Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸's banner
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸's profile picture

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

@mangekimambi439,103 subscribers

DADA WA TAIFA Scroll to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE.Pls download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057

Shorts

This happened in Mji Mwema, Mwanza. These boys where at a local cafe( kibanda Umiza) watching TV, when Samia Suluhu’s goons came, ordered them to come out and lay down. They all complied. Soon as they complied they were all shot. They were not protesting. This was about the protests it was about getting total surrender and obedience from the people of Tanzania’s

Sensitive content

1,199,853 Aufrufe

Samia Suluhu shot mothers in their homes, they were not even protestors, she just wanted to kill as many Tanzanians as possible inorder to get total obedience.

Sensitive content

Samia Suluhu shot mothers in their homes, they were not even protestors, she just wanted to kill as many Tanzanians as possible inorder to get total obedience.

304,446 Aufrufe

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections. Second video, those are the killers who shot the protesters in the first video.

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections. Second video, those are the killers who shot the protesters in the first video.

214,025 Aufrufe

The violence Samia unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections.

The violence Samia unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections.

210,441 Aufrufe

Samia Suluhu sent goons to people homes to kill as many as possible

Samia Suluhu sent goons to people homes to kill as many as possible

205,112 Aufrufe

The violance Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

The violance Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

177,305 Aufrufe

The police were shooting at public transportation busses.

The police were shooting at public transportation busses.

175,314 Aufrufe

Tanzania hakuna nchi tena. Huu ndio Uchaguzi uliofanyika…. Yani it’s seems waliwapa watu vitabu wakatiki nyumbani then siku ya uchaguzi wakawa wana submit. Embu ona wasmamizi wanaenda kabisa kuwaonyesha cha kufanya. Jamani Tanzania Imevamiwa, Tanzania imetekwa

177,241 Aufrufe

The horror and violence that Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

Sensitive content

The horror and violence that Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

166,541 Aufrufe

Ni kama wiki 2 au 3 zilizopita niliwaeleza Watanzania hali ilivyo tete jeshini. Kuna watu walidhani naongea hivi ili kuwatia moyo Watanzania waandamane kwa mara ya pili. Haya leo Samia muuaji kaongea mwenyewe hadharani. Dada yenu nikiongea jueni habari nimezitoa mulemule. Meta Please return my platform so I can keep informing Tanzanians. My platform was the only uncensored media available to the people.

147,017 Aufrufe

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

151,278 Aufrufe

152,623 Aufrufe

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections. Mange, hapo ni goba huyo jamaa walimpiga kwenye kubanda chake cha kufanyia biashara Hakika anafunga walimfata na kupiga lisa na mwingine walimpiga kwenye mguu, walikuwa nakuja mpka mitaani sio tena kwenye mean road wanakuja kwenye mitaa vichochoroni wanashut then wanaondoka 😭😭😭inaumiza sana tena sana. Video ya pili ni wauwaji waliokuwa kwenye Noah

139,311 Aufrufe

Ndugu zangu nimechekaaaa leo, kimama kifupi kinene kimeona bora kichambane tu hakuna namna… NAKOJOAAAAAAAAA🤣🤣🤣🤣🤣 . Ukiona Rais amefika stage ya kuchambana na wananchi we jua amekubali kimoyo moyo kuwa hakubalikiiiiiiii na wananchi. Amekubali nchi imemshinda kaona bora achambane na kina Mange siku ziende…. Mpumbavu, mbwa mwenyewe, malaya mzee wewe. Huna unalolijua zaidi ya kusuguana visimi. Mbwa ni hao watoto wako mafirauni uliozaa na hilo mume lako bwege…… Tumekutukana mpaka umechanganyikiwa sasa unaonyesha your true colors. Nyambaf, ulipokuwa unakosolewa kistaarabu uliweza kumaintan composure na ku act presidential na kuficha tabia zako za kishenzi ila mitusi iliponoga na kukuingia mpaka kwenye kizazi sasa unapayukwa na kuonyesha Watanzania sura yako ya ukweli. Na bado kuma kibuyu wewe, tutakutukana mpaka uvae chupi kichwani… Nakwambia hivi tutakuvuruga zaidi ya hapa mashnuni wewe!!! Watanzania endeleeni kupiga spana, message zinamuingia hadi kumani ndo maana anaropokwa kama kichaaaa sasa. Si alijitia chura kiziwi kuwa hasikii na hajibu?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyambaf!!!

