
SIASA NI MAISHA
@SiasaMaisha2030 • 1,781 subscribers
Siasa ni maisha yetu ya kila siku.Unawajibu wa kutetea kila haki ya mtu inayoporwa bila kujali mlengo wa mtu husika.
Videos

Hiki ndo machawa/ wazee wa neutral wa humu mitandaoni wanatetea ,wanataka watu waendelee kuuwawa
SIASA NI MAISHA18,177 просмотров • 3 дней назад

Kila mwananchi lazima twende na spidi kama ya huyu jamaa. Hakuna Unyonge katika ukombozi wa kutafuta haki zetu.
SIASA NI MAISHA39,197 просмотров • 8 дней назад

#Repost John Heche Watanzania wengi wanaporwa haki zao kwasababu ya kutokujua.. Unaenda Kwenye shughuli ya wananchi na mabunduki ili kuwajaza hofu waogope upate upenyo wa kupora mali zao. Nampongeza sana huyu mama kwa namna ambavyo amejisimamia. Aliepaswa kupima ardhi na kupanga mji alikua wapi miaka yote hii? Watu wamejenga hao watu wa ardhi na manispaa ipo inaona alafu leo ndio wanaleta vitisho kwa wananchi. Shame on you ccm na Utawala dhalimu.
SIASA NI MAISHA11,029 просмотров • 1 месяц назад
Больше нет контента для загрузки