
MAK Mringo (PhD)
@SnrDirector • 17,896 subscribers
PARADIGMS
Shorts
Videos

You know what ? She's just so gooood on what she's doing. Isn't she?
MAK Mringo (PhD)130,594 Aufrufe • vor 1 Jahr

Nimeituma kwa vijana wa Kenya ili watushauri cha kufanya!!!
MAK Mringo (PhD)142,270 Aufrufe • vor 2 Jahren

TUSIJIHANGAISHE- ANZENI MAANDALIZI YA PASAKA NA EID EL FITR MAPEMA "Nilikuwa kwenye kikao cha mkakati wa maendeleo kwa siku 2 mfululizo na wafanyakazi wenzangu. Tulitumia nguvu na maarifa mengi kujadili na kupanga vile tutakavyojikwamua katika mtego wa uchumi mkwamo. Wakati napitia maazimio na mipango ili kufanya tafakuri ya kina- mara paap- Rostam Aziz kaingia na kunivuruga- kumbe umasikini wetu sio wa bahati mbaya- ni mpango tuliouchagua". Sasa naaza maandalizi ya sherehe za Pasaka na Eid _Elfitr.
MAK Mringo (PhD)55,561 Aufrufe • vor 1 Jahr

Ukifika Dongodo Panorama Park mita 1594 juu ya usawa wa bahari, una mambo mengi yatakayokushangaza na kukufurahisha. Wananchi walioishi eneo hilo miaka 200 iliyopita walikazimika kuwa na mahandaki waliyoweza kujificha wao na mali zao ikiwemo mifugo kwa zaidi ya miezi 6 kuwakwepa maharamia waliopendelea kuvamia, kuuua na kunyang'anya mali kwa wenyeji. Pata fursa ya kusikiliza vijana wa eneo hilo wakinasihiwa namna ya kuchangamkia fursa ya utalii wa kihistoria na kitamaduni katika eneo lao wakiwa mita 40 ndani ya mojawapo ya mahandaki hayo. Dongodo Park ni moto wa kuotea mbali.......
MAK Mringo (PhD)48,208 Aufrufe • vor 2 Jahren