295,979 Aufrufe

Hiyo pichani ni moja kati ya nyumba 8 anazojenga Wambura, Mkuu wa Polisi Tanzania, 2 zimakamiliki 6 zinaendelea kujengwa. Nyumba zipo Goba kwa Ulomi Saleko Kiwesi street. Ndani huko kwenye compound kuna Mercedes Benz kali na Labd Cruiser, zote za bilionea Wambura zimepaki humo ndani. . Hiyo video ya pili, hiyo gari nyeusi hapo nje, huwa imepaki hapo 24/7. Polisi wanapeana shifti kulinda hapo. . Polisi anaowatuma kunyanyasa wananchi wanaishi kwenye vikota vya polisi, vijumba vinakaribia kuwadondokea…. . Sasa mkuu wa polisi anajilimbikizia mali kiasi hiki mtaacha kupigwa mkidai mabadiliko.? Mnadhani Wambura atakaa ahitajii mabadiliko na huku yeye anakula na mafisadi? Uongozi wa CCM unamnufaisha kiasi hiki unadhaani atataka CCM itolewe madarakani? Na nyumba zikikamlika atawapangisha wale wale anaowapiga viboko wasiandamane.

195,722 Aufrufe

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

Sensitive content

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections

127,770 Aufrufe

Majangili wa Samia Suluhu walikuwa wanamwaga risasi anywhere. Hii haikua kuzuia maandamano ila ilikuwa ni kuwapelekea wananchi ujumbe na kisasi.

Majangili wa Samia Suluhu walikuwa wanamwaga risasi anywhere. Hii haikua kuzuia maandamano ila ilikuwa ni kuwapelekea wananchi ujumbe na kisasi.

124,248 Aufrufe

The violence Samia unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections.

The violence Samia unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections.

124,138 Aufrufe

Project ya Bashite hiyo Masaki. Anadondosha bonge la mansion. Leo hii alikuwa site anasimamia… . Hawa watu ndo maana wako tayari kupiga na kuua watu ila sio kuachia madaraka. Yani ikibidi wataua hata nchi nzima ila sio watoke madarakani. Maana wanajua siku wakitoka madarakani mali zooote hizi zinataifishwa na kurudishwa kwa wananchi. . Yani ni mwendo wa kuchaguliwa Marais tu na chama ni CCM lazma kibaki madarakani. . Haya wale majinga wanaosemaga Bashite anapiga kazi, ni kiongozi anaejua kazi, kazi yenyewe ndo hii ya kuiba kodi za wananchi na kujenga mansion Masaki? . Huyo Bashite toka kafika Arusha anaishi Grumeti presidential suit, hivi ni sheria gani ya nchi inaruhusu kiongozi kupokea gifts kama hizo ??? . Eti maisha magumu TZ, maisha magumu kwenu wanyonge, wenye nchi yao mambo kama hivi. Na akitoka site anachukua mic 🎤 anahubiri amani bila aibu yoote. Yani Amani wanaitaka ili waweze ku enjoy na family zao mali za wizi kama hivi

167,658 Aufrufe

Police just shooting at people.

Police just shooting at people.

110,237 Aufrufe

Videos

mangekimambi's profile picture

About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder. Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there. So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were. The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony. The woman did all the talking. The man didn’t say a word. As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door. Everything is being forwarded to the FBI. If anything happens to me, this is where the investigation should begin. I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one. KISWAHILI Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi. Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango. Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama. Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu. Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja. Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu. Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI. Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa. Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

