Maria Sarungi Tsehai's banner
Maria Sarungi Tsehai's profile picture

Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai1,373,104 subscribers

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

Shorts

Mpambanaji yuko Kimara mwisho anasubiri wakusanyike wa kutosha maandamano yaanze! Nimehoji je niweke? Wamesisitiza “watu waache kulala waamke safari ianze - hakuna kitu njia nyeupe!” Sambaza ujumbe! Maandamano ni ya amani wala hakuna fujo labda maaskari walete fujo

71,160 просмотров

‼️MAGARI YA JESHI YANASAFIRISHWA KWENDA WAPI🙄‼️ Jana nimepewa habari na watu kuhusu kuonekana kwa mahgari ya kijeshi yakibebwa MSITUUZIE WOGA ❌ Na nyie JW labda kama ni utaratibu wa kawaida ila msitoe vifaru kutisha wananchi mnaotakiwa kuwalinda! Haya! Jumbe mbili zenye data na video hizi hapa: 👉🏽 “Kuna Magari yamesombwa Jana Usiku ilikuwa mida ya saa tano usiku Nilikuwa nzega niliyaona Yamebebwa Kwenye sem (Long Vehicle) yakiwa yamefunikwa Turubai. Semi zilikuwa kama 8-10 Kwa kila Semi kulikuwa na Gari la Jeshi 04 Yakiwa na Escort na Gari la Jeshi hayo magari nadhan Watakuwa Wanahitaj Kuyasambaza juu yako kwa Mfumo wa Vifaru sasa Wenda Wanahitaj Kuja kutishia watu kanda ya ziwa juu ya Maandamano ya 7/7” 👉🏽 “Jana, msafara wa magari ya Jeshi uliosafirisha vifaru ulionekana ukitokea njia ya Dodoma–Iringa. Vifaru hivyo vilikuwa vinasafirishwa kwa magari ya kiraia, yakisindikizwa na magari ya Jeshi na wanajeshi. Inadaiwa magari ya upande wa Iringa yalisimamishwa eneo la Mlima Nyang’oro kupisha msafara huo.” Tupo rada na hatutishiki! 7/7 loading na #TutaelewanaTu

79,876 просмотров

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?

43,511 просмотров

Jana Putin alikuwa na kazi ngumu sana ya ku-babysit kimama 😁 Alishtuka kuwa kimama bado amevaa mic na ilikuwa on! Akakimbilia kumvua, mwenzake anataka kumshika kiuno 😁 Yaani Putin hatakaa asahau 🤣 #SamiaMustGo

76,705 просмотров

🔥🔥👊🏽 Tundu Lissu ‘s spirit 🔥🔥 Mkisikia Aluta Continua ndo hii! Madhulmat wanakaribia kutema bung’o msidanganyike! Lissu kawaambia wamwachie ni haki si fadhila! Hawezi kupiga magoti! One day we will learn to appreciate this man! Amechagua njia ngumu ili sote tupone! Mungu amlinde 🙏🏽🫡 #FreeTunduLissu

30,368 просмотров

Youth demonstrating and chanting HATUTAKI CCM We don’t want CCM #Tanzania #MO29 #OktobaTunatoka

288,004 просмотров

‼️#EnforcedDisappearance #Tanzania caught on CCTV‼️ Wednesday night around 9pm at Tawaqal petrol station in Sumbawanga, Masoud Husein was taken by these men who drove a sedan and walked up to him as he sat on his bodaboda next to a Hiace mini bus! When the people asked who they are they said they are from the security and intelligence services TISS! He has not been seen since and police deny having him! Police Force TZ better produce him alive and well because this is TOO MUCH! We demand an end to these illegal abductions by state backed operators! Jumatano usiku majira ya saa 3 usiku Masoud Husein alitekwa na hawa wahuni na CCTV imerekodi kila kitu! Hawa mafedhuli kwenye hiyo gari ndogo walishuka na wakamfuata Masoud aliyekuwa amepaki boda yake hapo mkabala na Hiace na wakamchukua! Hapa ni kituo cha mafuta cha Tawaqal huko Sumbawanga! Walipohojiwa na watu kuwa ni akina nani wakasema wao ni TISS! Mpk sasa hajaonekana! Samia Suluhu alibadili sheria ya TISS kuwapa wahuni hawa nguvu kufanya watakavyo! Ni hatari! Nyie Police Force TZ hatutaki maneno mtafuteni na mrudisheni! Na nyie TISS acheni huu uhuni ndo mtaendelea kupigwa ban mpk bibi zenu 🚮 washenzi kabisa! Mmesababisha nchi inanuka damu na dhulma! Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo #TutaelewanaTu

