
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
@mangekimambi • 439,103 subscribers
DADA WA TAIFA Scroll to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE.Pls download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
Shorts
Videos
0:54
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸2,324,228 次观看 • 9 个月前

Good Job Watanzania, wow wow wow. Hongereni Watanzania maana zamani hata kuwazomea hivi CCM tulikuwa tunaogopa ila sasa hivi hatuwaogopi tena hawa wauwaji na machawa wao. Watanzania, video kama hizi zinatutia moyo wanaharakati wenu tuendelee kupambana kwa niaba yenu. Yani mimi personally nimeangalia video hii nikajiambia, it’s worth it kupigania nchi yangu, Acha ma cartel waje kuniua ila napigania watu ambao wako tayari kujipigania….., Mmejua kunipa raha mchana huu. Ted Cruz Sen. Jeanne Shaheen European Parliament This is the reality in Tanzania: the people have rejected Samia Suluhu and her regime. The moment her government was mentioned, the crowd erupted in boos. The minister wasn’t even given the chance to finish his sentence. The only reason CCM remains in power is through killings, fear and force. Tanzanians are being held hostage at gunpoint, not governed with the consent of the people.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸188,087 次观看 • 1 个月前
1:54
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

This happened in Mji Mwema, Mwanza. These boys where at a local cafe( kibanda Umiza) watching TV, when Samia Suluhu’s goons came, ordered them to come out and lay down. They all complied. Soon as they complied they were all shot. They were not protesting. This was about the protests it was about getting total surrender and obedience from the people of Tanzania’s
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸1,199,853 次观看 • 9 个月前
0:44
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Nilijiambia for the next 1-2 weeks nitatulia kudili na issue huku background ila dah nimeshindwa, Ona aliachofanywa kada wa CCM na serikali ya Samia Suluhu baada ya kumtetea Nchimbi. Senator Ted Cruz Sen. Jeanne Shaheen Secretary Marco Rubio Department of State European Parliament The Commonwealth United Nations The video you are seeing here is of a CCM party member who publicly supported the Vice President’s stance on justice and a new Constitution. He was abducted and tortured by Samia Suluhu’s government for supporting her Vice President against her wishes. Samia Suluhu cannot be allowed to keep harming Tanzanians like this. She has to be stopped. Whatever it takes.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸55,268 次观看 • 16 天前

Kwako Emmanuel Nchimbi , kama haya unayoyasema ni sehemu ya project ya “kukinusuru chama” naomba nikwambie kwamba baada ya October 29 hakuna chochote kitakachoinusuru CCM na hasira za Watanzania. Watanzania tunakuomba uangalie jinsi ya KUINUSURU TANZANIA, na sio kuinusuru CCM. CCM imeshafika mwisho….. Na mioyoni mwetu Watanzania tumeshafunga ukurasa wa CCM.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸102,510 次观看 • 1 个月前

About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder. Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there. So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were. The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony. The woman did all the talking. The man didn’t say a word. As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door. Everything is being forwarded to the FBI. If anything happens to me, this is where the investigation should begin. I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one. KISWAHILI Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi. Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango. Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama. Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu. Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja. Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu. Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI. Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa. Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸171,534 次观看 • 1 个月前

It would be a grave mistake for the U.S. Senate to address the October 29 massacre in Tanzania without also examining the role that Meta played in helping the Tanzanian government conceal the killings and extend its repression beyond Tanzania’s borders. When a foreign government can pressure a U.S. technology company into silencing critics, while the U.S. government itself appears unable to protect those voices, it raises serious national security and free speech concerns. I was sitting in Los Angeles, California, yet I lost my voice on a major social media platform because of actions taken by the Tanzanian government through a U.S. tech company. The repression did not stop at Tanzania’s borders, it followed its critics into the United States. No government should be allowed to use American platforms to suppress dissent, silence victims, or hide evidence of human rights abuses. Accountability must extend not only to those who commit atrocities, but also to those who enable their concealment. At the very least META should face fines for its roles in the Tanzania massacre and human rights violations. Meta is an accessory after the fact. President Donald J. Trump Senate Foreign Relations Committee Chairman Senate Foreign Relations Committee Senator Ted Cruz Sen. Jeanne Shaheen Secretary Marco Rubio Meta CNN Africa BBC News Swahili Larry Madowo Tausi Likokola Liberatus Mwang'ombe We need to push for this as much as we are pushing for accountability from the Tz government. Bila kupata zile account za instagram hakuna movement ya maana Tufanya hapa. SWAHILI Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni inaweza kuishinikiza kampuni ya teknolojia ya Marekani kuwanyamazisha wakosoaji wake, huku serikali ya Marekani yenyewe ikionekana kushindwa kulinda sauti hizo, jambo hilo linaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa taifa na uhuru wa kujieleza. Nilikuwa nimekaa Los Angeles, California, lakini nilinyang’anywa sauti yangu kwenye moja ya majukwaa makubwa ya mitandao ya kijamii kutokana na hatua zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya teknolojia ya Marekani. Ukandamizaji huo haukusimama kwenye mipaka ya Tanzania; uliwafuata wakosoaji wake hadi Marekani. Hakuna serikali inayopaswa kuruhusiwa kutumia majukwaa ya Marekani kukandamiza maoni tofauti, kuwanyamazisha waathirika, au kuficha ushahidi wa ukiukwaji wa haki za binadamu. Uwajibikaji haupaswi kuwahusu tu wale wanaotenda maovu hayo, bali pia wale wanaosaidia kuyaficha. Angalau, Meta inapaswa kukabiliwa na faini kutokana na nafasi yake katika kuficha mauaji ya Tanzania na ukiukwaji wa haki za binadamu., Meta inaweza kuonekana kama mshirika aliyesaidia kuficha au kuwezesha vitendo hivyo baada ya kutokea kwake.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸207,811 次观看 • 2 个月前

