
Mohammed Dewji MO
@moodewji • 2,302,294 subscribers
Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Shorts
Videos

There are no shortcuts to success. No elevator. No escalator. Take the stairs. Pay the price. It’s worth it.
Mohammed Dewji MO12,640 просмотров • 18 дней назад

Hapa unadhani ninafikiria nini? 🤔 Jibu bora zaidi litapokea zawadi 👇🏽👇🏽
Mohammed Dewji MO245,149 просмотров • 2 лет назад

Kujikwa si kuanguka, bali ni kwenda mbele. 🦁Tupo Pamoja!
Mohammed Dewji MO199,539 просмотров • 2 лет назад

#Discipline in one area of life spills over into all others. My daily fitness routine is more than just staying in shape—it sharpens my focus, builds resilience, and strengthens my mindset. 🏓💪🏽 Whether in business, sports, or life, consistency is the real game-changer. #Paddle keeps me moving and thinking fast—big thanks to my coach Conor Silkman 🙏🏽 #Fitness #Mo
Mohammed Dewji MO98,041 просмотров • 1 год назад

Umekuwa wakati mzuri kupata muda wa kuzungumza na kuwapa hamasa wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Kama klabu, tunapaswa kubaki pamoja, kuwa na utulivu, na kuendelea kupambana hadi mwisho. Kwenye mpira, lolote linawezekana. Never retreat. Never surrender. 🦁 #Simba #NguvuMoja
Mohammed Dewji MO12,132 просмотров • 2 месяцев назад
0:49
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Leo ni siku ya kipekee katika historia ya klabu yetu - nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, hapa nyumbani kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Tumefika mbali, lakini safari bado inaendelea. Mbele yetu kuna nafasi ya kuingia fainali na kuiweka Simba kwenye ramani ya soka la Afrika kwa kiwango cha juu kabisa. Nimewahi kutembelea Stellenbosch na ninawaheshimu sana kama wapinzani. Lakini ninajua nguvu ya Simba. Juzi nilizungumza na wachezaji wetu kupitia Zoom, niliwaambia wanayo nafasi ya kuandika historia mpya. Niliwaona wakiwa na ari, umoja, na kiu ya mafanikio. Hii ni timu yenye moyo wa ushindi. Safari haijakuwa rahisi. Tulianza msimu huu tukiwa na uso mpya - wachezaji wapya, kocha mpya, benchi la ufundi jipya, na mwelekeo mpya. Lakini tumekabiliana na kila changamoto na tumevuka. Leo ni siku ya kupambana tena. Chezeni kwa moyo, kwa ujasiri, na kwa kujiamini. Hii ni nafasi ya kuweka alama isiyofutika katika historia ya klabu yetu. 📌HATUISHII HAPA #Simba #Nguvumoja —President Simba SC Mohammed Dewji
Mohammed Dewji MO41,207 просмотров • 1 год назад

Mipango yetu imeanza kuchukua hatua! Maendeleo ya uwanja wa mazoezi Bunju na uanzishwaji wa Mo Simba Arena ni hatua kubwa mbele kwa Simba. Tunajenga mazingira bora kwa wachezaji wetu na kitovu cha ushirikiano wa kijamii. Huu ni msingi wa mabingwa wa leo na kesho! #nguvumoja🦁
Mohammed Dewji MO49,799 просмотров • 1 год назад

Tanzania is a nation of extraordinary beauty and opportunity. From world-class tourism to strategic minerals like graphite for the EV future, our country remains one of Africa’s most promising markets. Above all, our strength is our people — resilient, hopeful, and united. May we continue working together to build the future we deserve. Happy 64th Independence Day. 🇹🇿 #Tanzania is worth believing in.
Mohammed Dewji MO21,016 просмотров • 7 месяцев назад

Question for innovators: If you received funding today from a Startup Fund to build with AI, what problem would you solve first in Tanzania or Africa? // Swali kwa wabunifu: Kama ungepata ufadhili leo kutoka Mfuko wa Ubunifu, ni tatizo gani ungelitatua kwanza Tanzania au Afrika kwa kutumia AI? #VijanaNaTeknolojia #StartUpFund #OneMinutewithMo #MoAfrica #AfricanInnovation
Mohammed Dewji MO19,057 просмотров • 7 месяцев назад

Kwa nini Waafrika hatuzalishi chakula chetu wenyewe? Kuna 30% hadi 40% ya ardhi ya kilimo, na idadi kubwa ya vijana. Maono yangu ni kupunguza uagizaji wa chakula kutoka nje kwa 50% na kupata mbadala wa angalau 25% ya bidhaa kama mafuta, nafaka, mahindi na ngano kutoka nje.
Mohammed Dewji MO45,756 просмотров • 2 лет назад

Wanasimba, tukutane kwa Mkapa Ijumaa!🦁🦁#AFL #WenyeNchi #NguvuMoja
Mohammed Dewji MO48,621 просмотров • 2 лет назад