
Swahili Times
@swahilitimes • 1,644,998 subscribers
Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Videos

Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema amekata rufaa kupinga kusimamishwa uanachama wake huku akimwomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza madai ya ubadhirifu wa fedha yanayomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche.
Swahili Times81,589 views • 1 month ago