
Maulid Kitenge
@mshambuliaji • 1,829,137 subscribers
HEAD OF SPORTS WASAFI FM
Shorts
Videos

Kutana na Mwalimu wa Kiswahili nchini Uholanzi, anakufundisha Kiswahili unaelewa kabisa.✍️
Maulid Kitenge15,113 views • 26 days ago

BUNGE la Ulaya (EU) limetoa maazimio sita (6) kwa Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 wakitaka haki itendeke kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Maazimio mengine ambayo EU ni pamoja na nchi kulinda haki za makundi mbalimbali wakiwemo watu wa mapenzi ya jinsia moja. Katika azimio hilo wametaka Kesi ya Lissu kuendeshwa kwa uwazi, Mamlaka za Tanzania kulinda uhuru wa kisiasa, usalama wa waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati wanaotetea ushoga lakini pia CHADEMA iruhusiwe kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge127,846 views • 1 year ago

BANDARINI DP WORLD HUONI WATU NI MASHINE TU NA UTENDAJI, HUKU HAKUNA RUSHWA! Hafidh Nassoro Mfanyakazi Bandari ya DP World Dubai anasema ukifika bandari ya DP World hutoona wingi wa Watu kwani kazi zote zinafanywa na Mashine hivyo mianya ya rushwa hakuna kabisa. Tazama Mahojiano mazima na Kampuni ya DP World kupitia YouTube Channel yetu ya Wasafi Media ukiwa popote Duniani. #WazeeWaMinyamaNaDpWorld | > Gerald Hando Maulid Kitenge Zembwela Beberu
Maulid Kitenge264,004 views • 2 years ago

“Tumeambiwa kwana Vijana wale walioingia Barabarani, walilipwa fedha kwanza ndio wakaingia barabarani Je, Fedha zilitoka wapi, Tume mkaangalie hayo”____ Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.✍️ #KitengeUpdates
Maulid Kitenge62,048 views • 6 months ago

Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza. Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge119,170 views • 1 year ago

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti yuko raha mustarehe✍️
Maulid Kitenge119,240 views • 1 year ago

Watoto wa aliyekuwa Mfanyabiashara nchini na Mdau wa Klabu ya Simba Marehemu Zakaria Hans Pope wamejitokeza kuomba msaada kwa Serikali na wadau wengine baada ya huduma mbali mbali ikiwemo gharama za kusomeshwa kwa kulipiwa ada kusitishwa. Sakata hilo limekuja baada ya kesi ya Mirathi kufika Mahakamani ambapo watoto hao wanasikitika kukosa huduma mbalimbali kama Ada na mahitaji mengine. Hayo ameyasema mtoto wa Marehemu, Abel Zakaria Hans-Pope. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge138,221 views • 1 year ago