
Masanja
@mkandamizaji • 1,251,810 subscribers
Wafilipi 4:13. Positivist.
Videos

Leo ninapoadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na safari ya kunitoa aliponitoa hadi hapa nilipo. Hakika Mungu ni mwema. Nimeona wema wake. Naishukuru familia yangu na mama watoto wangu kwa upendo. Naomba pia tuungane kufanya maombi ya kipekee kwa ajili ya nchi yetu chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mungu aendelee kumbariki kwenye kazi yake kubwa ya kutuongoza. Kwa namna ya kipekee Mheshimiwa Rais nafikisha ombi lako kwangu kutusaidia kwa chochote kwenye kazi ya ujenzi wa Kanisa la Feel Free Church, Uwanja wa Barafu Mburahati. Tumefikia pazuri. Lengo la Kanisa hili ni kuhubiri injili kama sehemu ya wito wa kujenga jamii na Taifa bora lenye hofu ya Mungu kwani kumcha Mungu na kuwa na hofu naye ni msingi wa kila kitu. Nawaalika pia Watanzania wote wenye nia njema kuchangia kwa namba yangu 0756 444 000.
Masanja291,875 Aufrufe • vor 1 Jahr
Keine weiteren Inhalte verfügbar