Maria Sarungi Tsehai's banner
Maria Sarungi Tsehai's profile picture

Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai • 1,376,678 subscribers

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

Shorts

Kariakoo jana ilikuwa patashika nguo kuchanika usiku Mkuu wa Wilaya ya Ilala na OCD na mapolisi walikuwa bize na machinga kuwabomelea meza na kuchukua bidhaa zao na kuwakamata! Sasa kaeni mkijua kuwa CCM haiaminiki wala haina utu! Wao wamawatumieni kama kondomu alafu wanawaona kama uchafu na kuwatimua na kuwatupa jalalani! Amkeni watanganyika #MO29 ni ya kudai haki za kila mtu ila kila mtu asimame! 👊🏽 #TutaelewanaTu

75,678 views

Madereva #Tanzania wameweza 🔥👊🏽 Wamekuwa na umoja na nidhamu! Leo miji yote mikubwa na route muhimu wamepaki 👉🏽Magufuli Stand na maeneo mengine Dar 👉🏽Iringa 👉🏽Mbeya Makambako 👉🏽Mwanza Naambiwa pia Morogoro! Hongereni sana kwa kuweza kusimama na kujipambania haki zenu! Madai yao ni kusitishwa kwa mfumo wa point na sheria mpya irekebisbwe!

37,347 views

Nachukua fursa hii kuwashukuru na kuwaombea baraka with a special shoutout keyboard na microphone warriors wote mliokuwa mnahudhuria kesi ya Tundu Lissu kimyakimya kila siku ✊🏽 Mnatu represent vyema na Mungu awalinde! Maana mmeacha shughuli zenu kuwa hapo Mahakamani- come rain or shine! Na hamtambi wala hamna kitu mta gain zaidi ya thawabu! Ndo maana tunasema kuwa Tundu Lissu ni icon wa Taifa tutamlinda kwa wivu mkubwa #FreeTunduLissu

42,554 views

Youth demonstrating and chanting HATUTAKI CCM We don’t want CCM #Tanzania #MO29 #OktobaTunatoka

289,651 views

Mbona huyu Makamu haramu wa kimama aliyemtoa mfukoni anatetemeka hivi? Unajua kinachokuja ila huwezi kukataa kwani wamekupa kibano? Si kwamba sikuonei huruma ila tatizo ulitakiwa hata udondoke kwa kifafa walipokuteua au ungebaki UK ulipokuwa wakati walikutangaza kama mgombea So now all that was hidden will come to light - this is 💯 Jishikilie Baba! #TutaelewanaTu

45,148 views

Mpambanaji yuko Kimara mwisho anasubiri wakusanyike wa kutosha maandamano yaanze! Nimehoji je niweke? Wamesisitiza “watu waache kulala waamke safari ianze - hakuna kitu njia nyeupe!” Sambaza ujumbe! Maandamano ni ya amani wala hakuna fujo labda maaskari walete fujo

71,792 views

‼️MAGARI YA JESHI YANASAFIRISHWA KWENDA WAPI🙄‼️ Jana nimepewa habari na watu kuhusu kuonekana kwa mahgari ya kijeshi yakibebwa MSITUUZIE WOGA ❌ Na nyie JW labda kama ni utaratibu wa kawaida ila msitoe vifaru kutisha wananchi mnaotakiwa kuwalinda! Haya! Jumbe mbili zenye data na video hizi hapa: 👉🏽 “Kuna Magari yamesombwa Jana Usiku ilikuwa mida ya saa tano usiku Nilikuwa nzega niliyaona Yamebebwa Kwenye sem (Long Vehicle) yakiwa yamefunikwa Turubai. Semi zilikuwa kama 8-10 Kwa kila Semi kulikuwa na Gari la Jeshi 04 Yakiwa na Escort na Gari la Jeshi hayo magari nadhan Watakuwa Wanahitaj Kuyasambaza juu yako kwa Mfumo wa Vifaru sasa Wenda Wanahitaj Kuja kutishia watu kanda ya ziwa juu ya Maandamano ya 7/7” 👉🏽 “Jana, msafara wa magari ya Jeshi uliosafirisha vifaru ulionekana ukitokea njia ya Dodoma–Iringa. Vifaru hivyo vilikuwa vinasafirishwa kwa magari ya kiraia, yakisindikizwa na magari ya Jeshi na wanajeshi. Inadaiwa magari ya upande wa Iringa yalisimamishwa eneo la Mlima Nyang’oro kupisha msafara huo.” Tupo rada na hatutishiki! 7/7 loading na #TutaelewanaTu