30,859 просмотров

‼️🚨ALERT - VOLGA DNERP FLIGHT SUSPICIOUS FLIGHTS ‼️ Find English below 👇🏾 Kuna taarifa nililetewa mchana huu kuwa ndege la Volga Dnepr ambayo imepigwa vikwazo na nchi zilizoendelea kwa kuhusika kusafirisha vifaa haramu kwa niaba ya serikali ya Urusi ipo uwanja wa ndege Dar es Salaam Ingawa mhusika anahisi wameleta silaha lakini hatuwezi kuthibitisha na tunaendelea kufuatilia! Hata hivyo tunachojua ni kuwa ndege hii aina ya Antonov An-124-100 ya mizigo 👉🏽Ilitoka Uturuki tarehe 19 Nov saa 10 .30 (04.30) alfajiri na ilitua Dar es Salaam mchana (12.20) 👉🏽 ikatoka Dar alfajiri (04.30) na kwenda Mauritius ikafika saa 3 ash (09.08 ) tarehe 20 👉🏽 Leo tarehe 21 Nov ilitoka Mauritius (07.02) ikaenda Moroni (08.54) 👉🏽Ikakaa Moroni kidogo na saa 4 na nusu (10.28) ikaruka kurudi Dar (11.36) Swali hii ndege ya mzigio ilikodiwa na nani na ilikuwa inasafirisha nini kati ya Tanzania - Mauritius na Comoros? Kumbukeni kuna tuhuma kadhaa za kumlink Bi Kizimkazi na familia yake na Comoros Tunaendelea kufuatilia ila kama bado tuna wazalendo ndani ya vyombo vya ulinzi wafuatilie na sisi tunafuatilia! Nchi imekuwa kama haina vyombo vya usalama na ulinzi 🙄 acha tupambane tunavyojua #TanzaniaMassacre This source has flagged the presence of a flight Volga Dnepr - this airline has been sanctioned for its association with the Russian govt and transporting goods to support Russian military! This source claimed that there might be illegal arms transported but it is unconfirmed and unverified (verification is still in the works) What is suspicious is its flight path between 19-21 that saw this plane fly from Turkey to Dar then to Mauiritius then Comoros and back to Dar It is worth noting that several sources have tied Samia Suluhu and her family to Comoros including building mansions and claiming heritage there! Keep eyes on Tanzania UN Office on Drugs & Crime United Nations UN Human Rights EARO UN Tanzania 🇺🇳

163,713 просмотров

FYI this MP is from Zanzibar - CCM special seat This is how Samia Suluhu started her career - so you understand the culture and context! Now Samia is living out her fantasy! If we let CCM steal this term soon we will have worse cycles of violence that is why #SamiaMustGo Aisee tatizo hatukumsikiliza huyu mwanafunzi wa Samia - haya ndo mawazo yao - wanatuona kama watumwa wao 🚮 Ila #TutaelewanaTu

99,942 просмотров

Mpo? Haya! Huyu kimama ni nuksi -kaa naye mbali! “Samia Suluhu, she’s a very bad dictator who has blood on her hands and we’re happy that, the ICC is slowly cornering her…” Asingemsanua! Never interrupt your enemy when SHE is making a mistake #TutaelewanaTu very soon!

