
SIR TIVA
@Sativa255 • 183,535 subscribers
Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
Shorts
Videos

Huyu PIMBI anamfokea nani? Yani UWE huna akili afu unatufokea. Umeulizwa swali, umetumia kifungu gani cha sheria kuzuia mikutano ya siasa unatupigia kelele. Leo MWIGULU alikuwa na mkutano kwamba yeye sheria haimuhusu? Kama shida ni mikusanyiko ya watu kipindi hiki mbona KARIAKOO & KARUME hamjafunga watu wasiende? Jibu hoja acha kutupigia kelele NYOKO WEWE.
SIR TIVA18,310 Aufrufe • vor 6 Tagen
1:17
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huyu JOSEPH YOHANA kutwa kutukana wanaharakati kupitia Press ambazo wanapewa fedha na ABDULI. Pesa zenyewe wakizipata ndio kama hivi, jitu la miaka 50+ linaishia kununua SHISHA bar, na kulazimisha vitoto vidogo wakalale navyo. Pesa za LAANA hakuna kitu cha maana mtafanyia wapumbavu nyie, hizo pesa zimejaa damu za ndugu zetu. Ukimkuta huyu na shehe MWAIPOPO sasa wanajikuta watu wa dini na wanapambania Amani, kumbe ni WASHENZI tuu wanatafuta pesa za kuvutia SHISHA na kununua mademu.
SIR TIVA23,716 Aufrufe • vor 9 Tagen

ELIMU MBALI MBALI imetia aibu huko 😂😂😂😂 Muandishi kauliza swali jepesi sana lakini kwasababu ELIMU MBALI MBALI imesikia neno "SANCTIONS" ikajua swali linaihusu Tanzania. Amekurupuka kujibu UTOPOLO wake tena kwa kujiamini na lugha yake ya KISWAHILI. HII NG'OMBE Jiwe alitukosea sana. Swali la muandishi limeuliza "unatarajia kukuza biashara na RUSSIA, Russia imewekewa VIKWAZO utawezaje kufanya biaahara na RUSSIA yenye vikwazo?" Ng'ombe imejibu "Tanzania hatujawekewa vikwazo" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TUSOMESHE WATOTO JAMANI.
SIR TIVA35,411 Aufrufe • vor 27 Tagen
9:02
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Ila KOMBO ni msanii na JAMBAZI sana 😂😂 Anasahau miezi kadhaa amejaribu kuhonga MABILIONI huko kwa maseneta na hajasikilizwa. Leo anasema atawaleta maseneta waje bongo waangalie wapi tunachinjana😂😂 NA MISUKULE YA MAMA INAGONGA MEZA KAMA IMEONA MAITI MPYA.😂😂 “Who are you” mnafikiri wamekurupuka? HAPO mnafungiwa VISA tuu kelele zote hizo, wakianza kufanya makubwa mtakaa humo ndani?😂😂 Tuliwaonya mkahisi tunachekesha-mkaishia kulipa CHAWA watutukane. Sasa ni wakati wa kuwaamini chawa wawatetee kwa maseneta😂😂 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA38,871 Aufrufe • vor 1 Monat

Kwasasa vijana wa MBEYA wameamua kutumia platform zao kuwakumbusha wakoloni weusi hii mbeya ya sasa sio ile tena (GREEN CITY). Barabara zimekuwa MBOVU-Vumbi kila kona. Huoni tumaini kutoka kwa WAKOLONI WEUSI licha ya wananchi kulipa KODI. Mbeya imekuwa kama JEHANAMU ya duniani, kipindi cha JUA kali vumbi kila kona na Kipindi cha MVUA ni matope kila kona kama tupo bonde la mpunga usangu. Hakuna nafuu ya jua na mvua mbeya—ni kama tumeletwa KUTESEKA MPAKA kufa. “Tulia” alikuwa spika zaidi ya miaka 7 alichofanya yeye ni KUFUNGUA TAASISI ya kukopesha wananchi. Anakopesha wananchi na kuwakimbiza marathon kila mwaka kama vichaaa. Hakuna kingine amewafanyia wana mbeya. Kodi zinalipwa vizuri ila MJI umekuwa kama DAMPO la mkoa. Turudishieni MBEYA YETU (The Green city).
SIR TIVA32,784 Aufrufe • vor 1 Monat