171,534 Aufrufe • vor 1 Monat

mangekimambi's profile picture

It would be a grave mistake for the U.S. Senate to address the October 29 massacre in Tanzania without also examining the role that Meta played in helping the Tanzanian government conceal the killings and extend its repression beyond Tanzania’s borders. When a foreign government can pressure a U.S. technology company into silencing critics, while the U.S. government itself appears unable to protect those voices, it raises serious national security and free speech concerns. I was sitting in Los Angeles, California, yet I lost my voice on a major social media platform because of actions taken by the Tanzanian government through a U.S. tech company. The repression did not stop at Tanzania’s borders, it followed its critics into the United States. No government should be allowed to use American platforms to suppress dissent, silence victims, or hide evidence of human rights abuses. Accountability must extend not only to those who commit atrocities, but also to those who enable their concealment. At the very least META should face fines for its roles in the Tanzania massacre and human rights violations. Meta is an accessory after the fact. President Donald J. Trump Senate Foreign Relations Committee Chairman Senate Foreign Relations Committee Senator Ted Cruz Sen. Jeanne Shaheen Secretary Marco Rubio Meta CNN Africa BBC News Swahili Larry Madowo Tausi Likokola Liberatus Mwang'ombe We need to push for this as much as we are pushing for accountability from the Tz government. Bila kupata zile account za instagram hakuna movement ya maana Tufanya hapa. SWAHILI Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni inaweza kuishinikiza kampuni ya teknolojia ya Marekani kuwanyamazisha wakosoaji wake, huku serikali ya Marekani yenyewe ikionekana kushindwa kulinda sauti hizo, jambo hilo linaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa taifa na uhuru wa kujieleza. Nilikuwa nimekaa Los Angeles, California, lakini nilinyang’anywa sauti yangu kwenye moja ya majukwaa makubwa ya mitandao ya kijamii kutokana na hatua zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya teknolojia ya Marekani. Ukandamizaji huo haukusimama kwenye mipaka ya Tanzania; uliwafuata wakosoaji wake hadi Marekani. Hakuna serikali inayopaswa kuruhusiwa kutumia majukwaa ya Marekani kukandamiza maoni tofauti, kuwanyamazisha waathirika, au kuficha ushahidi wa ukiukwaji wa haki za binadamu. Uwajibikaji haupaswi kuwahusu tu wale wanaotenda maovu hayo, bali pia wale wanaosaidia kuyaficha. Angalau, Meta inapaswa kukabiliwa na faini kutokana na nafasi yake katika kuficha mauaji ya Tanzania na ukiukwaji wa haki za binadamu., Meta inaweza kuonekana kama mshirika aliyesaidia kuficha au kuwezesha vitendo hivyo baada ya kutokea kwake.

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

207,811 Aufrufe • vor 2 Monaten

mangekimambi's profile picture

Samia muuaji anajitoa ufahamu ili kuwahadaaa international community kuhusu hali ya siasa Tz. Chadema waseme mara ngapi conditions za maridhiano kufanyika??? We muuaji unaeng’ang’ania kiti cha urais bila idhini ya wananchi mpaka ukawatoa roho maelfu ya wananchi unataka uambiwe mara ngapi conditions za maridhiano?????? Haya basi ngoja dada wa taifa nikusaidie tena maana naelewa uliishia form 4, tena kwa division 0 labda bado huja process in your dumb, evil, killer brain full of urojo. Hizi ndio conditions umepewa na Watanzania kupitia chama chao (CHADEMA). 1. Uchunguzi na accountability ya mauaji ya October 29 ufanyike. Woote walioua na waliotoa order wananchi wauliwe wachukuliwe hatua. 2. Mtoe Lissu jela ili aongoze maridhiano ya chama chake. 3. International mediation team kutoka United Nations, Common Wealth, Sadc, EU. Preferably woote wanne wakae mtu kati. 4. Mkae chini mkubaliane juu ya katiba, complete overhaul ya sheria za uchaguzi. 5. Baada ya maridhiano Uchaguzi urudiwe mara moja maana hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 2025, kilichofanyika ni mauaji tu. Uchaguzi kurudiwa ndio dawa pekeee ya kutuliza wananchi na kuleta amani ya roho kwa Watanzani. Hatuendi na hili kikao cha chama kinachojiita Bunge hadi 2030. Tena acheni story zenu za 2030, hatutaki kuzisikia mbwa nyie, lazma 2025 iwe rectified. Samia Suluhu Sasa nisikusikie tena unasema bado unapokea conditions za “mwenzenu mmoja”. Wewe sasa hivi unatakiwa kutuambia Watanzania kitu kimoja tu, je wewe na Kikwete mmekubaliana na hizi conditions au bado mnakaza fuzu ili wananchi tujue tunafanya nini ila usituleteee akili za urojo sisi eti bado unasikiliza conditions zao.

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

51,037 Aufrufe • vor 25 Tagen