
Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks • 115,809 subscribers
Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].
Shorts
Videos

Tanzania nchi ya ajabu sana. CCM ni chama cha kusikitisha. Huyu Ni mmoja wa viongozi tunaowategemea kutunga sheria na kutuletea maendeleo. Majuzi aliwapelekea wana Kigoma maendeleo ya Kula Wali Nyama, Leo amekuja kuwaringishia wapiga kura wake faida ya kuwa Mbunge.
Tanzania Leaks77,314 views • 4 months ago

Pale Muuwaji mkuu Samuya anapoona mambo yamekuwa magumu, maneno yanamchoma, naye anaamuwa kususa na kuondoka. Samuya, damu za Watanganyika zitakutesa sana. Ushauri wa Bure, badala ya kujificha Zanzibar, ondoka na familia yako ukakae Oman. Watanganyika watakusamehe
Tanzania Leaks30,221 views • 3 months ago

Watanganyika tumelaaniwa au ndio mwisho wetu wa kufikiri? Hii ni Barabara ya Mwai Kibaki, Mikocheni hadi Mbezi Beach, kwenye makazi ya watu, Wachina wanaanzisha viwanda Ni nchi gani inaruhusu viwanda kwenye makazi ya watu? Kando tu ya Rais Hussen Mwinyi kuna kiwanda cha Mchina
Tanzania Leaks26,960 views • 3 months ago

Mbweni/Ununio Karibia na Mbweni JKT, hadi Mbezi Daraja la Malecela kote viwanda vya Wachina vikubwa sana kwenye makazi ya watu. Je, China kwenye makazi ya watu mtanzania anaweza kuanzisha kiwanda? Ni serikali ya kipumbavu ya huyu mshenzi samia na CCM ya wauaji. Wajinga sana
Tanzania Leaks18,680 views • 2 months ago

Makonda anawaonya. Mtauwawa sana. Pole sana kwa familia ya Lukuvi. Lukuvi alipelekwa Ikulu kwa kusudi maalum. Kumtuliza JWTZ hamko salama na hili Genge la Makonda na Wazanzibari. Makanali kwenda Juu. Mtapanguliwa sana na hata kufyekelewa mbali. Kheri Mzenji kazini
Tanzania Leaks19,084 views • 2 months ago