Watanzania tuko vizuri kwenye kudai haki, Tafadhali tusikubali kutolewa kwenye focus ya kubadilisha maisha yetu na nchi yetu kwa ku trendisha upuuzi wa wasanii. Watu maarufu ndio wamekuwa kikwazo cha Watanzania ku focus kudai haki sababu ya ujinga wetu Watanzania, tena Watanzania maskini ndio tunao trendisha huu upuuzi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸53,915 次观看 • 21 天前

Donald J. Trump Senator Ted Cruz Sen. Jeanne Shaheen Secretary Marco Rubio European Parliament United Nations Zambia’s opposition is telling the world that Tanzania sent mercenaries into Zambia during its election. This is a direct consequence of the West’s failure to take meaningful action after the mass killings surrounding Tanzania’s 2025 election. Statements alone are not enough. As long as Samia Suluhu is allowed to remain in power without accountability, no African country is truly safe. Other African leaders will see that they, too, can refuse to leave power and face no meaningful consequences. If the situation in Tanzania is allowed to continue, the West should expect to lose influence across Africa to China and Russia. African countries will increasingly turn toward authoritarianism when they see that democratic principles and human rights carry no real consequences for those who violate them. Tanzania cannot be allowed to become the precedent for Africa.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸22,551 次观看 • 9 天前

Samia muuaji anajitoa ufahamu ili kuwahadaaa international community kuhusu hali ya siasa Tz. Chadema waseme mara ngapi conditions za maridhiano kufanyika??? We muuaji unaeng’ang’ania kiti cha urais bila idhini ya wananchi mpaka ukawatoa roho maelfu ya wananchi unataka uambiwe mara ngapi conditions za maridhiano?????? Haya basi ngoja dada wa taifa nikusaidie tena maana naelewa uliishia form 4, tena kwa division 0 labda bado huja process in your dumb, evil, killer brain full of urojo. Hizi ndio conditions umepewa na Watanzania kupitia chama chao (CHADEMA). 1. Uchunguzi na accountability ya mauaji ya October 29 ufanyike. Woote walioua na waliotoa order wananchi wauliwe wachukuliwe hatua. 2. Mtoe Lissu jela ili aongoze maridhiano ya chama chake. 3. International mediation team kutoka United Nations, Common Wealth, Sadc, EU. Preferably woote wanne wakae mtu kati. 4. Mkae chini mkubaliane juu ya katiba, complete overhaul ya sheria za uchaguzi. 5. Baada ya maridhiano Uchaguzi urudiwe mara moja maana hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 2025, kilichofanyika ni mauaji tu. Uchaguzi kurudiwa ndio dawa pekeee ya kutuliza wananchi na kuleta amani ya roho kwa Watanzani. Hatuendi na hili kikao cha chama kinachojiita Bunge hadi 2030. Tena acheni story zenu za 2030, hatutaki kuzisikia mbwa nyie, lazma 2025 iwe rectified. Samia Suluhu Sasa nisikusikie tena unasema bado unapokea conditions za “mwenzenu mmoja”. Wewe sasa hivi unatakiwa kutuambia Watanzania kitu kimoja tu, je wewe na Kikwete mmekubaliana na hizi conditions au bado mnakaza fuzu ili wananchi tujue tunafanya nini ila usituleteee akili za urojo sisi eti bado unasikiliza conditions zao.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸51,037 次观看 • 24 天前