80,337 views

Mwanaharakati wa Uganda Sam Mugumya alitekwa mwaka mmoja uliopita na kuna watu wakadai aliuwawa - leo video imepatikana ikimwomyesha akiwa na hali mbaya - kakonda sana na ana majeraha anatumia magongo lakini yuko hai Hii iwe funzo kwetu watanzania! Ndiyo maana mi nakataa hizi story eti fulani aliyetekwa na wamekaa naye muda basi wamemwua! Free Polepole, Free Mdude, Free Soka, Free them all - ndo kitu tunachotakiwa kudai! Na huyu babu Kaguta naye #FreeAllPoliticalPrisonersUg

52,517 views

Jana Putin alikuwa na kazi ngumu sana ya ku-babysit kimama 😁 Alishtuka kuwa kimama bado amevaa mic na ilikuwa on! Akakimbilia kumvua, mwenzake anataka kumshika kiuno 😁 Yaani Putin hatakaa asahau 🤣 #SamiaMustGo

77,371 views

‼️🚨ALERT - VOLGA DNERP FLIGHT SUSPICIOUS FLIGHTS ‼️ Find English below 👇🏾 Kuna taarifa nililetewa mchana huu kuwa ndege la Volga Dnepr ambayo imepigwa vikwazo na nchi zilizoendelea kwa kuhusika kusafirisha vifaa haramu kwa niaba ya serikali ya Urusi ipo uwanja wa ndege Dar es Salaam Ingawa mhusika anahisi wameleta silaha lakini hatuwezi kuthibitisha na tunaendelea kufuatilia! Hata hivyo tunachojua ni kuwa ndege hii aina ya Antonov An-124-100 ya mizigo 👉🏽Ilitoka Uturuki tarehe 19 Nov saa 10 .30 (04.30) alfajiri na ilitua Dar es Salaam mchana (12.20) 👉🏽 ikatoka Dar alfajiri (04.30) na kwenda Mauritius ikafika saa 3 ash (09.08 ) tarehe 20 👉🏽 Leo tarehe 21 Nov ilitoka Mauritius (07.02) ikaenda Moroni (08.54) 👉🏽Ikakaa Moroni kidogo na saa 4 na nusu (10.28) ikaruka kurudi Dar (11.36) Swali hii ndege ya mzigio ilikodiwa na nani na ilikuwa inasafirisha nini kati ya Tanzania - Mauritius na Comoros? Kumbukeni kuna tuhuma kadhaa za kumlink Bi Kizimkazi na familia yake na Comoros Tunaendelea kufuatilia ila kama bado tuna wazalendo ndani ya vyombo vya ulinzi wafuatilie na sisi tunafuatilia! Nchi imekuwa kama haina vyombo vya usalama na ulinzi 🙄 acha tupambane tunavyojua #TanzaniaMassacre This source has flagged the presence of a flight Volga Dnepr - this airline has been sanctioned for its association with the Russian govt and transporting goods to support Russian military! This source claimed that there might be illegal arms transported but it is unconfirmed and unverified (verification is still in the works) What is suspicious is its flight path between 19-21 that saw this plane fly from Turkey to Dar then to Mauiritius then Comoros and back to Dar It is worth noting that several sources have tied Samia Suluhu and her family to Comoros including building mansions and claiming heritage there! Keep eyes on Tanzania UN Office on Drugs & Crime United Nations UN Human Rights EARO UN Tanzania 🇺🇳

163,713 views

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?

43,720 views

‼️🚨MONEY LAUNDERING FILMED IN #Tanzania ‼️🚨 According to Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 , whisteblowers have sent her footage of money (US dollars) millions being packed for shipping This CRIMINAL gang allegedly includes Samia Suluhu ‘s son Abdul, the infamous Zimbabwean Chivayo, Suluhu’s friend and Defence contractor Angela Kizigha The whistleblower has sent receipts of transactions and also has rrvealed that this gang is involved in illicit arms deal - refer to the U.S. Department of Justice case that involves fake Tanzanian army documents This is very concerning The State of #Tanzania is captured by a criminal cabal! #NoReformsNoElection is not an option!

