
Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks • 116,479 subscribers
Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].
Shorts
Videos

Jeshi la Polisi wamevurugwa baada ya kupigwa chenga na Chadema! Mpango wao ulikuwa kuyasubiria magari yanayotoka mikoani ili wawakamate kama walivyo fanya Siku ya Vijana- Mbeya. Cha kushangaza, waandamanaji wengi walishafika DAR. Gesti nyingi zinapekuliwa kuwatafuta waandamani.
Tanzania Leaks110,183 次观看 • 2 年前

Ndugu zetu waKenya, tunashukuru sana kwa kujitoa muhanga kwaajili yetu. Mmekuwa mfano wa kuigwa barani Africa. Mmetuonyesha Watanzania tulivyo wanyonge ndani ya nchi yetu. Watawala wetu wanaamini Bunduki ndio suluhisho la changamoto. Leo wanazima X. Kumbe waoga. Tunawshukuru sana
Tanzania Leaks73,027 次观看 • 1 年前

Our EU friends, Thabit Kombo & the likes, stroll your streets, send their kids to your fine schools, use your facilities for propaganda. Yet Tanzanians bask in poverty while they swim in glory. davidmcallister, European Parliament. Why can’t you sanction this evil regime?
Tanzania Leaks17,193 次观看 • 2 个月前