
Mohammed Dewji MO
@moodewji • 2,303,653 subscribers
Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Shorts
Videos

It was a pleasure meeting with the President of Mozambique, H.E. Daniel Chapo, to discuss investment opportunities and how we can deepen economic ties between Tanzania and Mozambique. Through MeTL Group, we have committed to investing US$250 million in Mozambique, expanding Tanzanian enterprise across our borders and creating new opportunities for industrial growth, trade and employment. Africa’s future will be shaped by what we build today. Our responsibility is to carry the vision forward; to invest, create opportunities, build strong institutions and empower the next generation to take Africa even further. #MoAfrica #MoBusiness
Mohammed Dewji MO33,918 views • 14 days ago

Simba imara hujengwa na timu imara. Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya wachezaji wapya walioungana na kikosi chetu. Nina imani wataongeza nguvu, ushindani na ari mpya kuelekea msimu ujao. Kwa umoja, nidhamu na kazi kubwa, tutafikia malengo makubwa tuliyojiwekea na kuendelea kuijenga Simba tunayoitamani. 🦁❤️ #Simba #Nguvumoja
Mohammed Dewji MO38,637 views • 1 month ago

Hapa unadhani ninafikiria nini? 🤔 Jibu bora zaidi litapokea zawadi 👇🏽👇🏽
Mohammed Dewji MO245,181 views • 2 years ago

Every life matters. Changia Damu. Okoa Maisha. 🩸 A Life = A Life.
Mohammed Dewji MO16,476 views • 1 month ago

Kujikwa si kuanguka, bali ni kwenda mbele. 🦁Tupo Pamoja!
Mohammed Dewji MO199,539 views • 2 years ago

The era of talking about Africa’s potential is over. The era of building is here. Africa’s future will be built by those willing to think long term, invest beyond borders, and create industries that outlast them. It was a pleasure joining Bloomberg Television to discuss the role of the private sector in accelerating industrialisation, strengthening regional investment, and unlocking the opportunities ahead for African business. #Mo #Bloomberg
Mohammed Dewji MO13,031 views • 1 month ago

#Discipline in one area of life spills over into all others. My daily fitness routine is more than just staying in shape—it sharpens my focus, builds resilience, and strengthens my mindset. 🏓💪🏽 Whether in business, sports, or life, consistency is the real game-changer. #Paddle keeps me moving and thinking fast—big thanks to my coach Conor Silkman 🙏🏽 #Fitness #Mo
Mohammed Dewji MO98,053 views • 1 year ago

Taasisi ya Mo Dewji inawasaidia Watanzania kwenye ufadhili wa Masomo, upatikanaji wa Maji na kusaidia kutatua changamoto katika sekta ya Afya. Ninapenda kutoa tamko rasmi kwamba, mimi, Mohammed Dewji (Mo Dewji), na taasisi yangu ya Mo Dewji Foundation, hatutoi mikopo na wala hatujihusishi na taasisi za kukopesha. Ninafahamu kwamba kuna watu wanaojifanya mimi na taasisi yangu kudanganya wanatoa mikopo. Watu hawa ni waongo. Ninamsihi kila mtu awe makini zaidi na apate uhakika wa taarifa kabla ya kufanya miamala yoyote ya kifedha. Mo Dewji Foundation
Mohammed Dewji MO150,151 views • 3 years ago
0:49
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Leo ni siku ya kipekee katika historia ya klabu yetu - nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, hapa nyumbani kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Tumefika mbali, lakini safari bado inaendelea. Mbele yetu kuna nafasi ya kuingia fainali na kuiweka Simba kwenye ramani ya soka la Afrika kwa kiwango cha juu kabisa. Nimewahi kutembelea Stellenbosch na ninawaheshimu sana kama wapinzani. Lakini ninajua nguvu ya Simba. Juzi nilizungumza na wachezaji wetu kupitia Zoom, niliwaambia wanayo nafasi ya kuandika historia mpya. Niliwaona wakiwa na ari, umoja, na kiu ya mafanikio. Hii ni timu yenye moyo wa ushindi. Safari haijakuwa rahisi. Tulianza msimu huu tukiwa na uso mpya - wachezaji wapya, kocha mpya, benchi la ufundi jipya, na mwelekeo mpya. Lakini tumekabiliana na kila changamoto na tumevuka. Leo ni siku ya kupambana tena. Chezeni kwa moyo, kwa ujasiri, na kwa kujiamini. Hii ni nafasi ya kuweka alama isiyofutika katika historia ya klabu yetu. 📌HATUISHII HAPA #Simba #Nguvumoja —President Simba SC Mohammed Dewji
Mohammed Dewji MO41,226 views • 1 year ago

Mipango yetu imeanza kuchukua hatua! Maendeleo ya uwanja wa mazoezi Bunju na uanzishwaji wa Mo Simba Arena ni hatua kubwa mbele kwa Simba. Tunajenga mazingira bora kwa wachezaji wetu na kitovu cha ushirikiano wa kijamii. Huu ni msingi wa mabingwa wa leo na kesho! #nguvumoja🦁
Mohammed Dewji MO49,833 views • 1 year ago