Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe
Maisha yangu.
Shorts
Msikilize Mhe Hussein M Bashe waziri mwenye dhamana na sekta ya kilimo akizungumza kuhusu mipango ya wizara yake ili kuiboresha sekta hii kwa vitendo, kwa mara ya kwanza Benki ya Ushirika itazinduliwa na itakuwa na matawi Dodoma,Kilimanjaro na Tandahimba,hii ni #Mi3YaSamiaShambani