
Seneta Wa GenZ
@SenetaGenZ • 1,585 subscribers
Msemaji Wa GenZ Sauti ya Gen Z. Mafisadi huchukia ukweli, machawa hukimbia hoja. 🎭
Shorts
Videos

Ramadhan Rudabuka (19) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kutokana na video 3 alizosambaza TikTok mwaka 2025 ambazo zimetrend Mwaka huu Taarifa iliyochapishwa kuhusu hukumu hiyo inasema maudhui hayo yalikuwa na lugha ya matusi dhidi ya viongozi wa Serikali.( Samia) na ndio Script iliyotumika na Media zote nchini Ni maneno gani hasa yaliyotafsiriwa kuwa matusi na yakawa msingi wa adhabu hii? Kama kuna kauli inayodaiwa kuwa tusi, ni muhimu iwekwe wazi pamoja na mazingira ambayo ilisemwa. Kutokana na Uchunguzi inaonesha Kijana huyu alipost video hizo mwaka Jana October 2025 akiongelea mwenendo wa uchaguzi kwa Namna ya Kinafiki kupitia Video akiwa na Tisheti ya Mama Video hizo hazina uzito wa yeye kuhukumiwa. Kesi imekimbizwa chap bila Kijana kupata mawakili wa kumtetea Hii Kesi hata uchukue Mwanasheria wa Field Dogo anashinda.
Seneta Wa GenZ72,657 görüntüleme • 1 ay önce

Nilidhani Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 anatania kumbe ishu ipo Serious hivi? Serikali ya Samia Suluhu iliwatishia Kuwafungia Meta wasifanye kazi Tanzania endapo Hawatafuta Account za watu watatu 1. Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 2.Maria Sarungi Tsehai 3. SIR TIVA Meta inapokea pesa nyingi kwa Watanzania kupitia Malipo ya Bluetick na Ads. Hivyo Ombi Hilo walilitekeleza kwa kuhofia Kufungiwa kama ilivyo X Katika Muktadha wa Kisheria Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 ni Raia wa Marekani hivyo Haiwezekani Leo Samia atoe agizo kwa Meta wafute Account ya Trump ambaye ni Raia wa Marekani anayeongozwa na Sheria za Marekani. Kesi hii ikienda Vizuri TCRA wanaangukia pua Mchana kweupe. Mtu anaamka anatuma Ombi lenye Amri kwamba Msipoifungia Account ya Messi tunawafungia Tanzania. Hii ni Maajabu Uzuri Meta wameweka hio Scenario kwenye Page Yao ya Case Study.
Seneta Wa GenZ16,774 görüntüleme • 23 gün önce
Daha fazla içerik yok.