Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

maCCM yamechanganyikiwa sana!

30,149 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Anthony Kasigwa
Anthony Kasigwavor 1 Jahr

Dah nimecheka sana , kwamba ccm ndo fikra zao zipo hapa, kuandikisha kwenyewe kumewashinda watu wanakuja kituoni 200 wanaandikishwa 60 wengine wanashinda tu mwishowe wanaondoka vituon, yaan hii nchi vituko ni vingi sana

Profilbild von Pancras Flahisha
Pancras Flahishavor 1 Jahr

Sasa VISA hakuna sahivi kwenda DRC ikitokea Mripuko wa Ebola DRC unafikiri BONGO itakuwa salama.? Sasa kama ndo hivyo mbona kuna virus na bacteria 🦠🧫 wapo Maabara wameifadhiwa wengine kama Control, wengine kama specimen, kwanini wasichukue hao ambao hutumii pesa kuwapata. Hizi mambo kidwanzi, naona mambo ya kuchafuana yana Anza, Lakini XXM wakichafuliwa dadeq utakula virungu na kulambwa kichwa. Wazee sahivi hawana hoja watupe nchi vijana tuinyooshe kana rula. Hizi propaganda baaaana mimi hata si waamini.

Profilbild von HUDI
HUDIvor 2 Jahren

just published some posts in the new page in @CoinMarketCap Community 🤩🎉 🔥 Join HUDI on CMC 👇

Profilbild von netanyau 2024
netanyau 2024vor 1 Jahr

Hapana nadhani ni moja ya mbinu zao

Profilbild von Rugu kwetu,
Rugu kwetu,vor 1 Jahr

Kwali makala cpa amosi makala ndo maneno yaliyomtoka kinywani mwake au hawa jamaa wasipobadili namna ya kuomba kura watapotea raia mjinga wa kuamini ujinga huu ni yupi kwa karne hii???

Profilbild von Chairman
Chairmanvor 1 Jahr

@WHO wamepata pakuanzia. Shahidi wanae

Profilbild von ABDALLA HAMAD ALI
ABDALLA HAMAD ALIvor 1 Jahr

Haya yote yanawezekana CHADEMA sio chama cha Malaika

Profilbild von NTOBI
NTOBIvor 1 Jahr

Kama mnaweza kuwaza hivi? maCCM mmekuwa WAJINGA sana!

Profilbild von Imani Jonas
Imani Jonasvor 1 Jahr

Daah yani CCM ndipo ilipo fikia kweli?😱😱😱🙌

Profilbild von Boss Micah 👻🇹🇿
Boss Micah 👻🇹🇿vor 1 Jahr

Mno kila siku wanazidi kuongea ujingaa

Profilbild von oscarcyprian
oscarcyprianvor 1 Jahr

wenyewe wanauwa wanateka hawaumizi wananchi wanakula Kodi zawananchi wanadanganya wananchi wamejilimbikizua mali kwa ufisadi kilakukicha wanawaza kuiba wezi wakubwa

Ähnliche Videos