
Sheila Mchamba
@SheilaMchamba • 12,935 subscribers
GOD OVER EVERYTHING ||CHIEF EXECUTIVE OFFICER OF NURU YA BINTI ORGANIZATION 👸🏾||CHADEMA’S LITTLE PRINCESS👸🏾
Videos

Ndugu mgeni rasmi,, huyu anayewasili mda huu ni lastborn wa chama😌
Sheila Mchamba31,796 просмотров • 2 месяцев назад

Ila Eliza mtu wa maana. You deserve a trophy my dear🙏🏽❤️. Sending so much love ELIZABETH MAMBOSHO
Sheila Mchamba83,330 просмотров • 9 месяцев назад

Kwa Gen Z,wanachama, wapenzi na wafuasi wapya TUIJUE CHADEMA kwa pamoja. Tuifaham historia ya CHADEMA. Tuelewe kwanini tunasema CHADEMA NI IMANI. Tuwafikishie na salamu wanaohisi CHADEMA itakufa kuwa CHADEMA IMEJENGWA, HAIKUIBUKA KAMA MRADI 📌 Chadema Tanzania #NoReformsNoElection
Sheila Mchamba26,026 просмотров • 1 год назад

Taasisi ya Nuru ya Binti inawataarifu Watanzania wote kuungana nasi kwenye campaign ya #NOMOREBLOODSTAINS yenye lengo la kuishawishi serikali na wadau wengine kutoa pedi bure kwa wanafunzi wa kike Hedhi haipaswi kuwa aibu. Hedhi haipaswi kuwa kikwazo. Wote tuse #BEDIBURE
Sheila Mchamba10,653 просмотров • 1 год назад
Больше нет контента для загрузки