Maulid Kitenge's banner
Maulid Kitenge's profile picture

Maulid Kitenge

@mshambuliaji • 1,835,584 subscribers

CROWN MEDIA

Shorts

Imeisha hiyooo

Imeisha hiyooo

3,569,561 Aufrufe

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, ameanguka ghafla wakati akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini Tanzania. Warioba alikuwa miongoni mwa wazungumzaji wakuu katika mkutano huo unaoandaliwa na Tanzania Centre for Democracy (TCD), ambapo alizungumzia masuala ya kisiasa na mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya. Tukio hilo limetokea wakati akiendelea kuzungumza, Mzee Warioba alianguka ghafla, hali iliyosababisha shughuli za mkutano kusitishwa kwa muda. Mwenyekiti wa TCD, Dorothy Semu, alitangaza mapumziko mafupi ili kutoa nafasi kwa hatua za kumsaidia Warioba kuchukuliwa, na baada ya takribani muda dakika chache, Warioba alisimama na kuondoka katika eneo la mkutano huo. Hata hivyo, Bado hakuna taarifa rasmi kuhusu hali yake kiafya kwa sasa. #KitengeUpdates

25,458 Aufrufe

Mambo hayo huwezi kukuta Gogo FC✍🏼

Mambo hayo huwezi kukuta Gogo FC✍🏼

18,680 Aufrufe

Simba wakiona hivi watajua unawasema wao. #KitengeSports

25,524 Aufrufe

Watuhumiwa wa ubakaji wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akimaliza kesi yao atamtafuta. Kwa namna alivyozungumza ni kama Mtuhumiwa anamtishia Mwandishi asifanye kazi yake ya kuchukua habari, Je hii sahihi kwa mtuhumiwa kuzungumza namna hii tena kwa kujiamini huku akiwa na kesi kubwa inayomkabili? Wasafifm #KitengeUpdates

130,282 Aufrufe

Marehemu Mtarajiwa Askari Mstaafu Patrick Matei Kimaro ( Saba sita) akiwa mbele ya jeneza lake lilipowasili nyumbani kwake jana likitokea nchi Jirani ya Kenya lilikotengenezwa, Mwenye kiwanda na gari ya kubebea jeneza walifika mpaka nyumbani kwa mnunuzi kwa lengo la kuandika historia ambayo kwao Kenya haipo. #KitengeUpdates

148,229 Aufrufe

Rais Vladimir Putin wa Urusi aligundua kuwa beji ya Mmoja ya Mawaziri wa Tanzania ilikuwa imejipinda, na akairekebisha. #KitengeUpdates

26,129 Aufrufe

Baada ya kula kiapo cha kuwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba itakuwa sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbili pekee ambazo ni wanaume na wanawake tu. . “Kuanzia leo, itakuwa sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbuli tu, nazo ni wanaume na wanawake.” amesema Trump✍️

72,525 Aufrufe

🎥 Video inayomuonesha Rais wa Nigeria Bola Tinubu akianguka wakati akipanda kwenye Gari kwa ajili ya kukagua Paredi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii hii leo huku Wanigeria wengi wakiwalaumu Walinzi wa Rais Tinubu kwa tukio hilo kwani wanafahamu fika kuwa hali ya kiafya ya Rais huyo siyo nzuri tangu aingie Madarakani. #KitengeUpdates

89,193 Aufrufe

BREAKING: Nyota wa Wydad AC, Aziz Ki amekimbizwa hospitalini Mjini Zanzibar baada ya Mchezo dhidi ya Azam FC wa Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi, huku ikiripotiwa kuwa hali yake ni mbaya. #KitengeSports

29,829 Aufrufe

Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden Rage anasema wakati anaondoka Simba aliacha basi Yutong jipya kabisa liko wapi?