33,154 просмотров

‼️🚨TOURISM AT STANDSTILL‼️ Zanzibar is tied to the hip to Tanganyika via the Union! The hotels stand empty and will continue to do so until #SamiaMustGo The People of Tanganyika want Justice and until then it is best to STAY AWAY as any tourist coming is benefitting an illegitimate murderous gang that has killed thousands and disposed of their bodies in National Parks and the ocean! FYI if you go snorkeling or swimming you might find body parts as we received solid information that bodies were dumped into the Indian Ocean! So until we clean up this mess starting December 9 onwards, find another destination! #TanzaniaMassacre #D9

84,370 просмотров

‼️It’s a massacre in Mwanza #Tanzania ‼️ Mtu asiseme hawa walistahili kuuwawa hivi kwa sababu walifanya maandamano au sijui miundombinu! Huu ni USHETANI #SamiaMustGo #SaveTanzania

85,738 просмотров

‼️#NepoKids à la Tanzanie? ⁉️ According to Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 in vidro 1 this is the daughter of #Tanzania intelligence chief Mombo filmed by her brother showing off hundreds of thousands of dollars in cash! Suleiman Mombo has been accused by several critics of corruption and acquisition of property and expensive cars facilitated by Samia Suluhu and her son Abdul These allegations have not been refuted while more and more videos of the luxurious lifestyle of the children of leaders is leaked like the video of the numerous Rolls Royce G Wagons parked in the garage at Mombo’s residence (video 2 and 3)

98,905 просмотров

Ingieni Zaidi ya kuweza kuorodhesha wahanga ina orodha ya ICC Chekini na kama kuna marekebisho au wa kumwongeza leteni! Muda ndo huu✊🏽 #D9 tutajua wa kuwaongeza! Atakayeleta kauli chafu za kuchochea au kufadhili ukatili huu tutamwongeza hapo #SamiaMustGo #D9Tunatoka

72,946 просмотров

‼️🚨THERE WAS NO POLITICAL STAND OFF BUT CRIMES AGAINST HUMANITY IN #Tanzanis‼️ This video says it all - traffic policeman who is not mandated to carry even a pistol, was given a heavy duty SMG to invade people in their homes and shoot them! The so called Commission needs to address this primarily! Who ordered, planned such widespread atrocities? Hivi huyu trafiki ambaye hata bastola hajaruhusiwa kubeba akiwa kazini alipewa SMG na nani? Nani alipanga na kutoa oda aende kwenye makazi na kupiga risasi hovyo? Litume lisituletee hadithi za vidodoso na sijui SMS Walete majibu haya! Hawa ndo wameua hadi watoto waliokuwa wamekaa sebuleni! Tunataka majibu! Hakuna cha CHADEMA ama wanaharakati hapa! Haki, Ukweli na Uwajibikaji! #TanzaniaMasacre #SamiaMustGo

30,691 просмотров

Amkeniii! Angelieni hii video vizuri! Hii cover mbona hivi? Gari limeonekana kwenye hafla iliyomhusisha Chalamila na Mwigulu yenye wheel cover imefanana tena na ile ya wauaji wa #MO29 Yaani kwa mauaji yale mbona kama mtu wa kawaida unatoa cover usihisiwe vibaya - ila hadi sasa cover inaonekana na plate namba tofauti - gari muundo uleule!? Hebu tuendelee kufuatilia - si bure! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo

27,581 просмотров

‼️🚨DOOR TO DOOR MASSACRE‼️ There are video and testimonies that Samia Suluhu ordered door-to-door massacre of the People of Tanganyika yet UN Human Rights UN Human Rights EARO António Guterres Susan Namondo Ngongi Amina J Mohammed Mahmoud Ali youssouf African Union Int'l Criminal Court all are quiet So what is the threshold for genocide and massacre!? #TanzaniaMassacre

64,239 просмотров

🔥🔥💪🏽 Mbagala wameshazuka wanatafuta kuungana na wengine Watu wa Ubungo ,Kimara,na Mlimani fikeni kwa Gwajma kuanzia sasa na mkifika subirini wengine kuunganisha nguvu - Siri ni namba 👊🏽 huu ndo ujumbe nimepewa na viongozi wa ground 👏🏽🔥 Msiogope tumeshashinda! Mabango msisahau #D25 to remember #SamiaMustGo

52,794 просмотров

‼️GSM wawe makini na watanzania kwa sasa! Watu wamechoka! ‼️ Madereva wanaendesha magari na mizigo yenye thamani alafu mnashindwana mambo madogo? Alafu mwaka jana si mlichangia mabilioni CCM!? Hatujasahau! Eniwei #TutaelewanaTu

