
Rehema Mugogo
@RehemaNM2 • 13,614 subscribers
Mnyakyusa
Videos

Majibu ya Tundu Antiphas Lissu ya 👇🏾SWALI nililomuuliza juu ya MARIDHIANO alisema:- Kabla ya maridhiano alimpa Samia Suluhu MASHARTI: 📌Wafungwa wa Kisiasa kutoka Magerezani, 📌Wakimbizi wa kisiasa kurudi nyumbani🇹🇿 📌Mikutano ya Hadhara, etc. HIVYO HAKUNA MATUNDA YOYOTE YA MARIDHIANO.
Rehema Mugogo126,897 просмотров • 2 лет назад

Siku nikisikia yule kiumbe anaeamrisha Watanzania WAPINZANI wapigwe waumizwe, watekwe, wapotezwe, wauwawe halafu wala haonyeshi KUJALI damu za Watanzania zinazomwagika Nikisikia tu kuwa na yeye AMEKUFA hakyanani NITAFURAHI sana. Siku hiyo lazima nikate uno la uzazi kama hili🤔🧐
Rehema Mugogo43,602 просмотров • 1 год назад

MAANDAMANO DIASPORA KUPINGA UKATILI UNAOENDELEA TANZANIA ✅FRIDAY May 23, 2025 IMF Offices in Washington, DC Addresses and Time will follow. 📌TUNA WIKI TATU ZA KUJIANDAA. SASA WALE WENYE VISINGIZIO KILA MAANDAMANO TUSIWASIKIE TENA WAKIPIGA KELELE CLUBHOUSE NA TWITTER SPACES📌
Rehema Mugogo39,007 просмотров • 1 год назад
Больше нет контента для загрузки