
Tanzania Bound Buses
@TBoundBuses • 63,660 subscribers
Safari yako ianzie hapa! 🚍 Kata tiketi ya basi mapema kuelekea mikoa mbalimbali Tanzania kwa Usalama, Haraka na Uhakika. WhatsApp/Call: 0756084459 | 0621877523
Shorts
Videos

Ni hapo #Thailand Bus Spotting it's thing 🔥🔥, hi kitu ni worldwide 🫡
Tanzania Bound Buses248,751 просмотров • 1 год назад

Tulivyokuwa watoto kule kijijini Kumbanga,Kibondo wazazi walituonya kusogelea magari ya namna kwamba ni wanyonya damu, hivyo tulikuwa tunatoka nduki vibaya mno tukiyaona. Sasahivi nimekuwa mkubwa nimeanza kuelewa kwanini walisema tukiyaona tukimbie.
Tanzania Bound Buses18,866 просмотров • 1 месяц назад

Chuma inaparamia mlima kama inashuka 🔥🔥 #Kaizerege&Kemebos Dar Bukoba Dar
Tanzania Bound Buses78,761 просмотров • 1 год назад

Kumbe abiria wa #Mallessa's wanadekezwa kiasi hiki 🫡😁 MALLESSA'S BUS SERVICES
Tanzania Bound Buses17,134 просмотров • 3 месяцев назад

Kwanini waEthiopia wanakimbia sana nchi yao, wakati tunaaminishwa kuna maendeleo makubwa sana?
Tanzania Bound Buses32,689 просмотров • 10 месяцев назад

Faini Explained🫡 Sikiliza kwa makini,kumbe ukizidisha 55 kwenye 50 hakuna faini.
Tanzania Bound Buses47,841 просмотров • 2 лет назад