millardayo's banner
millardayo's profile picture

millardayo

@millardayo3,140,741 subscribers

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

Shorts

MBEYA, TUMEWAFIKIA! Tumekuletea gesi ya @totalenergies_tz mtaani kwako kwa punguzo la bei: ⏺️ Mtungi wa kilo 13 (uliojazwa) pamoja na vifaa vyake vyote utaupata kwa Sh 47,000/= ⏺️ Mtungi wa kilo 6 (uliojazwa) pamoja na vifaa vyake vyote utaupata kwa Sh 33,000/= Ofa hii inapatikana katika gari la promosheni lenye chapa ya TotalEnergies tu. Ukiliona gari letu utapata ofa hii papo hapo. 📍Kuanzia tarehe 24–31 Agosti 2026, tutakuwa tukipita katika maeneo mbalimbali ya Mbeya. Angalia ratiba yetu na ujue tutakuwa wapi na lini. 📞 Kuagiza piga simu bure: 0800 750 242 Vigezo na masharti kuzingatiwa. Pika kwa gesi, boresha maisha!

11,851 просмотров

Usione vyaelea, ujue vimeundwa….. 😀 leo nina elfu hamsinihamsini 5 za kuwapa Watu watano hapa X wataotisha na misemo ya kiswahili inayoendana na hii video ya maji yangu pendwa ya AFYA 🫶🫶🏿 Afya Pure Drinking Water

114,732 просмотров

Mtoto mdogo ameibua hisia na kuvutia maelfu ya Watu baada ya kuonyesha ujasiri wa kipekee kwa kumkimbilia Papa Leo XIV mara baada ya ibada ya Misa nchini Cameroon. Katika tukio hilo, mtoto huyo ameonekana kuvuka eneo la usalama bila woga na kumfikia Papa, hatua iliyowashangaza walinzi pamoja na waumini waliokuwepo. Badala ya taharuki, Papa alionekana kumkaribisha kwa utulivu na upendo, akionesha ishara ya ukarimu na kujali, jambo lililowagusa wengi waliokuwa wakishuhudia tukio hilo. Wengi mitandaoni wamesifu ujasiri wa mtoto huyo, wakieleza kuwa kitendo chake kinaonyesha imani ya dhati na moyo wa kumwamini kiongozi huyo wa dini, huku wengine wakivutiwa na namna Papa alivyolipokea tukio hilo kwa upole na busara. Tukio hilo sasa limegeuka kuwa gumzo, likitafsiriwa kama picha ya uhusiano wa karibu kati ya viongozi wa dini na waumini wao, hasa watoto. #MillardAyoUPDATES

24,449 просмотров

Ni mwendo wa kutunga sentensi tu wiki hii……. hapa nina elfu ishiriniishirini kwa Watu 10 wataopatia kutunga sentensi kwa kuunganisha hefuri hizi tatu za A.B.F !!! sentensi yako isikose maneno haya mawili ya AFIYA BERRIES!! ……….twende kazi

85,231 просмотров

Jioni ya jana imefanyika hafla fupi ya chakula cha jioni katika Jiji la Johannesburg, hafla hiyo maalum iliandaliwa na Rais wa CAF Patrice Motsepe akimkaribisha Rais wa FIFA Gianni Infantino nchini Afrika Kusini. Viongozi wakubwa wa mpira Duniani wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Rais wa Klabu ya Yanga Hersi Ally Said ambapo amekutana na Rais wa FIFA Gianni Infantino akiwa na Mwenyeji wake Rais wa CAF Patrice Motsepe na miongoni mwa mambo ambayo Rais wa FIFA Gianni Infantino aliyauliza Hersi ni matokeo ya ‘Derby’ ya Kariakoo iliyochezwa November 5,2023 ambapo Hersi alimjibu kuwa waliipiga Simba bao tano. #MillardAyoUPDATES

93,927 просмотров

VIDEO: Mastaa wa Bongofleva Diamond Platnumz na Harmonize jioni ya leo wamekutana Ikulu Jijini Dar es salaam na kusalimiana kwa kupeana mikono wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Samia na kuwaalika Watu mbalimbali wakiwemo Wasanii. Harmonize alionekana kumfuata na kumsalimia Diamond aliyekua ameka pembeni ya Meneja Sallam ambapo katika sehemu ya maongezi yao, Harmonize alisikika akimwambia Diamond ‘nitakupigia kesho, pokea basi’. Harmonize alisainiwa na Lebo ya WCB zaidi ya miaka tisa iliyopita lakini aliondoka kwenye lebo hiyo miaka zaidi ya minne iliyopita na toka hapo uhusiano wa wawili hao ulivunjika. #MillardAyoUPDATES

70,779 просмотров

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo. Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi ameonekana akiwapatia Marais hawa jezi zao. #MillardAyoSPORTS

73,898 просмотров

Refa wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan amerejea Nchini kwao baada ya kuzuiwa kuingia Marekani ambapo alitarajiwa kuwa miongoni mwa waamuzi wa Kombe la Dunia 2026. Artan alikuwa ameandika historia kwa kuchaguliwa na FIFA kuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Somalia kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia. Hata hivyo, alizuiwa kuingia Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Miami licha ya kuwa na visa halali ya kusafiria. FIFA baadaye ilithibitisha kuwa hatashiriki mashindano hayo kutokana na kushindwa kuingia Nchini humo. Akizungumza leo Juni 10, 2026 baada ya kupokelewa Nchini kwao Somalia, Artan aliwashukuru FIFA, CAF na Wananchi wa Somalia kwa sapoti waliyoendelea kumpatia licha ya kukosa nafasi hiyo muhimu katika maisha yake ya uamuzi. Kwa sasa, taarifa zinadai kuwa kuna Mfanyabiashara mmoja wa Somalia amempa Omar Artan dola 100,000 (shilingi milioni 262) kama pole lakini bado hazijathibitishwa rasmi na Vyanzo Vikuu vya Habari. #MillardAyoAUPDATES

10,619 просмотров

Videos