Loading video...
Video Failed to Load
Ukweli unaokera. Hatujachelewa.
42,517 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

mjumbe mwanda1 year ago
@Mwenemwanda

ʙʟαCκ MαMʙα1 year ago
Dah ukweli mtupu unakuta una ndugu mnasaidiana tu kwenye misiba ukisema kiazime hela kidogo aaaaaahhh simu azipokelewi tena unaonekana msumbufu😂😂😂😂😂

MCHOPS1 year ago
Fact fact fact

Solar Heavy1 year ago
whoa have you heard this yet?

Malle1 year ago
Huu ni ukweli mchungu.

Uncle1 year ago
100% facts

Andrew Msuya1 year ago
🚀topic 🧠

Suave1 year ago
Sisi ni sikio la kufa

Charles Agustini1 year ago
Hii ni ya lini Mkuu, nataka kuisikiliza yote, link kama ipo

Tamim Kifungu1 year ago
Hatujachelewa kweli ila njia zetu bado ngum na kila ukitaka kunyanyuka watu bado wana umimi mwingi lazima aonekane Don wa familia so hio mentality iishe bado sana

Christopher Julias1 year ago
@samaidasama
