
Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai • 1,373,104 subscribers
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Shorts
Videos

Huyu ni mgambo anafurahia jana na wenzake posho waliyolipwa ya kuumiza wananchi kuzuia maandamano halali ya 7/7 Anatutishia eti mjichanganye! Inaiskitisha ukiona na kujua hawa ni wenye uwezo wa chini wanapanga kuumiza watu wanaopigania future bora ya kwao na vizazi vyao wote Ameweka record mbaya kwa familia yake! Eniwei #77Tunatoka #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai54,377 views • 19 days ago

Cc Int'l Criminal Court This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7 He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre! Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc Senate Foreign Relations Committee Chairman Senate Foreign Relations Committee U.S. Senior Advisor for Arab and African Affairs Assistant Secretary Riley Barnes UN Human Rights Council World Bank Africa IMF Africa Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic! Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe Acheni vitisho 🚮 mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele! Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai98,363 views • 1 month ago

Sikilizeni ujumbe mzito kwa POLISI WOTE kutoka mtoto wa OCD mstaafu Willy Mwakilatu Ameongea mambo ya uhalisia kabisa na huwa tunawaasa sana - ishini maisha safi! Siyo wote mna uwezo kama Mafwele kuhamisha familia Sauzi! Nyie Police Force TZ jueni kuwa madaraka na cheo ni ya muda tu! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai50,062 views • 21 days ago
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Wakati wa Magufuli mwaka 2017 niliandika kuwa UOVU umetawala nchi! Wengi walinibeza kwa sababu ni kama wengine mlipigwa upofu! Hamkudhani kila mtu atafikiwa tukiacha uovu utamalaki! Tundu Lissu ni mhanga wa awali kabisa wa ushetani na nguvu za giza ambazo sasa zimeenea kila kona na kudai damu na uhai! Ni kama pepo chafu - Oktoba 29 ni kama shetani alishika mioyo ya maaskari na mamluki na kuwatuma kumwaga damu za kafara! Si bure! Tusali sana! Tumeshinda! Ila tuombe Mungu atuongezee imani! #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai19,570 views • 8 days ago

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?
Maria Sarungi Tsehai43,511 views • 22 days ago

Tumewaonya sana mkatuita wachochezi! Vijana wa #Tanzania wamechoka na wamewachokeni madhulmat! Kutwa mnawakamata mnawatesa Wao wako mamilioni - wakigundua kuwa wao ni wengi kuliko ninyi mnafikiri mwisho wenu utakuwa mzuri? Leo Arusha mmeonja joto la jiwe Police Force TZ na watekaji! Acheni huu upumbavu wa kamatakamata! Mnapeleka nchi kubaya! Sitachoka kuwatahadharisha! Hivi kuna mwenye akili na ujasiri kwenye mfumo anayeweza kusimamisha huu uendawazimu? #TutaelewanaTu Young man resists brutal illegal arrest/ abduction and others stand up to police brutality in Arusha today! Tanzania is headed down a disastrous path with Samia Suluhu - a complete collapse of rule of law and the economy! Hear ye! Hear ye! That is why #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai64,438 views • 1 month ago

‼️🚨ALERT‼️ In a special program on Iraq's Al-Oula television, the IraqiMP (Al Shamman) has revealed that the govt provided loans totaling $254 million to Tanzania ($191 million ‼️) , Uganda ($15 million ) and Central Africa Republic ($7 million) 😱😱 - the document acknowledges these debts as of 21st December 2025 Showing the official documents in front of the camera, the MP insisted that the loans were made through government decisions, sparking a heated debate on social media in Iraq over the economic and political criteria and goals that led to the decision. Is this debt also registered in Tanzania? Amkeni wapendwa! Kuna deni la dola za kimarekani milioni 191 tunaonekana kudaiwa na Iraq - kwa mujibu wa makabrasha deni letu tulikopeshwa kufikia tarehe 21 mwezi wa 12 mwaka jana ni hiyo dola 191 milioni na makabrasha yameanikwa kupitia mbunge Al Shamman Nyieee! Nawaambia haya ni majanga tu! Sasa kimama mkopaji ndo atatumaliza! Hili deni ni la Tanzania so Zanzibar nao wajiandae kuchangia malipo yake 😁 Nacheka ka mazuri ila #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai50,100 views • 1 month ago

Sabasaba is supposedly Workers’ Day in #Tanzania but it is also the founding date of Tanganyika liberation party TANU There is an internattional fair ongoing every year and it is a public holiday where businesses are open and thrive while shoppers roam the busy streets of Kariakoo and the fair! Today with the planned mega protest all shops are closed and Dar es Salaam is like a war zone - deserted! This is already an indication that Samia Suluhu and her murderous cabal have lost civilian control and are now ruling by force! This is not a democracy or Republic but a country occupied by a junta called CCM They now claim there is TRANQUILITY not Peace but it is the calm before the storm! Without justice there is no peace! CCM wameanza kuelewa tofauti ya Amani na Utulivu Amani ni maduka yangekuwa yako wazi watu wako bize na shopping - hapa kuna utulivu kabla ya dhoruba kulipuka! Hata wao wanazurura mtaani na mabunduki hawana amani! #77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29
Maria Sarungi Tsehai25,866 views • 16 days ago

