Loading video...
Video Failed to Load
Hii nimecheka sana 🤣
80,055 views • 2 months ago •via X (Twitter)
22 Comments

Yamkini alokuja bila viatu ni afande🤣🤣🤣

Sharpness at its best, kofia pia ukishikwa bila unauwawa, so inabidi uibe ya the next person naye aibe ya next Bora Kesho kila mtu akue na kofia. Kurutu sharpness. Kurutu FM

Sisi wakati wa JKT miaka hiyo, unatupiwa uniform si size yko, viatu vyote vya mguu mmoja na size si yko na kesho 12 kamili asubuhi uwe kwa parade na in neat uniform, kazi kwako kujiongeza na kutafuta size yko kwa wenzako. Walikua wanatufundisha somo kubwa hapo la ushirikiano.

Sharpness pale kwa kambi nayo lazma ukue nayo kama skill for your own sake and survival ju siku kama Monday kwa parade ya C.O lazma kila mtu akue ameng'aa

Yaani jina stealing, huko kwa kambi ndo mnarembesha kuita "Sharpnes" 🤣🤣🤣 sharpness boy every corner🤦♂️

So where does the extra boots come from???😂

And those are supposed to be out Cops

Nakumbuka niliwahi kuibiwa combats pale kj841 asee alafu kesho niblue monday😅🤣tunaamshwa saa kumi na afande, nacheki mzigo kwenye begi haumo dadeki nikaduwaa🤣🤣🤣 jamaa akanikata kofi moja kubwa zito ndio nikachangamka kwenda kuitafta kombania ya chalie🤣🤣🤣

😁😁ukiibiwa iba sio😁😁

What was ordered. Now, sho us what was delivered.

KAZI ya vijana ya nys hii ndio sharpness yao

😃

😀😀…

Heee

😂😂😂😂

Hizo all black tamu sana

🤣🤣

😂😂😂😂ikabidi akue mpole

Inanikumbusha kofia ya ngatata na sleeping bag...

😁🤣😁

@KapitaHemedy

Macho zimenuna
