Yas Tanzania's banner
Yas Tanzania's profile picture

Yas Tanzania

@YasTanzania_397,319 subscribers

Tigo Tanzania is now Yas Tanzania—where dreams and digital life meet. #YasTanzania #ItsOurTime #NiWakatiWetu

Shorts

🏆Tigo yashinda Tuzo ya Ookla®️ kama Mtandao wa Simu wenye kasi zaidi nchini Tanzania.🏆 1️⃣Tunafuraha kubwa sana kupokea tuzo hii ya Ookla®️ Speedtest Award™️ kama Mtandao wa Simu wenye kasi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka wa 2023 Tuzo hii inatolewa kwa waendeshaji wa mtandao wa simu wanaoonyesha kasi na utendaji kazi wa kipekee ikilinganishwa na mitandao mingine mikuu ya simu sokoni kwa Q2-Q3 2023.. Kutoka kwa CEO wetu, Kamal Okba- “Tunafuraha kubwa kushinda tuzo hii inayotazamwa sana duniani kote. Tuzo ya Ookla ni dhihirisho wazi kwamba uwekezaji mkubwa wa Tigo (ambayo ni sehemu ya Axian Telecom Group AXIAN Group ) wa zaidi ya TZS 1 trilioni ndani ya miaka 5 tangu 2022, katika uboreshaji wa mtandao, usambazaji wa tovuti mpya, kufanya miundombinu ya mtandao kuwa ya kisasa na uboreshaji wa teknolojia hususani teknolojia yetu ya 5G yenye kasi zaidi (zaidi ya 1Gbps). 🌟Tuzo hii inathibitisha zaidi azma yetu ya kusaidia mageuzi ya kidijitali na kifedha kwa wateja wetu milioni 18 na kupeleka teknolojia za kisasa zaidi kunufaisha #Watanzania na biashara za Kitanzania kote nchini. #Mtandaowenyekasizaidi #Tigo5G #TigoTanzania #Tigo4G+

354,916 просмотров

Videos

Больше нет контента для загрузки