
NTOBI
@Ntobi_ • 79,166 subscribers
Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Proud Member of ACT Wazalendo||
Shorts
Videos

MWAMBA ACHANGIA TSH 250M KUFANIKISHA MKUTANO MKUU CHADEMA WA JANAUARI 2025. "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tumaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700. Chama kina milioni 300, tuna upungufu wa zaidi ya milioni 400, ikabidi sisi wajumbe wa Kamati Kuu tuchangie. Lissu ameambiwa achangie milioni 30 mpaka leo hata shilingi mia hajatoa, Freeman ameingia tena mfukoni mwake juzi ametuchangia milioni 250 kutoka mfukoni mwake kusaidia Mkutano Mkuu.” Ezekia Wenje, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria.
NTOBI188,706 просмотров • 1 год назад

WACHA MVUA INYESHE, TUJUE PANAPOVUJA! Waza! Mtu kama huyu, alikuwa ni Mbunge kwa miaka10, Mjumbe wa Kamati Kuu ‘kidemokrasia’ Haamini kwenye DEMOKRASIA. Wakati huo anasema anamunga mkono TAL,{Ni demokrsaia na ni haki yake} lakini hataki wengine tumuunge mkono FAM! Na zaidi, ANATAKA! FAM-ajitoe kugombea uenyekiti {asitimize haki yake ya kugombea kwa mujibu wa Katiba} ili Mropokaji ASHIDE!Au apite bila kupingwa? Hii ni demkrasia ya wapi wanahubiri hawa ndugu zetu? Kwanini wanaogopa box la kura? Nikisema tuna MADIKTETA na VIBAKA wa DEMOKRASIA muwe mnaelewa! Unaita press na kuvaa suti (rangi😀) kuja kusema; Mgombea AJITOE? Hutaki demokrasia kwenye Chama chetu? Pole sana Neema🙏🏾
NTOBI72,712 просмотров • 1 год назад

‘Will fix it’ hakuwa na ‘wazo wala ndoto’ ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Nani amemshawishi kugombea uenyekiti CHADEMA kama hakuwa na ndoto hiyo? Jibu ni Kinyambe, Bambucha na maCCM! Amini nakuambia; Chawa ni NUKSI sana! Well, tuta m-fix Januari 21, 2025. Tuna Mungu, Tuna Wajumbe, Tuna Agenda. TUTASHINDA! Mwamba #Mi5Tena✊🏾💪🏽
NTOBI70,098 просмотров • 1 год назад

Busisi-Mwanza, umma wamechoka kusubiri feri {ambazo ni mbovu na zinasua-sua kwa muda} ikawalazimu kuvunja geti ili kuingia kwenye njia ya daraja la muda la ujenzi wa daraja la Busisi. Nguvu ya umma imetumika, wamefanikiwa kuvuka ng’ambo ya pili {kwa kukimbia zaidi ya kilomita tatu} wakiwa na mizigo yao. Siku tukitumia nguvu ya umma namna hii —tutapata #KatibaMpya na kuwatoa CCM madarakani. INAWEZEKA #NguvuYaUmma 💪🏽
NTOBI61,098 просмотров • 1 год назад

Huyu mbunge kaongea vizuri hata kuliko yule TP wa TLS! Asali ni nyoko sana!😀
NTOBI58,806 просмотров • 1 год назад

Kwa Chama Cha Mapinduzi ni kwa moto sana! Huyu ni Mbunge wa viti maalumu Mwanza, anamchana ‘live’ mwenyekiti wake SSH. ( Samia Suluhu) Kwamba, SSH hakufuata utaratibu wa Katiba ya Chama chao, kwenye uteuzi wa kugombea urais 2025. Je, SSH atafukuza wanaCCM wangapi, wanaumpinga —kuteuliwa kwake ‘kimabavu’ kuwa mgombea wa urais na makamu wake?🤷🏽♂️😀
NTOBI57,130 просмотров • 1 год назад

Mwigizaji na mtegenezaji filamu ndg Deogratius Shija ametoa ‘kipande cha video’ kikawashutumu baadhi ya watumishi wa Azam TV media kwa rushwa. Na Azam TV tayari wametoa siku 14 kwa Deogratius Shija awasilishe ushahidi wa rushwa kwa Azam au PCCB. Mmewaelewa Azam Media?🤷🏻♂️
NTOBI88,357 просмотров • 2 лет назад

