
SIASA NI MAISHA
@SiasaMaisha2030 • 2,216 subscribers
Siasa ni maisha yetu ya kila siku.Unawajibu wa kutetea kila haki ya mtu inayoporwa bila kujali mlengo wa mtu husika.
Videos

Wasira yeye anawaza tumbo lake tu angalia wazee wenye busara na maatifa wanayozungumza.
SIASA NI MAISHA19,956 views • 3 months ago

#Repost John Heche Watanzania wengi wanaporwa haki zao kwasababu ya kutokujua.. Unaenda Kwenye shughuli ya wananchi na mabunduki ili kuwajaza hofu waogope upate upenyo wa kupora mali zao. Nampongeza sana huyu mama kwa namna ambavyo amejisimamia. Aliepaswa kupima ardhi na kupanga mji alikua wapi miaka yote hii? Watu wamejenga hao watu wa ardhi na manispaa ipo inaona alafu leo ndio wanaleta vitisho kwa wananchi. Shame on you ccm na Utawala dhalimu.
SIASA NI MAISHA11,069 views • 3 months ago
No more content to load