
Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks • 116,175 subscribers
Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].
Shorts
Videos

Ujumbe uliofika ni ujumbe mzito sana. Jamaa ametumia " fasihii ya hali ya Juu"
Tanzania Leaks27,637 Aufrufe • vor 11 Tagen

Tanzania nchi ya ajabu sana. CCM ni chama cha kusikitisha. Huyu Ni mmoja wa viongozi tunaowategemea kutunga sheria na kutuletea maendeleo. Majuzi aliwapelekea wana Kigoma maendeleo ya Kula Wali Nyama, Leo amekuja kuwaringishia wapiga kura wake faida ya kuwa Mbunge.
Tanzania Leaks77,359 Aufrufe • vor 6 Monaten

Our EU friends, Thabit Kombo & the likes, stroll your streets, send their kids to your fine schools, use your facilities for propaganda. Yet Tanzanians bask in poverty while they swim in glory. davidmcallister, European Parliament. Why can’t you sanction this evil regime?
Tanzania Leaks16,929 Aufrufe • vor 1 Monat

Chama Changu, moja ya kosa kubwa tulilofanya ni Kuwatenga DIASPORA. Tungewasogeza karibu na kuwapa URAIA Pacha. Tusipo kuwa makini DIASPORA wanatuondoa madarakani. Hawa watu wana ujuzi na fedha ya boksi huwa haikauki. Vita tulivyovianzisha dhidi yao itatuangamiza. Muulizeni Mbowe
Tanzania Leaks15,426 Aufrufe • vor 1 Monat

Ndugu zetu waKenya, tunashukuru sana kwa kujitoa muhanga kwaajili yetu. Mmekuwa mfano wa kuigwa barani Africa. Mmetuonyesha Watanzania tulivyo wanyonge ndani ya nchi yetu. Watawala wetu wanaamini Bunduki ndio suluhisho la changamoto. Leo wanazima X. Kumbe waoga. Tunawshukuru sana
Tanzania Leaks73,003 Aufrufe • vor 1 Jahr

Pale Muuwaji mkuu Samuya anapoona mambo yamekuwa magumu, maneno yanamchoma, naye anaamuwa kususa na kuondoka. Samuya, damu za Watanganyika zitakutesa sana. Ushauri wa Bure, badala ya kujificha Zanzibar, ondoka na familia yako ukakae Oman. Watanganyika watakusamehe
Tanzania Leaks30,221 Aufrufe • vor 5 Monaten