Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Tazama mpaka mwisho. 🎥 #My_Fuso

134,581 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Alhaji matamaa 😋😋😋
Alhaji matamaa 😋😋😋vor 2 Jahren

Boda hapo ndio kaleta baraa, ila ndio huwa tunafundishwa mwendo wa tahadhari kama fuso ingekuwa mwendo wa kawaida angeweza mkwepa or kusimama kabisa

Profilbild von Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Busesvor 2 Jahren

Pia Boda hana side mirror, hakuwasha indicator kauma breki gafla na kutaka kukata kona....

Profilbild von Neypaul🤎
Neypaul🤎vor 2 Jahren

Wait🙄 alierekodi alijuaje?

Profilbild von Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Busesvor 2 Jahren

Imetokea tu,

Profilbild von REGINALD 🦈
REGINALD 🦈vor 2 Jahren

Hii imetokea Leo apa Moshi Barbara ya bonite

Profilbild von Mshuza
Mshuzavor 2 Jahren

Jamaa mwenye fulana nyeupe ile agenda ya kuwa busy na hamsini zako ameifaulu vyema..lakini huyu mchukua camera ni coincidence tu au ilikuaje

Profilbild von Zulu Natal
Zulu Natalvor 2 Jahren

Dereva wa fuso ni msenge, ameshindwaje kutanua kushoto wakati boda kaishatanua kulia??? Ni kama dereva wa fuso alikuwa anamtafuta boda amnyooshe

Profilbild von Radamel Hames
Radamel Hamesvor 2 Jahren

Huyu shehee baada ya hili tukio akatoe sadaka tu🥲🥲

Profilbild von بو سالم 🇹🇿
بو سالم 🇹🇿vor 2 Jahren

Dereva wa fuso ana makosa,

Profilbild von Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Busesvor 2 Jahren

Wote wanamakosa, Boda alikuwa kibati no side mirror no indicator then anakunja anauma breki gafla wakati alikuwa masaa Fuso na yeye yuko masaa

Ähnliche Videos