🔥‼️NEWALA BODABODA WAKIWASHA🔥‼️ Taarifa kutoka Newala - bodaboda wameweka beria wao 🤣 nawaambia mambo kuchele kila kona ya nchi hapo bado siku 7 kufika sabasaba! Taarifa: Bodaboda katika halmashauri ya mji wa Newala leo tar 30 Juni wameamdamana kupinga manyanyaso ya Polisi ambao wamekua wakiendesha oparation mbalimbali bila ukomo. Polisi hao wamekua wanaingia maeneo mbalimbali kama sokoni,Stand na maeneo mengine na kuzikamata pikipiki pamoja na wahusika au bila wahusika kuwepo wakati wa ukamataji na hatmae vyombo vyao vinakua vinashikiliwa na Polisi katika maeneo ya vituo vidogo na kituo kikuu cha wilaya. Ili kufanikisha upatikanaji au kurudisha pikipiki baada ya kukamatwa, Polisi wa usalama pamoja na wengine wamekua wakilazimisha wenye vyombo husika kulipa faini zaidi ya makosa manne na huchukua kati ya siku mbili hadi tatu kwa wahusika kupata vyombo vyao baada kulipa faini. Aidha polisi hao wamekua na utaratibu wa kuweka vizuizi katika barabara zote zinazoingia mjini hali ambayo imesababisha kudorora kwa biashara katika mji wa Newala kwakua bodaboda hao hulazimika kwenda kupata mahitaji ya wateja katika wilaya za jirani za Tandahimba na Masasi kutokana na usumbufu wa Polisi wa Newala. Katika kudai haki yao,bodaboda walifanikiwa kufikisha ujumbe wao kwa mkuu wa wilaya Newala Mh Alhaji Rajabu Kundya ambae aliwaahidi kumaliza changamoto hizo na huku msisitizo ukitolewa kwa askari wasio na uniform kuacha kuendesha oparation hiyo hasa nyakati za jioni ambayo inapelekea usumbufu na uharibifu wa vyombo kwakua vinapakizwa na magari ya polisi pasipo utaratibu. Nasema #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai34,463 views • 22 days ago

Nyie wazanzibari akina Simai tulieni! Huyu kimama mwaka 2019 alisema wazi hawezi kuachia kiti cha namba mbili kwenda kuwa rais Zanzibar! Na Magufuli hakumtoa sababu alimgomea na angemfukuza angefungua pandora box na ye atimuliwe Sasa ni hivi Nchimbi mkimpigia kura ya kutokuwa na imani bungeni mnatusaidia kama Taifa maana tutataka waondoke WOTE na Samia😁✊🏽 Wamepigiwa kura wote wawili kwa pamoja! Waondoke wote kisha na nyie ondokeni hapo bungeni! Na we Simai utakuwa wa mwisho hakikisha unazima taa zote 🤣 Makatili wauaji wakubwa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai68,920 views • 1 month ago

Afande Sele ameongea vizuri hata mtoto mdogo anamwelewa! Ila haya mafedhuli hawataki suluhisho ya kweli wanataka wabaki tu madarakani! Wataendelea kutukandamiza wakiweza milele! Na haki itazidi kuwa mbaya! Kuandamana ni haki ya kikatiba tusitishiane! #77Tunatoka #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai29,686 views • 20 days ago

Meet brilliant young man Mika Chivala He has been detained on treason charges by the illegitimare govt of Samia Suluhu He led a prayer for the protestors and later joined them 😓 This exceptional young leader is punished for speaming his mind like thousands of others! Nchi ya kiwaki sana 🚮 huyu Mika ndo kiongozi anayetakiwa eti leo mmemfunga na kumpa kesi - chuki na husda tu maana kimama mtoto wake wa kiume tumeona posts zake anawaza mambo ya ajabu tu na bangi - leo anapewa pesa na kundi la mauaji ananyanyasa vijana bright kama Mika Eniwei #SamiaMustGo and we will free all political prisoners on #D9
Maria Sarungi Tsehai235,309 views • 7 months ago

📍Mwanza #D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿 Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽 Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified #D9Tunatoka
Maria Sarungi Tsehai223,225 views • 7 months ago

‼️🚨MORE EVIDENCE OF POLICE SHOOTING AND KILLINGS‼️ #TanzaniaMassacre This is Mwanza and we continue to collect evidence This is just a fraction that we make public Jamani narudia Acheni! Acheni! Acheni! Kwa sasa bora muanze kujipanga na kesi na utetezi ila msiendeleze huu ujinga ili Samia na familia yake waneemeke! Hawa askari ni wa Kirumba na Central wameua watu Nyasaka Soko Jipya, Pasiasi Narudia ACHENI! Hii siyo vijikesi vyenu mlivyozoea ni crimes against humanity! Mwambieni aliyetoa amri ya shoot-to kill aka Mass murderer in chief aondoke na msikubali amri HARAMU! #D9 isiwakute hapo na damu mkononi!
Maria Sarungi Tsehai198,752 views • 7 months ago