
Mchokozi !!
@OleMtetezi • 357,078 subscribers
Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur Not
Shorts
Videos

Huyu Alikua OCD Wa Wilaya Ya Hai, Hapa Anamwambia Mgombea Wa Ubunge Wa CHADEMA Jimbo La HAI Kwamba Hata Afanye Nini Hawezi Kumshinda Mgombea Wa Ubunge Wa CCM Baada Ya Hapo OCD Huyu Alipandishwa Cheo Alafu Kuna Watu Bado Hawaelewi Kwanini Tunasema NO REFORMS NO ELECTION?
Mchokozi !!85,128 görüntüleme • 1 yıl önce

Nimeangalia Mahojiano Ya Tundu Lissu Na Kipindi Cha Clouds 360, Niseme Tu! Mtangazaji Kija Yunus Ni Muandishi Wa Habari Wa Hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubui .. Msikilize Kidogo 👇🏿👇🏿
Mchokozi !!91,679 görüntüleme • 1 yıl önce
0:48
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Askofu Dkt. Benson Bagonza Ana Hoja Ya Msingi Sana Tumsikilize ...!!
Mchokozi !!107,180 görüntüleme • 2 yıl önce

John Mrema Akizomewa Na Wananchi Wa Musoma Mjini Leo Chapombe Mrema Amebaki Analalamika Na Kurusha Mikono Tu 😂
Mchokozi !!57,277 görüntüleme • 1 yıl önce

WALIOTAPELIWA Kujiunga Chaumma Waanza Kuomba Kurudi CHADEMA
Mchokozi !!50,995 görüntüleme • 1 yıl önce

Wananchi Wa Jimbo La Serengeti Wakimzomea Catherine Ruge Leo Kwenye Mkutano Wa Chaumma Hii Kweli Kanda Maalamu 😂😂
Mchokozi !!25,526 görüntüleme • 1 yıl önce