
Polycarp The Bibliophile
@PolycarpMDM • 23,348 subscribers
- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)
Shorts
Videos

Vijana wa TikTok si wamepata namba ya Mwaipopo aisee
Polycarp The Bibliophile57,156 Aufrufe • vor 14 Tagen

(TAHADHARI KUHUSU VIDEO) Siku Ambayo Watu watu wa South Africa walisema ni mwisho wa Wahamiaji kuishi South Africa ni leo 30 June 2026 wakaita (Deathline) haijaeleweka wanataka kufanya nini, Tusubiri tuone. Hii ni Video mojawapo wa Watanzania wanaoishi eneo la "Matentini" wakiwatukana moja ya Raia wa Tanzania ambao ni Wapigania haki kwa Watanzania waishio SA wanaoitwa Juma Alone na Mohamed Msangi, Matusi haya ni sababu walishauriwa kurudi nyumbani kabla ya Deathline. Huwa nashangaa Salim Alkhasas kwanini huwa Anawasema WaEthiopia Kukimbia kwao kama kuna mazingira mazuri. Ukikutana na Raia wa Ethiopia Nchi yeyote Basi ni Mfanyakazi au Mfanyabiashara, Ila Ndugu zetu wa Tanzania kule south Wana hali mbaya sana, Hawana ushindani sokoni.
Polycarp The Bibliophile40,161 Aufrufe • vor 20 Tagen

Si mamba tu Aliyepatikana, Hata Mwili wa Aliyekamatwa na Mamba ulipatikana.
Polycarp The Bibliophile29,246 Aufrufe • vor 18 Tagen

Hii nchi Kuna tamaduni nyingi sana, Kuna mila ambazo bado tunazifuatilia.
Polycarp The Bibliophile21,613 Aufrufe • vor 14 Tagen

Huyu Dogo angeachwa dakika 2 tu Angemuua Baba yake.
Polycarp The Bibliophile68,252 Aufrufe • vor 1 Monat

Kuna Mila Hapa Tanzania huzijui. Ndio maana ukikaa Umeshiba ugali Maghetoni, Unaanza Kusema Wakoloni walituharibia mila zetu. Ukiwa na watu Design hii Focus yenu ibaki kwenye Furaha na kutafuta chakula, Kuhusu Maendeleo ya Kiakili achieni watoto wa wakubwa. Jamii hizi ndio zinaongoza kufanya shughuli Chafu mjini na huwezi kuta zikikemewa, Sababu watawala wanapenda mbaki hivi (Mtunze mila za Kisenge) wao watunze madaraka.
Polycarp The Bibliophile27,133 Aufrufe • vor 20 Tagen

Jamaa zetu wanatusanua mchongo kwa mara nyingine.
Polycarp The Bibliophile517,703 Aufrufe • vor 1 Jahr

Hii mikoa imekua na vijana wa aina hii wengi sana 🤣
Polycarp The Bibliophile17,210 Aufrufe • vor 16 Tagen

📍Marangu, Kilimanjaro, Tanzania 🇹🇿 Kuna zile kauli za Kusema, Mikoa fulani na Fulani ni midogo, Haikui. Si kila mkoa lazima ukue, Maeneo mengine watu wanapenda utulivu, Sio kila mahali watu wanapenda maspika na makelele na Concrete jungles. Kama sehemu isipokua na isipochangamka ndio ipo hivi, Acha iwe hivi wakuu. Hapa mahali ni Pazuri bhana. Video By: Explore with Bertin
Polycarp The Bibliophile14,405 Aufrufe • vor 14 Tagen

Kumbe Mwendokasi zetu bado sio ndefu 😁 Brand za Kizungu ndio tumekimbia, Hizi ni MAN
Polycarp The Bibliophile16,518 Aufrufe • vor 17 Tagen