106,610 views

FYI this MP is from Zanzibar - CCM special seat This is how Samia Suluhu started her career - so you understand the culture and context! Now Samia is living out her fantasy! If we let CCM steal this term soon we will have worse cycles of violence that is why #SamiaMustGo Aisee tatizo hatukumsikiliza huyu mwanafunzi wa Samia - haya ndo mawazo yao - wanatuona kama watumwa wao 🚮 Ila #TutaelewanaTu

99,942 views

‼️#NepoKids à la Tanzanie? ⁉️ According to Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 in vidro 1 this is the daughter of #Tanzania intelligence chief Mombo filmed by her brother showing off hundreds of thousands of dollars in cash! Suleiman Mombo has been accused by several critics of corruption and acquisition of property and expensive cars facilitated by Samia Suluhu and her son Abdul These allegations have not been refuted while more and more videos of the luxurious lifestyle of the children of leaders is leaked like the video of the numerous Rolls Royce G Wagons parked in the garage at Mombo’s residence (video 2 and 3)

100,787 views

‼️It’s a massacre in Mwanza #Tanzania ‼️ Mtu asiseme hawa walistahili kuuwawa hivi kwa sababu walifanya maandamano au sijui miundombinu! Huu ni USHETANI #SamiaMustGo #SaveTanzania

85,857 views

👊🏽🔥🔥 #FreeTunduLissu Always filled with positive energy and a smile! Never ever despair! The Hero of Tanzania Jamani Tundu Lissu anajua kutia moyo ila na sisi tusimwangushe! Jumatatu kesi inaendelea! Inabidi mahakama ijae kila siku! Hapa tunasubiri atangazwe mshindi mengine ni waste of time but everyday we neex to show up! #FreeTunduLissuNOW

15,781 views

Ingieni Zaidi ya kuweza kuorodhesha wahanga ina orodha ya ICC Chekini na kama kuna marekebisho au wa kumwongeza leteni! Muda ndo huu✊🏽 #D9 tutajua wa kuwaongeza! Atakayeleta kauli chafu za kuchochea au kufadhili ukatili huu tutamwongeza hapo #SamiaMustGo #D9Tunatoka

72,983 views

🔥🔥👊🏽 Tundu Lissu ‘s spirit 🔥🔥 Mkisikia Aluta Continua ndo hii! Madhulmat wanakaribia kutema bung’o msidanganyike! Lissu kawaambia wamwachie ni haki si fadhila! Hawezi kupiga magoti! One day we will learn to appreciate this man! Amechagua njia ngumu ili sote tupone! Mungu amlinde 🙏🏽🫡 #FreeTunduLissu

30,699 views

‼️#EnforcedDisappearance #Tanzania caught on CCTV‼️ Wednesday night around 9pm at Tawaqal petrol station in Sumbawanga, Masoud Husein was taken by these men who drove a sedan and walked up to him as he sat on his bodaboda next to a Hiace mini bus! When the people asked who they are they said they are from the security and intelligence services TISS! He has not been seen since and police deny having him! Police Force TZ better produce him alive and well because this is TOO MUCH! We demand an end to these illegal abductions by state backed operators! Jumatano usiku majira ya saa 3 usiku Masoud Husein alitekwa na hawa wahuni na CCTV imerekodi kila kitu! Hawa mafedhuli kwenye hiyo gari ndogo walishuka na wakamfuata Masoud aliyekuwa amepaki boda yake hapo mkabala na Hiace na wakamchukua! Hapa ni kituo cha mafuta cha Tawaqal huko Sumbawanga! Walipohojiwa na watu kuwa ni akina nani wakasema wao ni TISS! Mpk sasa hajaonekana! Samia Suluhu alibadili sheria ya TISS kuwapa wahuni hawa nguvu kufanya watakavyo! Ni hatari! Nyie Police Force TZ hatutaki maneno mtafuteni na mrudisheni! Na nyie TISS acheni huu uhuni ndo mtaendelea kupigwa ban mpk bibi zenu 🚮 washenzi kabisa! Mmesababisha nchi inanuka damu na dhulma! Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo #TutaelewanaTu

30,859 views

Videos