
Vitus Nkuna
@VitusNkuna • 92,486 subscribers
Mwanachama wa CHADEMA|| Previous BAVICHA Chairman Nyasa Zone|| Ex- Katibu Bavicha Iringa|| Devotee.🙏✌️
Videos

Professa Anna Kajumulo Tibaijuka Msikilize kwa makini. Asante Mama 🙏
Vitus Nkuna11,659 views • 1 month ago

William Nchimbi alikuwa Mjumbe wa cc ya CCM iliyoketi Jul 11 2015 na alipinga wazi maamzi ya mchakato kumpata Magufuli na mgombea mwenza Mhe Samia 2015. Leo Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Rais Samia 2025. Hii ndio siasa. Vijana wengi tunachukulia Siasa ni kama kulala na kahaba!.
Vitus Nkuna33,797 views • 1 year ago

Honestly speaking kwa upande wa Vyama vya Siasa ni Mikutano ya Chadema Tanzania wananchi wanakuja kwa hiari yao wenyewe bila kubebwa wala kulazimishwa. Bila wataalam wa mazingaombwe wala wasanii na hii ndio inaifanya Chadema kuwa chaguo la Watanzania. #PeoplesPower
Vitus Nkuna21,341 views • 9 months ago

"CHADEMA sio wakorofi CHADEMA wameonewa"- M/Kiti Msitaafu Freeman Mbowe
Vitus Nkuna12,716 views • 4 months ago

Tarehe 12/08/2024 CHADEMA na Baraza la Vijana tuliratibu namna ya kuwa na Kongamano la Vijana na tukapanga lifanyike MBEYA. Katika hali ya kushangaza tulizuiwa na polisi na Vijana walizuiwa kuingia Mbeya, Viongozi tulikamatwa na kuwekwa selo na wengine kupigwa . Leo CCM wanafanya
Vitus Nkuna35,446 views • 1 year ago

Naona jana na leo watu wanasema na kutafuta huruma kuhusu neno alilosema Mhe Freeman Mbowe wakati wa hotuba yake. Neno "mimi sio MBANGAIZAJI" . Hii haiwapi huruma na hakutukana mtu wala hakumlenga mtu, Sikilizeni👇. Lakini pia CHADEMA sio Chama cha WANYONGE,tunakataa UNYONGE.
Vitus Nkuna21,869 views • 1 year ago

Naona Poster nyingi, wanachadema wakilimana nk. Ushabiki unavuka mipaka, mahaba yanazidi na jamii haielewi. Fact ni kwamba Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Lissu aliweka msimamo wake mapema. Maneno mengine mnayatoa wapi!? SIkilizeni Msimamo wa Mhe Lissu.👇
Vitus Nkuna10,784 views • 1 year ago

Asas anakiri uongozi ndani ya CCM ni MNADA leo!. Mnec huyu anashindwa kuikemea CCM kwa kulea utaratibu huo kwa miaka. Analalamika tuu, Taifa limepoteza dira kwa sababu ya ninyi CCM mnahonga Pombe,kofia,kanga,fedha kwenye chaguzi, Mnanunua watu kwa KODI zetu unalamika leo!.
Vitus Nkuna11,379 views • 1 year ago