuna mtu anamtunishia mabeba Kwenye nafasi zote Tanzania, mtu anayeweza mtunishia mabeba Samia ni Nchimbi pekee yake wengine wote ni wateule wake anaweza watoa akitaka hawawezi mvimbia ila kutoa Nchimbi kuna kama mchakato au afe Kufika kutuambia haya maneno ina maana huko ndani kumeungua sana, Nchimbi wewe peleka moto tu sisi hatujali mkitifuana ila binfasi kwa sasa huyu Samia hapana, huyu kazini hana mipaka ya roho zinazoweza potea, hakuna utawala umepoteza roho za watu namna hii na CCM hiyo hiyo mbovu
Think Different55,603 次观看 • 4 个月前

Hii ndio sura alipata Dangote akaona bora kwenda kuwekeza Kenya Samia ana mgogoro mkubwa na wananchi na Dunia yote inajua Kwa sasa Tanzania ni nchi iliyopinduliwa na kundi la wahuni waliotumia mtutu october 2025 CCM kwa akili yenu mlipuuza #NoReformNoElection sasa bomu linakwenda kulipuka hapa ni hatari tupu
Think Different28,494 次观看 • 2 个月前

Mama Maria Nyerere pamoja ya uzee wake mwingi sana Akili yake iko vyema , ukiunganisha weledi na akili za Kikwete, Samia , Mwigulu , Kabudi na Baraza lote la Mawaziri Bibi wa Taifa ni bibi kweli wote hao wanaongea ujinga ujinga Mama Maria Nyerere anasema Taifa litajengwa na Gen Z ambao wanafanya maandamano kiza cha Tatu kwenye ukombozi Kizazi cha kwanza = Nyerere , Mwinyi, Warioba , Sarungi, Mkapa , Kikwete , Mbowe, Dr Slaa, Wasira , Bi Msumi, Zungu , Pinda n.k Kizazi cha Pili = January , Mwigulu, Lissu, Mnyika , Mwinyi, na asilimia kubwa ya takataka zikizopo Bungeni na wenye umri mpaka 1997 Kiza cha Tatu = Kiongozwa Gen Z , hawako madarakani ila wanapambana na kizazi cha kwanza na cha pili Tunakushukuru Bibi Wa Taifa, Umekuwa mnyoofu hata nyakati ngumu
Think Different28,717 次观看 • 2 个月前