84,789 Aufrufe

Tundu Lissu akiwa chato Leo 2/8/2023 amembariki Rais Samia✍️

73,320 Aufrufe

CHADEMA WALIA NA SIMBA DAY KUPATA WATU 34 KWENYE MKUTANO WA LISSU Wiki ya tatu leo tangu kuanza kwa Mikutano ya Chadema inaanza vibaya baada ya bundi la kukosa watu leo ikiwa inatajwa Simba Day.✍🏼 #KitengeUpdates

68,865 Aufrufe

Mzee wa Minyama Maulid Kitenge akiwa kwenye Same Utalii Festival Wilayani Same mkoani Kilimanjaro amemshika bega Simba wa maonesho✍🏼

16,608 Aufrufe

Mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi yameshambuliwa kwa mawe katika eneo la Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam usiku huu na kundi la watu ambao hawajafahamika. Video mbalimbali zimesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii zikionesha uharibifu uliofanywa kwenye vituo na Mabasi ya Mwendokasi. #KitengeUpdates

26,052 Aufrufe

Maafisa wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, wamelazimika kuingilia kati kuzuia kijana mmoja aliyetaka kulisogelea jukwaa wakati Rais akiwahutubia washiriki wa kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kutoa mitaji kwa wafanyabiashara wapya (start-ups), ambapo maafisa walimnasa mwanamume huyo kwa haraka kabla ya kufika jukwaani na kumdhibiti. Baada ya hali ya utulivu kurejea, Rais Ruto alitoa maelekezo kwa timu yake ya ulinzi kumshikilia mwanamume huyo kwa muda, akiahidi kushughulikia jambo lake baadaye. #KitengeUpdates

16,202 Aufrufe

RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa kwa mkono usoni na mkewe Brigitte Macron muda mfupi baada ya kutua Vietnam kwenye ziara yake ya kikazi. #KitengeUpdates

22,520 Aufrufe

Msanii Shilole amepata ajali mbaya ya gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Malagarasi, Kigoma alipokuwa safarini akielekea Dodoma. Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Cleyton Chipando #officialbabalevo amethibitisha taarifa za kutokea kwa ajali hiyo. #KitengeUpdates

10,320 Aufrufe

😆😆😆😆😆😆

😆😆😆😆😆😆

26,520 Aufrufe

Videos

mshambuliaji's profile picture

Kenya imethibitisha kesi yake ya kwanza ya Ugonjwa wa Ebola, baada ya raia wake aliyekuwa akiishi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupatikana na virusi hivyo na baadaye kufariki akiwa Nairobi. Waziri wa Afya wa Kenya, Aden Duale, ametangaza leo, Oktoba 6, 2026, kwamba Mgonjwa huyo alikuwa ameishi DRC kwa takribani miaka saba. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Kenya, Mgonjwa huyo alianza kuugua takribani mwezi mmoja uliopita na alipata Matibabu katika vituo kadhaa nchini DRC kabla ya kusafiri kwa barabara hadi Kampala, Uganda. Kutoka Kampala alipanda ndege ya Jambojet kuelekea Nairobi, ambako alifika Oktoba 3 na baadaye kupelekwa Nairobi Hospital, ambapo aliwekwa katika eneo la kutengwa na kufanyiwa vipimo. Vipimo vilithibitisha kuwa alikuwa ameambukizwa Ebola ya aina ya Bundibugyo, aina hiyo hiyo inayohusishwa na mlipuko unaoendelea nchini DRC. Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema mlipuko huo ulithibitishwa DRC na Uganda mwezi Mei 2026. Mamlaka za Kenya zimeanza kufuatilia watu waliokuwa na mawasiliano na marehemu, huku watu 28 wakiwa tayari wametambuliwa, wakiwemo ndugu na wahudumu wa afya. Serikali pia inawatafuta abiria 23 na wahudumu wanne wa ndege aliyosafiria mgonjwa huyo kutoka Kampala kwenda Nairobi. Kabla ya kuthibitishwa kwa kesi hiyo, Wizara ya Afya ya Kenya ilikuwa imeimarisha ufuatiliaji katika mipaka na viwanja vya ndege kutokana na mlipuko wa Ebola katika DRC na Uganda. WHO inaendelea kusaidia nchi hizo katika ufuatiliaji, ufuatiliaji wa waliokutana na wagonjwa na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa huo. #KitengeUpdates

Maulid Kitenge

17,022 Aufrufe • vor 11 Tagen