
Vitus Nkuna
@VitusNkuna • 92,560 subscribers
Mwanachama wa CHADEMA|| Previous BAVICHA Chairman Nyasa Zone|| Ex- Katibu Bavicha Iringa|| Devotee.🙏✌️
Videos

Professa Anna Kajumulo Tibaijuka Msikilize kwa makini. Asante Mama 🙏
Vitus Nkuna11,686 просмотров • 2 месяцев назад

Wanadamu tumeumbiwa kusahau. Tukumbushane ya jana, hapa lilikuwa linatafutwa goli la pili tu, mpira unapigwa wa kuogopesha.😂😂
Vitus Nkuna20,902 просмотров • 6 месяцев назад

William Nchimbi alikuwa Mjumbe wa cc ya CCM iliyoketi Jul 11 2015 na alipinga wazi maamzi ya mchakato kumpata Magufuli na mgombea mwenza Mhe Samia 2015. Leo Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Rais Samia 2025. Hii ndio siasa. Vijana wengi tunachukulia Siasa ni kama kulala na kahaba!.
Vitus Nkuna33,844 просмотров • 1 год назад

Maelezo ya RPC Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi kuhusu kifo cha aliekuwa dereva wa kampuni ya Asas.👇
Vitus Nkuna47,811 просмотров • 2 лет назад

Tarehe 12/08/2024 CHADEMA na Baraza la Vijana tuliratibu namna ya kuwa na Kongamano la Vijana na tukapanga lifanyike MBEYA. Katika hali ya kushangaza tulizuiwa na polisi na Vijana walizuiwa kuingia Mbeya, Viongozi tulikamatwa na kuwekwa selo na wengine kupigwa . Leo CCM wanafanya
Vitus Nkuna35,447 просмотров • 1 год назад

Honestly speaking kwa upande wa Vyama vya Siasa ni Mikutano ya Chadema Tanzania wananchi wanakuja kwa hiari yao wenyewe bila kubebwa wala kulazimishwa. Bila wataalam wa mazingaombwe wala wasanii na hii ndio inaifanya Chadema kuwa chaguo la Watanzania. #PeoplesPower
Vitus Nkuna21,345 просмотров • 11 месяцев назад

"CHADEMA sio wakorofi CHADEMA wameonewa"- M/Kiti Msitaafu Freeman Mbowe
Vitus Nkuna12,716 просмотров • 6 месяцев назад

Mwenyekiti Mwenyekiti 😁😁😁😁 Unaitupa kadi ya CCM kama imepakwa mavi ya mlevi wa common😁😁😁. Rais asiione hiii pia
Vitus Nkuna34,513 просмотров • 2 лет назад

Naona jana na leo watu wanasema na kutafuta huruma kuhusu neno alilosema Mhe Freeman Mbowe wakati wa hotuba yake. Neno "mimi sio MBANGAIZAJI" . Hii haiwapi huruma na hakutukana mtu wala hakumlenga mtu, Sikilizeni👇. Lakini pia CHADEMA sio Chama cha WANYONGE,tunakataa UNYONGE.
Vitus Nkuna21,869 просмотров • 1 год назад

Ila Pasta, sasa huu utetezi kweli au unambananga Mgombea 😀😀😀😀. Akili ipo kwingine, mdomo na ulimi upo kwingine
Vitus Nkuna10,579 просмотров • 9 месяцев назад