
Manka Komu
@Manka_Komu • 2,099 subscribers
Social Media Influencer #GOE My Mom My Everything 💕
Videos

Ila imagine namsikia bado Niko darasa la kwanza leo mimi nimezeeka kuliko yeye 🤣🤣🤣🤣
Manka Komu44,851 просмотров • 15 дней назад

Mhhhhh sikutegemea haya kutoka kwa huyu Dada 🥹🥹🙌 amekula karibu Mil 300 ya Urithi baada ya Ruge kufariki kama hiyo familia wangekuwa washenzi wangekupa???? Haya interview hiyo nasikia ilitakiwa kutoka ila baadae Zama Boss Lady akazuia isitoke sasa sijui kwanini ila huyo mfanyakazi wake anayemdai ndo kaamua kuziachia liwalo na liwe 🤣🤣🤣🤣 haya atupeleke ndani na sisi maana naambiwa ukitingisha meza ya Zamaradi utajikuta lokaaapu 😜😜
Manka Komu27,013 просмотров • 2 месяцев назад

#Jikumbushe Hivi wakati Wema Sepetu akiwa wa moto kama jua la kiama mara kaenda Global kuanzisha timbwili kwa #Imelda kisa kamuandika vibaya na sa hivi ndo shoga wa #Kajala yaani alipo yuko mpka akaenda kuomba na perfume nyumbani kwake….si mnakumbuka lakini 😂😂😂 siku hizi sijui kawaje wanamtoboa mpka vidole mdomoni anaenda kumkumbatia manunu analia analala zake…. Hapa #Whozu alikuwa darasa la ngapi sijui 😂😂😂 me nilikuwa la tatu Angalia alivyokipiga hapo na Mlinzi na huna cha kumfanya 😂😂😂
Manka Komu25,818 просмотров • 2 месяцев назад

#Nimepenyezewa daah ila wanawake wa mjini mashindano ndo yanayowaharibia hawawezi kula nyama wakanyamaza…whyyy haya oneni sasa huyu kweli gari unajua kabisa la sponsa wako na Mkewe analijua hili ni gari letu maana wametafuta wote hela kulinunua wewe unakuja kutamba nalo Instagram 🙄🙄🙄 matokeo yake Mother House kaliona na ana mpango wa kwenda kulianzisha timbwili kwa huyo slay queen sasa Mother House mwenyewe Mpare na ana uchungu na hela ya mumewe maana wanaitafuta pamoja nyieee mtakuja kuunguzwa uso na maji ya moto…..
Manka Komu20,164 просмотров • 2 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки