
Nchi yangu kwanza
@NCHIYANGUT • 2,994 subscribers
🇹🇿
Shorts
Videos

🟢 TANGAZO RASMI KWA JAMII 🟢 “KATIBA NI MAMA, HATUTAIRUHUSU IVUNJWE!” Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa kauli madhubuti: “Sitaruhusu kuona Katiba inavunjwa, kutokupiga kura, kusitisha uchaguzi ni kusigina Katiba – sitaruhusu kama Msimamizi wa Sheria na Katiba.” 📌 Kauli hii ni kengele ya ulinzi wa misingi ya demokrasia na utawala wa sheria nchini Tanzania. 📌 Ni wito wa kuheshimu Ibara ya 21 ya Katiba, inayotamka wazi kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura na kushiriki uchaguzi. 📌 Kusitisha uchaguzi bila sababu za kisheria ni uvunjaji wa Katiba – jambo ambalo halitavumiliwa. 📌 Wananchi wote wanahimizwa kushiriki uchaguzi kwa amani, uelewa na utii kwa Katiba. 👉🏽 Tuijenge Tanzania kwa msingi wa haki, utawala bora na Katiba. 🗳️ Kura yako ni sauti yako. Sauti yako ni nguvu ya mabadiliko ya kikatiba!
Nchi yangu kwanza119,725 views • 1 year ago

HII NI SHULE YA MSINGI IPOGOLO Imefanyiwa ukarabati mkubwa katika bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu ambalo litaweza kutumika na wanafunzi themanini,ukarabati huu umegharimu kiasi cha Shilingi Milion Ishirini na tano (M25) Shule ipo kata ya Ruaha,mtaa wa Ipogolo E halmashauri ya Manispaa ya Iringa. TUONYESHE UBORESHWAJI KAMA HUU POPOTE ULIPO TUPIA PICHA NA SHULE YAKO ILIPO😃😃 #sisinitanzania #ipogolo SISI NI TANZANIA Matokeo ChanyA+ Samia Suluhu
Nchi yangu kwanza110,169 views • 1 year ago

🔴HAKI,UTU NA UKATILI WA KIJINSIA VYOTE UTAVIONA KATIKA WIMBO HUU…. Kuwa makini na marafiki unaowaamini na kuwasaidia..Tunajifunza nini hapa juu ya marafiki na imani zetu.. Utafanya nini likikutokea? Jibu bila Jazba na rugha ya staha karibu.. Otile Brown #javia #jeraha #haki #sisinitanzania #Nchiyangukwanza
Nchi yangu kwanza67,340 views • 1 year ago

"Kwa mujibu wa Kifungu cha (4) Cha Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyia kina Majukumu mahususi ambayo ni 3 1. Kuimarisha Ustawi wa tasnia ya Sheria: Kwa kudumisha na kuboresha viwango vya Maadili na Elimu ya taaluma ya sheria nchini Tanzania. 2. Kuhamasisha Utawala Bora na Utawala wa Sheria: Kwa kusaidia Serikali, Mahakama, na Bunge katika masuala yote yanayohusiana na Sheria, usimamizi na utekelezaji wa Sheria nchini Tanzania; na 3. Kulinda na kusaidia Umma wa Tanzania katika masuala yote yanayohusiana na sheria". Rais wa TLS Boniface Mwabukusi. 3/2/2025
Nchi yangu kwanza38,412 views • 1 year ago
No more content to load