
Maulid Kitenge
@mshambuliaji • 1,830,709 subscribers
HEAD OF SPORTS WASAFI FM
Shorts
Videos

Mfanyabiashara Maarufu nchini Tanzania Nilesh Suchak amekanusha madai yanayoenezwa kuwa yeye alimpa Fedha Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche Akizungumza katika Mahojiano na Maulid Kitenge kwa njia ya Simu akiwa Afrika Kusini, Nilesh amesema hizo ni propaganda zinazoendeshwa na Mtu mmoja ambaye amesema ikilizamika atamtaja hadharani ili kukata Mzizi wa fitina. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge44,843 görüntüleme • 9 gün önce

Mmiliki wa timu ya Azam FC Jamal Bakhresa amefanya mahojiano na Kocha Mchezaji Maulid Kitenge na kusema Azam FC haitendewi haki kwenye Ligi Kuu, huku akienda mbali zaidi kuwa licha ya uwezekaji mkubwa wao lakini imekuwa kazi bure kwa kutotendewa haki Uwanjani. Jamal Bakhressa amesema kama TFFB na Bodi ya Ligi hawawataki ni bora wawaambie ili watafute Ligi nyingine ya kushiriki. #KitengeSports
Maulid Kitenge63,221 görüntüleme • 14 gün önce

Hivi ndivyo Pacome alivyochezewa Rafu na kuvunjika Mguu Vibaya.
Maulid Kitenge39,661 görüntüleme • 19 gün önce

Utalii wa Tanzania unatangazwa kando ya Uwanja wa Kombe la Dunia hapa Atlanta, Marekani.
Maulid Kitenge17,198 görüntüleme • 21 gün önce

“Nimeona pia kwenye Mitandao baadhi ya Watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye Mikoa yetu, na kwa bahati mbaya sana nguvu inayotumika katika kulinda amani wakati mwingine inakuwa ya kawaida sana, nguvu zitakazoendelea kutumika kulinda amani pengine haijawahi kutokea wala kuonwa katika kipindi chote, na pengine kuna wengine wanadhani kuna nguvu ishawahi kutumika mahali, kwenye kikao hiki nataka niwathibitishie yalikuwa ni majaribio kutumia nguvu kulinda amani.” Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza hii leo na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge16,537 görüntüleme • 1 ay önce

BUNGE la Ulaya (EU) limetoa maazimio sita (6) kwa Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 wakitaka haki itendeke kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Maazimio mengine ambayo EU ni pamoja na nchi kulinda haki za makundi mbalimbali wakiwemo watu wa mapenzi ya jinsia moja. Katika azimio hilo wametaka Kesi ya Lissu kuendeshwa kwa uwazi, Mamlaka za Tanzania kulinda uhuru wa kisiasa, usalama wa waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati wanaotetea ushoga lakini pia CHADEMA iruhusiwe kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge127,874 görüntüleme • 1 yıl önce

BANDARINI DP WORLD HUONI WATU NI MASHINE TU NA UTENDAJI, HUKU HAKUNA RUSHWA! Hafidh Nassoro Mfanyakazi Bandari ya DP World Dubai anasema ukifika bandari ya DP World hutoona wingi wa Watu kwani kazi zote zinafanywa na Mashine hivyo mianya ya rushwa hakuna kabisa. Tazama Mahojiano mazima na Kampuni ya DP World kupitia YouTube Channel yetu ya Wasafi Media ukiwa popote Duniani. #WazeeWaMinyamaNaDpWorld | > Gerald Hando Maulid Kitenge Zembwela Beberu
Maulid Kitenge264,011 görüntüleme • 3 yıl önce

Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Mti huo, unaomilikiwa na Kanisa la Golan Gospel Center lililopo mtaani hapo, umeibua mijadala kuhusu uwezekano wa tukio hilo kuwa la miujiza. Baadhi ya viongozi wa Kanisa na wananchi wameeleza kushangazwa na hali hiyo. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge119,204 görüntüleme • 1 yıl önce

Watoto wa aliyekuwa Mfanyabiashara nchini na Mdau wa Klabu ya Simba Marehemu Zakaria Hans Pope wamejitokeza kuomba msaada kwa Serikali na wadau wengine baada ya huduma mbali mbali ikiwemo gharama za kusomeshwa kwa kulipiwa ada kusitishwa. Sakata hilo limekuja baada ya kesi ya Mirathi kufika Mahakamani ambapo watoto hao wanasikitika kukosa huduma mbalimbali kama Ada na mahitaji mengine. Hayo ameyasema mtoto wa Marehemu, Abel Zakaria Hans-Pope. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge138,234 görüntüleme • 1 yıl önce