
Swahili Times
@swahilitimes • 1,643,139 subscribers
Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Videos

Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema amekata rufaa kupinga kusimamishwa uanachama wake huku akimwomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza madai ya ubadhirifu wa fedha yanayomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche.
Swahili Times79,386 просмотров • 3 дней назад

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema wananchi wasiogope kwenda Sabasaba kwani hali ya usalama ni shwari.
Swahili Times46,818 просмотров • 17 дней назад