
Swahili Times
@swahilitimes • 1,646,469 subscribers
Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Videos

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake.
Swahili Times53,926 views • 10 days ago