34,743 просмотров

‼️CONNECT THE DOTS‼️ 👉🏽Dr Hashim Titho alionekana mara ya mwisho 22 April 2025 👉🏽 24 April wakati wa kesi ya Tundu Lissu watu wengi walichukuliwa kimyakimya na kupelekwa porini kupigwa, kubakwa, kuvunjwa miguu. Wengine walipigwa pale mbele ya mahakama vibaya sana 👉🏽 Kuna taarifa ilisambaa kuwa kuna mtu alipata kipigo na kuonekana kupoteza fahamu na baadaye gari liloonekana kubeba maiti ilionekana Mwananyamala ila watu walipohoji iliondoka haraka (video iko hapo 👇🏾) 👉🏽 Muliro akasimama na kusema wameokota maiti Coco beach na haihusiani na matukio ya mahakamani na wanaendelea na uchunguzi (video) 👉🏽 Familia ya daktari haikujua kijana haonekani maana walijua alikuwa bize, wameshtuka baadaye na walikuja kuona hii taarifa ya tarehe 24 April siku si nyingi (mwezi mmoja baadaye) na kufuatilia 👉🏽wameambiwa maiti imeshazikwa inabidi wafuate mchakato waende kuifukua kaburi MASWALI: 👉🏽 je Police Force TZ walikamilisha uchunguzi wa nini kilisababisha kifo? 👉🏽 je daktari Titho alipopotea alikuwa amefungwa POP? Katika maelezo ya bango iliyosambazwa hawakuandika kuwa unaweza kumtambua kwa kuwa na POP, je alivunjika lini mkono? 👉🏽 hata kama haikuhusiana na matukio ya mahakamani, daktari ali”poteaje” na maiti kufika Coco Beach ambapo tunajua maiti za MKIRU mwaka 2017 ziliibukia Coco Beach wakati wanajaribu kupoteza ushahidi?? Hapa kuna maswali mengi kuliko majibu! Mtu hapotei kama sindano! Watu wanapotezwa na kuuwawa, nchi hii inanuka damu! #TutaelewanaTu

85,013 просмотров

Videos

MariaSTsehai's profile picture

🔥‼️NEWALA BODABODA WAKIWASHA🔥‼️ Taarifa kutoka Newala - bodaboda wameweka beria wao 🤣 nawaambia mambo kuchele kila kona ya nchi hapo bado siku 7 kufika sabasaba! Taarifa: Bodaboda katika halmashauri ya mji wa Newala leo tar 30 Juni wameamdamana kupinga manyanyaso ya Polisi ambao wamekua wakiendesha oparation mbalimbali bila ukomo. Polisi hao wamekua wanaingia maeneo mbalimbali kama sokoni,Stand na maeneo mengine na kuzikamata pikipiki pamoja na wahusika au bila wahusika kuwepo wakati wa ukamataji na hatmae vyombo vyao vinakua vinashikiliwa na Polisi katika maeneo ya vituo vidogo na kituo kikuu cha wilaya. Ili kufanikisha upatikanaji au kurudisha pikipiki baada ya kukamatwa, Polisi wa usalama pamoja na wengine wamekua wakilazimisha wenye vyombo husika kulipa faini zaidi ya makosa manne na huchukua kati ya siku mbili hadi tatu kwa wahusika kupata vyombo vyao baada kulipa faini. Aidha polisi hao wamekua na utaratibu wa kuweka vizuizi katika barabara zote zinazoingia mjini hali ambayo imesababisha kudorora kwa biashara katika mji wa Newala kwakua bodaboda hao hulazimika kwenda kupata mahitaji ya wateja katika wilaya za jirani za Tandahimba na Masasi kutokana na usumbufu wa Polisi wa Newala. Katika kudai haki yao,bodaboda walifanikiwa kufikisha ujumbe wao kwa mkuu wa wilaya Newala Mh Alhaji Rajabu Kundya ambae aliwaahidi kumaliza changamoto hizo na huku msisitizo ukitolewa kwa askari wasio na uniform kuacha kuendesha oparation hiyo hasa nyakati za jioni ambayo inapelekea usumbufu na uharibifu wa vyombo kwakua vinapakizwa na magari ya polisi pasipo utaratibu. Nasema #TutaelewanaTu

Maria Sarungi Tsehai

34,463 просмотров • 22 дней назад