NTOBI's banner
NTOBI's profile picture

NTOBI

@Ntobi_79,166 subscribers

Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Proud Member of ACT Wazalendo||

Shorts

Madikteta uchwara ndivyo- walivyo huwa wana-panic haraka na kuropoka kwa lugha chafu. “Kuna wajinga-wajinga…!” Lugha za mgombea urais 2020, Mtia nia uRais 2025 na Chair Taifa!😀😀 G-55 #MawazoMbadala✊🏾🔥

53,729 次观看

Umma ukaaminishwa kuwa, Dr Wilboad Peter Slaa ameshikiliwa kwa sababu ya uchaguzi wa CHADEMA Taifa. Uchaguzi umeisha, Mzee wa watu bado anashikiliwa! Kitabu cha Mathayo 7:15 na Mathayo 24:11 kinatukumbusha tujihadhari na watu wa namna hii!

49,830 次观看

Tanza-Giza!

Tanza-Giza!

39,384 次观看

“…What’s wrong, is wrong period!”🫡

“…What’s wrong, is wrong period!”🫡

15,957 次观看

Ila wabongo buana! Unaweza kudhani aliyeshinda CHADEMA ni CCM na si mwanaCHADEMA!😀😀

26,383 次观看

TANGAZO KWA UMMA DAKA MTOYO WA MBUNGE NTOBI Ninatoa zawadi ya shilingi 300,000 (laki tatu) kwa bodaboda au mtu yeyote atakayemkamata mtu anayechana bango hata moja. Lengo ni kumfanya awe mfano kwa dunia na kwa waliomtuma!

14,457 次观看

LEMA NA GENGE LAKO HAUTAFANIKIWA KUFANYA MAPINDUZI CHADEMA. Anachokifanya Lema na genge lake ni kutaka kufanya Mapinduzi ndani ya Chama chetu! Kwamba, Lema katoa wito kwa wanachama nchi nzima wafike ukumbini. Kinyume kabisa cha Katiba, kanuni na muongozo wa CHADEMA. Na UKWELI hao hawatakuwa wanachama wa CHADEMA, bali ni Greenguard wa CCM kutoka Ihemi —Dodoma, walioandaliwa na Kinyambe Msigwa. Lema nakuambia; CHADEMA sio TLP wala NCCR-Mageuzi. Huu UHUNI wenu- HAUTAFANIKIWA. Aidha! Ukitaka kuamini HAUTAFANIKIWA kumbuka kwenye kikao cha Baraza kuu 2020, wakati tunampitisha TAL kugombea urais kama ulikuwepo Mlimani City. Hivi ni kwani, mnaogopa uchaguzi? Mbona FAM yupo tayari kwa Uchaguzi wewe na genge lako lipo tayari kwa vurugu? HAUTAFANIKIWA BRO! Ntobi wa Ntobi. Januari 17, 2025.

18,512 次观看

Videos

Ntobi_'s profile picture

maCCM yamechanganyikiwa sana!

NTOBI

30,149 次观看 • 1 年前