Wakili Alicia Magabe, ni mke wa Mhe Tundu Lissu, walikutana wakiwa wanafunzi wa sheria UDSM mwaka 1991, na baadaye walifunga ndoa mwaka 1997. Na wamebarikiwa watoto wawili. Hapa Mhe Adv Alicia anampigania mme wake—mbele ya mkutano wa IDU (International Democracy Union) 💔 #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow!
NTOBI45,339 просмотров • 1 год назад

KWA HILI LA “UHAINI WA MCHONGO” TLS IMEMTELEKEZA TAL. ————— Yes! Mtakumbuka Mhe TAL alipokuwa Rais wa Tanganyika Law Society(TLS), august 2017, ofisi ya wakili fatma karume aka Shangazi ilipigwa mabomu. Haraka sana kwa mwendo wa ngiri Mhe TAL kama Rais wa TLS akafanya Press na maandamano pale LHRC kulaani tukio la kupigwa mabomu ofisi ya wakili mwenzao. Mhe TAL, aliitisha maandamano/ mgomo kwa mawakili wote nchi (wasifanya kazi zao za uwakili kwa siku 2) ili kuonyesha solidarity na wakili Fatuma. Mhe TAL, Rais wa zamani TLS, kabambikiwa kesi ya UHAINI, TLS ipo kimya hakuna maandamno —wala tukio lolote kuonyesha solidarity kwa wakili mwenzo TAL. Yule ‘KIBAKA’ kazi yake ni kushinda tweeter (X) (kila post anaweka picha yake kama Sikununu) Mara kueleza kusaini sijui—kanuni! Hata hawazi kuonyesha solidarity kwa wakili mwenzake. Waza—kama siku ile huyo KIBAKA angeliita mawakili wote, wafike Kisutu. Kumpigania TAL au kuliamsha kwa style yoyote kwa mawakili wote wa TLS zaidi ya 10,000 unadhani ingekuwaje? Kwamba, kibaka hajui kuwa injustice anywhere is a threat to justice everywhere!? Kazi ya kibaka ni kutoa tamko bila action kama ya TAL alivyofanya hapa kwa kumpigania Fatuma kwa action. Uncle Tundu Antiphas Lissu Mungu akutunze sana mshua, tunakuombea sana🙏🏾 UTASHINDA!✊🏾 #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow
NTOBI41,095 просмотров • 1 год назад

JULIUS MWITA : WATU WOTE WALIOMUUNGA MKONO MBOWE WANASHUGHULIKIWA KWELI KWELI! “….hata sasa hivi tunapozungumza, wapo wajumbe wa Kamati Kuu, ambao walikuwa na muelekeo wa kumuunga mkono FAM WANASHUGHULIKIWA sana, wanatukanwa na kusemwa vibaya kwenye group la CC. Huwezi kuendesha taasisi kubwa kama CHADEMA. (ambayo ni tumaini la Watanzania) kwa CHUKI na VISASI. Eti! kwa sababu Mtu hakukuunga mkono kwenye uchaguzi anageuka kuwa mbaya na MSALITI. Juzi—kapigwa mdada anaitwa Sigrada (Katibu Mwenenzi BAWACHA Taifa) na mwanume. Chama kikawa kimya. Baadae kikatoa taarifa kuwa kitachunguza. Haiwezi kuwa sawa, haiwezi kuwa sawa hata kidogo! WATU WANAENDELEA KUSHUGULIKIWA kwenye hiki Chama. Mtakumbuka hata wakati wa mchakato wa Uchaguzi ndani ya Chama. Alivuliwa uongozi Emmanuel Ntobi bila kufuatwa mchakato wa Katiba, akaondolewa kwenye uwenyekiti wa Chama Mkoa Shinyanga. Juzi pia, Mwenyekiti wa BAVICHA Shinyanga. Samson Vuga, AMEENGULIWA Kwenye uongozi wake. Lengo ni kuondoa watu wote waliokuwa wanamunga mkono FAM. Tunajiuliza; Wanachadema wenzetu wanatuchukia sisi tuliomuunga mkono FAM kuliko kuchukia matendo mabaya ya CCM na Serikali yake!?” By Julius Mwita ( @Kenyamonta2000 )
NTOBI34,499 просмотров • 1 год назад

CHADEMA HATUKUBALI UMASIKINI CHADEMA hatuamini kwenye umasikini wala Ubangaizaji wala Unyonge! Tunataka kujenga taifa la kila mmoja anaweza kuishi kwa raha mstarehe kutokana na usimamizi bora wa rasilimali za Taifa. Kataa kuitwa masikini au mnyonge au mbangaizaji. Tutakuwa na serikali ya viwango, Chama cha kiwango!
NTOBI24,399 просмотров • 1 год назад
1:37
Sensitive content
This media may contain sensitive content.