
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
@ridhiwankikwete • 287,581 subscribers
Minister of State, Prime Minister’s Office (Labour, Youth, Employment and Persons with Disability) | Tanzania Member of Parliament (Chalinze Constituency)
Shorts
Videos

Sehemu ya Hotuba yangu, nikimuwakilisha Dr. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada na maziko ya mpendwa wetu Prof. Philemon Mikol Sarungi Karimjee, Dar Es Salaam. Katika Salamu hizo , Dr.Samia Suluhu anamzungumzia marehemu Sarungi kama Mzalendo, Mchapakazi, Mlezi,Mwalimu, Mtafiti na Mwenye msimamo asiyetiliwa shaka. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani.
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc19,430 views • 1 year ago

Ni kwa sababu ya Malezi mema mliyonipa. Maneno ya Mh. Rais yananipa Nguvu Mpya ya kwenda kufanya kazi. Ahadi yangu kwako Mh. Rais wetu nilishaitoa kwenye kiapo; Nitatii Kiapo Changu na sintokuangusha… Ewe Mwenyezi Mungu , Nisaidie. Kwa Watanzania , Muda wetu wa Kutimiza Majukumu ya Ujenzi wa Nchi ni Sasa. Twendeni tukatimize Wajibu wetu kufikia malengo.#KaziInaendelea
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc25,005 views • 1 year ago
No more content to load