Maulid Kitenge's banner
Maulid Kitenge's profile picture

Maulid Kitenge

@mshambuliaji1,829,137 subscribers

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

Shorts

Imeisha hiyooo

Imeisha hiyooo

3,569,334 次观看

Watuhumiwa wa ubakaji wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akimaliza kesi yao atamtafuta. Kwa namna alivyozungumza ni kama Mtuhumiwa anamtishia Mwandishi asifanye kazi yake ya kuchukua habari, Je hii sahihi kwa mtuhumiwa kuzungumza namna hii tena kwa kujiamini huku akiwa na kesi kubwa inayomkabili? Wasafifm #KitengeUpdates

130,268 次观看

Baada ya kula kiapo cha kuwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba itakuwa sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbili pekee ambazo ni wanaume na wanawake tu. . “Kuanzia leo, itakuwa sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbuli tu, nazo ni wanaume na wanawake.” amesema Trump✍️

72,485 次观看

🎥 Video inayomuonesha Rais wa Nigeria Bola Tinubu akianguka wakati akipanda kwenye Gari kwa ajili ya kukagua Paredi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii hii leo huku Wanigeria wengi wakiwalaumu Walinzi wa Rais Tinubu kwa tukio hilo kwani wanafahamu fika kuwa hali ya kiafya ya Rais huyo siyo nzuri tangu aingie Madarakani. #KitengeUpdates

89,184 次观看

BREAKING: Nyota wa Wydad AC, Aziz Ki amekimbizwa hospitalini Mjini Zanzibar baada ya Mchezo dhidi ya Azam FC wa Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi, huku ikiripotiwa kuwa hali yake ni mbaya. #KitengeSports

29,655 次观看

Maafisa wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, wamelazimika kuingilia kati kuzuia kijana mmoja aliyetaka kulisogelea jukwaa wakati Rais akiwahutubia washiriki wa kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kutoa mitaji kwa wafanyabiashara wapya (start-ups), ambapo maafisa walimnasa mwanamume huyo kwa haraka kabla ya kufika jukwaani na kumdhibiti. Baada ya hali ya utulivu kurejea, Rais Ruto alitoa maelekezo kwa timu yake ya ulinzi kumshikilia mwanamume huyo kwa muda, akiahidi kushughulikia jambo lake baadaye. #KitengeUpdates

16,202 次观看

Mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi yameshambuliwa kwa mawe katika eneo la Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam usiku huu na kundi la watu ambao hawajafahamika. Video mbalimbali zimesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii zikionesha uharibifu uliofanywa kwenye vituo na Mabasi ya Mwendokasi. #KitengeUpdates

26,042 次观看

Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden Rage anasema wakati anaondoka Simba aliacha basi Yutong jipya kabisa liko wapi?

84,788 次观看

Tundu Lissu akiwa chato Leo 2/8/2023 amembariki Rais Samia✍️

73,319 次观看

CHADEMA WALIA NA SIMBA DAY KUPATA WATU 34 KWENYE MKUTANO WA LISSU Wiki ya tatu leo tangu kuanza kwa Mikutano ya Chadema inaanza vibaya baada ya bundi la kukosa watu leo ikiwa inatajwa Simba Day.✍🏼 #KitengeUpdates

68,851 次观看

Msanii Shilole amepata ajali mbaya ya gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Malagarasi, Kigoma alipokuwa safarini akielekea Dodoma. Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Cleyton Chipando #officialbabalevo amethibitisha taarifa za kutokea kwa ajali hiyo. #KitengeUpdates

10,308 次观看

Msafara wa Mgombea wa urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina umezuiwa kuingia katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dodoma. Askari waliokuwepo kwenye ofisi hizo wamelifunga geti la Ofisi hizo ili Mpina na wenzake wasiingie ndani. Ikumbukwe, siku ya jana Jumanne Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhan Kailima alimwandikia barua Katibu Mkuu wa chama hicho ikieleza kwamba tume hiyo barua yake ya awali ya Agosti 15, 2025 iliyohusu urejeshaji wa fomu za uteuzi wa Mpina na kueleza kuwa hatapaswa kufika katika Ofisi za Tume kwa ajili ya uteuzi uliopangwa kufanyika leo Jumatano, Agosti 27, 2025. #KitengeUpdates

10,807 次观看

😆😆😆😆😆😆

😆😆😆😆😆😆

26,519 次观看

Videos