
Swahili Times
@swahilitimes • 1,646,469 subscribers
Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Videos

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala amesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amesema kuanzia Jumatatu, Oktoba 26, 2026, ataanza mgomo wa kutokula baada ya kunyimwa haki yake ya kukutana na mawakili.
Swahili Times30,540 görüntüleme • 1 gün önce

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake.
Swahili Times53,926 görüntüleme • 10 gün önce

Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza parade kesho baada ya ushindi dhidi ya Yanga SC leo.
Swahili Times28,785 görüntüleme • 15 gün önce

Shabiki wa Yanga SC amesema kocha Manqoba Mngqithi hafai kufundisha klabu hiyo kwakuwa uwezo wake ni mdogo.
Swahili Times27,471 görüntüleme • 15 gün önce